Nakukumbusha tu: Nyumba ndogo haziolewi

Nakukumbusha tu: Nyumba ndogo haziolewi

MM NINA NYUMBA NDOGO MWAKA WA SITA HUU MAISHA YANAENDA SWAFI KABISA HAKUNA TABU YEYOTE TATIZO VIJANA WA LEO MACHO KODO SANA KILA WAKIONA MATAKO MACHO 🙄🙄🙄🙄🙄🙄🙄LAZIMA MUONE NYUMBA NDOGO CHUNGU WAWEKEE MIRADI YAO KILA MTU NA YAKE UONE KAMA KUTAKUWA NA TABU HUWEZ KUWA NA WAKE WAWILI AU NYUMBA NDOGO KAMA HUNA PESA "TAFUTENI PESA SIO KUNYANYUA CHUMA NA KUJENGA MWILI UCHAWI WA MWANAMKE PESA TU"
 
Ni Mawazo yako sina haja ya kubishana nawe ila huo moyo wako usioumbiwa mmoja unampa mateso mkeo maana ukishapata kipya tu lazima cha zamani utakisahau iwe kwa hiali yako au kwa lazima (kulogwa). Cha kukushauri tu ukimpenda mwingine mpe ruksa mkeo (Talaka) nae akatafute atayempenda,usidhani yeye hapendwi ila anakutunzia heshma yako na yake

Sent using Jamii Forums mobile app
yaani wanavyoona wanawachoka wanawake sijui wanajua kuwa sisi huwa hatuwachoki hama ni nini? watambue sisi wenyewe tunawachoka coz kama style mnazotupa na wao ni zilezile tu sema tunawavumilia tu
 
Aunt ake kwa hiyo mtu akisema hachepuki ni anajifanya mtakatifu? Unafikiri kila mwanaume duniani anaendekeza kuchepuka?
1. Kuna watu wanaomuheshimu na kumcha Mungu, so cheating haipo kwenye mawazo yao. "Aonavyo mtu nafsini mwake ndivyo alivyo"

2. Kuna watu wameamua tu kutokucheat as wanaona haina faida kwao. Yes, cheating is a choice. Some people will cheat no matter how good it is, and others won't cheat no matter how bad it is.

Kwa nini hawa watu tusiwatie moyo, instead of kuwakatisha tamaa sijui wanajiona watakatifu mara wanafiki na maneno mengine ya kuwadiscourage? Kwa nini tunapromote sana "uchepukaji" na kuufanya ni kitu cha lazima?, yani tunahalalisha dhambi kwa kiasi hiki khaa! !!. Wanatuumiza mioyo ndo tunawakumbatia kweli na kuwapa moyo wazidi kutuuumiza.
Hayo magroup mawili niliyoyataja, hata mtu ikitokea amechepuka, (no one has immunity to cheating), ni wepesi wa kujuta na kurudi kwenye mstari, ni kitu ambacho kitamuumiza yeye mwenyewe sana na atarepent na kustruggle kurudisha ile trust ilovunjika. Ila wale wanaoona kucheat ni kawaida, hata umfume leo live, atazuga siku 2 ya tatu ana mchepuko mpya. He is unrepentant serial cheater

Hivyo kuchepuka ni heshima? Maana me siilewagi huo msemo wenu "eti achepuke ila amuheshimu mkewe" mmh????????. Kuonesha utupu wake huko nje na kuvunja kiapo chake cha ndoa ndo heshima? Afu usisahau haba na haba hujaza kibaba. Leo utasema it's ok achepuke tu ila aniheshimu sijui, akishanogewa umsahau. Hao wanaohama nyumba zao leo na kuhamia kwa michepuko, hata na wenyewe walianzia na kuchepuka kidogo huku "wakiheshimu" wake zao, ila dhambi ikishakomaa huzaa mauti. So ataendelea kuchepuka hadi ndoa yenu ipate mauti. Hivi kweli tunahalalisha waume kuumiza wake zao wa ndoa au ndo tumeamua tu kuishi kwenye denial???? Hawa wake hawana mioyo au? Afu hakuna kitu kinachoumiza kama emotional abuse, majeraha yake hayaonekani kwa macho ila yana madhara makubwa sana. Wanandoa na waheshimu ndoa zao jamani. Ndoa ni wawili, watatu ni ibilisi, sasa kama kuna ibilisi anayejenga ndoa, haya tutaonaga.
UKIMUONA MWANAUME ACHEPUKI UJUE ANA MATATIZO ANAFICHA MADHAIFU YAKE
 
Jaman hebunaombeni musaada wenu nina mpenzi wangu nilienda safari kama miaka miwili baada yakuludi nikakuta ana ujauzito wamwingine nilipo kaanae chini akasema ilikua bahati mbaya asa cha majabu nukwamba yule mwenye mzigo bado wana wasiliana asa naomba kuuliza je nikimutelekeza nitakua nime kosea??????

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu hebu tafuta mtu wa kuanza nae mipango upya... huyo mwanamke ameona udhaifu wako na atakutesa sana utatamani hata kufa na jamaa ataendelea kumkula mpaka sio vizuri....My X alikuwa mjamzito wa mimba ya jamaa ila mm nmepiga sana na kuna kipindi alikuja hadi kukaa kwangu karibu week 2 na jamaa anadanganywa dogo Yupo kwa mamdogo....hebu tumia akili mkuu Nakuonea huruma Shimo unalotaka udumbukie wengi limewacost.... Au Ingia google google single mother jamii forums utaona shida atakazoleta huyo mtu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Jaman hebunaombeni musaada wenu nina mpenzi wangu nilienda safari kama miaka miwili baada yakuludi nikakuta ana ujauzito wamwingine nilipo kaanae chini akasema ilikua bahati mbaya asa cha majabu nukwamba yule mwenye mzigo bado wana wasiliana asa naomba kuuliza je nikimutelekeza nitakua nime kosea??????

Sent using Jamii Forums mobile app
Umtelekeze alikuwa mke?
 
Unapenda mateso kama jina lako, ushayazoea mwaya
 
Na wanaume wengi wenye udhaifu wa nguvu za kiume au fedha ndo wanajitahidi kweli waonekane na wao angalau wanamiliki wanawake wengi. Inaboost their self esteem. Poor them....
HAKUNAGA KITU KAMA HICHO KABISA HUWEZ KUWA NA WANAWAKE WENG KAMA HUNA UWEZO KIPESA AU KINGONO
 
Eti unasema nini wewe Mshana!? Nyumba ndogo ni msingi imara wa ndoa nyingi!? Acha kupotosha wanaume wenzio hivi hiyo michepuko ni misingi au mipasuko!? Hiyo ndio chanzo cha migogoro isiyokwisha kwenye familia nyingi maana moyo ni mmoja hauna nguvu ya kupenda kuwili sawa sawia, wanaume wengi mkishakua na nyumba ndogo dharau kwa wake zenu huzidi Mara dufu. Ogopeni magonjwa hivi huwa mnajiulizaga kipindi unalala kwa mkeo yule hawala yako huwa analala na nani? Sasa hivi kuna gonjwa lisilokingwa na kinga ya condom mnatuletea homa za Ini ndani ya nyumba,tulieni wapuuz nyie

Sent using Jamii Forums mobile app
Safii

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mshana unalolisema sio swala sahihi mkuu,natamani sana siku moja ungejaribu kuvaa viatu vya wahusika (wanawake) kwenye ndoa zao na kuona wapatavyo tabu kuona mumewe ana nyumba ndogo nje,in kitu kinachouma sana asikwambie MTU.
Ungekuwa sahihi endapo kama ungewapiga stop wanaume wenzio kwa kutokuwa na nyumba za nje na kubakia katika ndoa zao uku wakirekebishana katika kila mapungufu sababu hakuna alokuwa mkamilifu unaweza unaweza mkimbia mumeo au mkeo kwa kharaha zake ila kaa ukijua kuwa hakuna alokamilika chini ya jua.
WE ALL DO MISTAKES AS HUMAN BEING.
Maumivu yake hayaelezeki ni mungu tu anaejua.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ni Mawazo yako sina haja ya kubishana nawe ila huo moyo wako usioumbiwa mmoja unampa mateso mkeo maana ukishapata kipya tu lazima cha zamani utakisahau iwe kwa hiali yako au kwa lazima (kulogwa). Cha kukushauri tu ukimpenda mwingine mpe ruksa mkeo (Talaka) nae akatafute atayempenda,usidhani yeye hapendwi ila anakutunzia heshma yako na yake

Sent using Jamii Forums mobile app
LadyAJ unanigusa sana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Speaking from experience?

Back
Top Bottom