James Temu
Member
- Jul 13, 2017
- 5
- 3
Halafu wanaume mnalishwaga uchafu bila hata kujijua
Hadi damu za period mnakula kwa kuchanganyiwa katika chakula ili mbaki huko kwa nyumba ndogo
Wanaume wengi wananaswa na madawa wengi wao
Kama mnabisha chukueni tu mfano mdogo, hivi vibao vya matangazo siku hzi mganga wa kienyeji mvuto wa mapenzi au kumvuta mpenzi
Kama hakuna wateja kwanini vimetapakaa ktk matangazo
" Mungu ameumba jambo jipya duniani, mwanamke atamlinda mwanamume" yeremia 31:22b
[emoji115] [emoji115] kwa maombi
Kwa hapa tu nilipo nimeshuhudia vingi, ila mwisho wao huwa mbaya pale mwanamke halali akisimama katika zamu yake na kulia na Mungu kwa maombi
Akikaa zamu ya ulinzi vizuri huwa wanapigwa na Mungu kisawa sawa halafu hiyo laana huwa inaenda kwa vizazi vyao pia.
Enyi wamama tusimame kwenye zamu vizuri Mungu huwa hakai kimya
" tusiwe wanawake wapumbavu wanao bomoa nyumba, tuwe werevu kama nyoka na busara kama hua"
Uhiii huyu Mungu ninaye mjua atakupa kitu unachoomba"
Wanawake ni jeshi kubwa, [emoji123] [emoji123] hao wanaume wakitukosea hata maombi yao yanazuiliwa kwa Mungu, kujibiwa kwao inategemea uhusiano alio nao na mkewe ndani
Bro umenipa hasira za kimbingu leo, [emoji41]
In ua Presence Jesus is where I belong
Point ya mwisho ndio iliwavuruga wengi, unaweza kuona ni jinsi gani watu walikuwa wamesongwa na hili mioyoni mwao.... Between ndizi ni tamu sana lakini huwezi kuila bila kumenya ganda.... Wengi wamejaribu kula ganda kwenye hii madaUjumbe mzuri una tahadhari kona zote. Aliyeleta post hajakataa nyumba ndogo wala hajazikubali nyumba ndogo nawashangaa mnaomshambulia sielewi ni uwezo wa kuchimbua hoja au nini.
Binafsi nimemuelewa mleta post.
Anayetujua sote ni Mungu. Watu wanajitia ufahamu kana kwamba si wakosaji. Kila mwanamke anahitaji huduma ya mwanaume (mapenzi) haijalishi ameolewa au hajawahi pata mume.
La msingi na wewe mwanamke usitake ubinafsi wakati huwezi kuumba mtu.
Ajali ya genye ni afadhali ya ajali ya ndege haponagi mtu.
Wanaotaka wawe pekee yao ndiyo hao hao unakuta waliolewa huku wametumika kama gari za kijapani. Kweli mwizi hadanganyiki.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hata kama utapingana na jamaa ukweli ni kwamba wanaume wengi hata ufanye nn kwake, amekupenda, amekuoa, unahisi anakuheshimu uko peke yako, lakini mchepuko lazima anakuwa nao......Mimi huwa nawaza Mungu angekuwa anarudisha muda nyuma unafanya maamuzi upya ngekuwa afazali sanaNi Mawazo yako sina haja ya kubishana nawe ila huo moyo wako usioumbiwa mmoja unampa mateso mkeo maana ukishapata kipya tu lazima cha zamani utakisahau iwe kwa hiali yako au kwa lazima (kulogwa). Cha kukushauri tu ukimpenda mwingine mpe ruksa mkeo (Talaka) nae akatafute atayempenda,usidhani yeye hapendwi ila anakutunzia heshma yako na yake
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji144][emoji144][emoji144]Hata kama utapingana na jamaa ukweli ni kwamba wanaume wengi hata ufanye nn kwake, amekupenda, amekuoa, unahisi anakuheshimu uko peke yako, lakini mchepuko lazima anakuwa nao......Mimi huwa nawaza Mungu angekuwa anarudisha muda nyuma unafanya maamuzi upya ngekuwa afazali sana
Mimi kwa mfano hata hisia juu ya mume wangu sina tena! Naishi naye kama Jirani yangu na yeye analijua hiloHawajiulizagi haya.... tena wapo kibao humu wanaojisifu hawawezi kukaa bila nyumba ndogo
Wanaishia kuumiza hisia za wake zao tu
Mwisho wa siku wake zao hamu ya kuwaona waume zao hushuka kama sio kuisha......
Halafu wakitendwa huko nyumba ndogo wanarudi mikono chini wamefyata mikia yao kwenye kengele zao....mfyuuuuuu
I even regret kwann nliamua kuolewa aisee na hata nishamwambia naichukia ndoa[emoji144][emoji144][emoji144]
Jr[emoji769]
Hakuna familia isiyo na mapungufu. Hatuna wazazi wasio na mapungufu, sisi pia si wakamilifu, hatuoi au kuolewa na mtu asiye na mapungufu, kadhalika watoto wetu nao si wakamilifu. Tunayo manung'uniko au malalamiko kila mmoja dhidi ya mwenzake. Tumevunjana moyo na kukatishana tamaa. Kwa hiyo, hakuna ndoa iliyokamilika wala familia iliyoboreka bila kuwa na mazoea au utamaduni wa kusameheana.*I even regret kwann nliamua kuolewa aisee na hata nishamwambia naichukia ndoa
Hakika,,,, Asante umemaliza kila kitu wanaume tulieni mtawaletea mama zetu magonjwa,,,,Eti unasema nini wewe Mshana!? Nyumba ndogo ni msingi imara wa ndoa nyingi!? Acha kupotosha wanaume wenzio hivi hiyo michepuko ni misingi au mipasuko!? Hiyo ndio chanzo cha migogoro isiyokwisha kwenye familia nyingi maana moyo ni mmoja hauna nguvu ya kupenda kuwili sawa sawia, wanaume wengi mkishakua na nyumba ndogo dharau kwa wake zenu huzidi Mara dufu. Ogopeni magonjwa hivi huwa mnajiulizaga kipindi unalala kwa mkeo yule hawala yako huwa analala na nani? Sasa hivi kuna gonjwa lisilokingwa na kinga ya condom mnatuletea homa za Ini ndani ya nyumba,tulieni wapuuz nyie
Sent using Jamii Forums mobile app
Pole kwa yanayokusibu, ila mwanaume ni kiumbe chanye tamaa, nachokiona kwako ni kitendo cha kumuamini mwanaume kupita kiasi. Vilevile umri ulionao bado mdogo ndo maana unaona ndoa haina test lakini naamini baada ya miaka 5 hivi utarudi humu jamvini na utasema utamu wa ndoa yako na utampenda sana mumeo.I even regret kwann nliamua kuolewa aisee na hata nishamwambia naichukia ndoa
Una umri gani?I even regret kwann nliamua kuolewa aisee na hata nishamwambia naichukia ndoa
Tofautisha nyumba ndogo na mchepuko. Ni vitu viwili tufautiEti unasema nini wewe Mshana!? Nyumba ndogo ni msingi imara wa ndoa nyingi!? Acha kupotosha wanaume wenzio hivi hiyo michepuko ni misingi au mipasuko!? Hiyo ndio chanzo cha migogoro isiyokwisha kwenye familia nyingi maana moyo ni mmoja hauna nguvu ya kupenda kuwili sawa sawia, wanaume wengi mkishakua na nyumba ndogo dharau kwa wake zenu huzidi Mara dufu. Ogopeni magonjwa hivi huwa mnajiulizaga kipindi unalala kwa mkeo yule hawala yako huwa analala na nani? Sasa hivi kuna gonjwa lisilokingwa na kinga ya condom mnatuletea homa za Ini ndani ya nyumba,tulieni wapuuz nyie
Sent using Jamii Forums mobile app
Dini yako inaruhusu zinaa?Si mbaya kwakweli kuwa na nyumba ndogo kama ukiona shemeji hakutoshelezi mahitaji, japo kuna wengine wameingia huko kutokana na stress za ndoa na migogoro lakini wengine ni tamaa tu na kutoridhika na mmoja!
Nyumba ndogo zina utamu wake, lakini pia zina nguvu na ushawishi wa ajabu kabisa, kuna wengine wamenogewa kabisa na kuhamishia majeshi yote nyumba ndogo ama kuoa kabisa ..... Jihadhari rafiki kuwa makini usije kuangukia huo mtego... Utajuta majuto yote na hutapata wa kukusaidia
Ni nyumba ndogo chache zenye akili hekima na tafakuri! Anajua vema uwepo na umuhimu wa nyumba kubwa.. Hivyo hukusaidia kuijenga kwakuwa anatambua fika kule kukiharibika hata huku amani huwa ndogo
Kuna wenye bahati mbaya walinaswa kwenye nyumba ndogo za hivyo na kunogewa kabisa (sometimes madawa yakitumika), nyumba ndogo hizi zina nia ya kuharibu ama sometimes ni uchoyo tu na ubinafsi.... Kipindi uko kwake kwako umeaga uko semina uko kazini, uko safarini uko na washkaji nk nk, Anajua uongo wote uliokuwa ukidanganya......
Leo hii unataliki mkeo halali wa ndoa na kwenda kuishi na bi mdogo... MY FRIEND UMEKWISHA... Utamdanganya nini mwizi? Utakuwa umejipeleka mwenyewe kifungoni kwenye gereza la kujitakia.... Utapekuliwa wallet, utapekuliwa simu, utapekuliwa nguo! Utafuatiliwa kazini, utachaguliwa marafiki na utapangiwa muda wa kurudi nyumbani na hata muda wa kutoka weekend.... Furaha yako itageuka fadhaa
Nikukumbushe tu rafiki cheza kwa step
NB : Nyumba ndogo nyie ndio msingi imara wa ndoa nyingi, bebeni kwa weledi hili jukumu huku mkitambua fika kwamba SIKIO no SIKIO tuu kamwe haliwezi kuzidi KICHWA
Sent using Jamii Forums mobile app