Nakukumbusha tu: Nyumba ndogo haziolewi

Nakukumbusha tu: Nyumba ndogo haziolewi

Ni shida kwa kweli, unakuta wanawake wanahama tu makanisa, solutions nyingine unazo wewe mwenyewe usitegemee hao wachungaji watakutatulia kila kitu, sana sana unajiongezea stress. Mtu kutwa kucha anaomba mwanaume arudi sijui nini, kumbe unaweza ishi bila yeye kwanini uwe na stress. Si ajabu hakuwa ni chaguo lako, mtu anayekupenda kwa dhati hatapenda uumie na atakuwa na wewe kwa hali na mali. Ukiona hakujali na anakuumiza huyo si chaguo lako muache aende.
Yaaani nimekuelewa vizuri sana[emoji1690][emoji1690][emoji120][emoji120]

Inaonekana huna stress dyadya[emoji8][emoji8]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Eti unasema nini wewe Mshana!? Nyumba ndogo ni msingi imara wa ndoa nyingi!? Acha kupotosha wanaume wenzio hivi hiyo michepuko ni misingi au mipasuko!? Hiyo ndio chanzo cha migogoro isiyokwisha kwenye familia nyingi maana moyo ni mmoja hauna nguvu ya kupenda kuwili sawa sawia, wanaume wengi mkishakua na nyumba ndogo dharau kwa wake zenu huzidi Mara dufu. Ogopeni magonjwa hivi huwa mnajiulizaga kipindi unalala kwa mkeo yule hawala yako huwa analala na nani? Sasa hivi kuna gonjwa lisilokingwa na kinga ya condom mnatuletea homa za Ini ndani ya nyumba,tulieni wapuuz nyie

Sent using Jamii Forums mobile app
How Condoms zinaleta homa ya ini?
 
Mwanaume yoyote kamili, mwenye afya njema/ both akili na mwili , uchumi wa kati/kawaida.....

Kuchepuka ni lazima (hakuepukiki)

Labda umroge [emoji116] [emoji116] [emoji116] View attachment 1003296

Sent using Jamii Forums mobile app

Kimbembe ni pale wakati wa kuvalishwa pampers mwanaume mzima sababu ya starehe zako!
Wengine huwapiga makofi wakati wa kuuguzwa sababu wanaona magonjwa mengine ni ya kujitajia!
Eeh Mwenyezi Mungu naona yaniepuke na uzao wangu!
Tujitafakali mienendo yetu !
Tutubu tumrudie Mungu ktk kuyashika maagizo yake kupitia maandiko matakatifu!
Inawezekana kuishi bila kuchepuka!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Niliona mahali flani mgonjwa wa ukimwi akipigwa makofi na wanae wakati wa kumuuguza huku wakimwambia “ starehe zako “ halafu usumbue watu mchana na usiku halafu hutaki kunywa dawa wala kula!
Halafu shughuli ya mwanaume mzima kuvalishwa pampers kama mtoto mdogo siyo lele mama!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
AMEN

Hiyo ni ajali km ajali nyingine.....

Wewe Akilinjema unaonekana mchoyo sana ...

Hujui kwamba idadi ya wanawake ni mara mbili ya wanaume?

Hivi kila mwanamke akiwa mchoyo km wewe, wanawake wengine watahudumiwa na nani?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Niliona mahali flani mgonjwa wa ukimwi akipigwa makofi na wanae wakati wa kumuuguza huku wakimwambia “ starehe zako “ halafu usumbue watu mchana na usiku halafu hutaki kunywa dawa wala kula!
Halafu shughuli ya mwanaume mzima kuvalishwa pampers kama mtoto mdogo siyo lele mama!

Sent using Jamii Forums mobile app
Hapo ndo mziki sasa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
nachelea kusema ww ni mwanamke unayejitambua... km unaona mambo hayaend hisia zimefariki kwann usitoke tu[emoji21][emoji21]kung'ang'ania kujazana kwa kakobe eti kurudisha upya ndoa yenu while humfeel mtu nikujidanganya...kua sehem niliwah soma.ukiwa na iman sana bas ww jua ni MNAFIKI SANA !huishi ktk ukweli..unakuwa fake sana[emoji87]!
naunga mkono hoja...... ww unaweza kuwa mkombozi wa wanawake wenzako wengi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom