Wangari Maathai
JF-Expert Member
- Aug 13, 2018
- 34,959
- 70,712
Sijawahi enda, kwani chumvi ni ushirikina? Hata baadhi ya makanisa wanaagiza tupeleke chumvi ikaombewe 😄
duh..watasema leten na losheni
Sijawahi enda, kwani chumvi ni ushirikina? Hata baadhi ya makanisa wanaagiza tupeleke chumvi ikaombewe 😄
Kuna sehemu huku kwetu wanapeleka maji. Sio maji kidogo kwenye chupa..yaani mtu anatoka nyumbani kwake na maji ndio nzima anaenda nayo na kurudi nayo home. Wamama wanateseka sana jamani[emoji23][emoji23][emoji23] imagine unabeba ndoo kichwani mpaka huko kwa nabii, na kurudi nayo nyumbani.duh..watasema leten na losheni
Kuna sehemu huku kwetu wanapeleka maji. Sio maji kidogo kwenye chupa..yaani mtu anatoka nyumbani kwake na maji ndio nzima anaenda nayo na kurudi nayo home. Wamama wanateseka sana jamani[emoji23][emoji23][emoji23] imagine unabeba ndoo kichwani mpaka huko kwa nabii, na kurudi nayo nyumbani.
Yanaenda kuombewa, I think ni lazima yatoke nyumbani kwako. Mateso hayaMaji ya nini tena?
Kuna sehemu huku kwetu wanapeleka maji. Sio maji kidogo kwenye chupa..yaani mtu anatoka nyumbani kwake na maji ndio nzima anaenda nayo na kurudi nayo home. Wamama wanateseka sana jamani[emoji23][emoji23][emoji23] imagine unabeba ndoo kichwani mpaka huko kwa nabii, na kurudi nayo nyumbani.
Yanaenda kuombewa, I think ni lazima yatoke nyumbani kwako. Mateso haya
Hiyo imani sitaki inipate kamwe[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji28][emoji28][emoji28]nawacheka tu ..ila yoye ni iman
We acha, halafu Kuna kamlima wanapanda wamebeba ndoo kichwani, mi nawachekaJamani, sipati picha nipo busy na ndoo yangu kichwani
Hiyo imani sitaki inipate kamwe
Jamani, sipati picha nipo busy na ndoo yangu kichwani
Wapo full [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] na ngata kbs
Jamani Imani hizi........We acha, halafu Kuna kamlima wanapanda wamebeba ndoo kichwani, mi nawacheka
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] na ngata kbs
Mnawakimbia wenye upendo wa kweli kisa hawana pesa mnawakimbilia vibosile!I even regret kwann nliamua kuolewa aisee na hata nishamwambia naichukia ndoa
Ni shida kwa kweli, unakuta wanawake wanahama tu makanisa, solutions nyingine unazo wewe mwenyewe usitegemee hao wachungaji watakutatulia kila kitu, sana sana unajiongezea stress. Mtu kutwa kucha anaomba mwanaume arudi sijui nini, kumbe unaweza ishi bila yeye kwanini uwe na stress. Si ajabu hakuwa ni chaguo lako, mtu anayekupenda kwa dhati hatapenda uumie na atakuwa na wewe kwa hali na mali. Ukiona hakujali na anakuumiza huyo si chaguo lako muache aende.😂😂😂😂😂😂😂😅😅😅nawacheka tu ..ila yoye ni iman
Ni shida kwa kweli, unakuta wanawake wanahama tu makanisa, solutions nyingine unazo wewe mwenyewe usitegemee hao wachungaji watakutatulia kila kitu, sana sana unajiongezea stress. Mtu kutwa kucha anaomba mwanaume arudi sijui nini, kumbe unaweza ishi bila yeye kwanini uwe na stress. Si ajabu hakuwa ni chaguo lako, mtu anayekupenda kwa dhati hatapenda uumie na atakuwa na wewe kwa hali na mali. Ukiona hakujali na anakuumiza huyo si chaguo lako muache aende.
Ndoa ya kwanza ilianzishwa na Mungu mwenyewe, rejea Adam na Hawa.Aliyeanzisha utaratibu wa ndoa alikosea sana, natamani kumtukana huko aliko. Tungebaki kuwa Kama kuku tu aagh!
Mnawakimbia wenye upendo wa kweli kisa hawana pesa mnawakimbilia vibosile!
Haya ndo matokeo yake.
Mtu kama huyu naye anang’ang’ana kwenye ndoa, huku ni kumdhihaki Mungu. Binadamu hasa wa Africa kwa unafiki hatujambo, mtu kama huyu utakuta mbele za watu anajifanya ana ndoa imara kumbe kaa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Atajua mwenyewe aliyeianzishaNdoa ya kwanza ilianzishwa na Mungu mwenyewe, rejea Adam na Hawa.
Bilashaka unayetaka kumtukana ushamfahamu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Jaman hebunaombeni musaada wenu nina mpenzi wangu nilienda safari kama miaka miwili baada yakuludi nikakuta ana ujauzito wamwingine nilipo kaanae chini akasema ilikua bahati mbaya asa cha majabu nukwamba yule mwenye mzigo bado wana wasiliana asa naomba kuuliza je nikimutelekeza nitakua nime kosea??????Ni shida kwa kweli, unakuta wanawake wanahama tu makanisa, solutions nyingine unazo wewe mwenyewe usitegemee hao wachungaji watakutatulia kila kitu, sana sana unajiongezea stress. Mtu kutwa kucha anaomba mwanaume arudi sijui nini, kumbe unaweza ishi bila yeye kwanini uwe na stress. Si ajabu hakuwa ni chaguo lako, mtu anayekupenda kwa dhati hatapenda uumie na atakuwa na wewe kwa hali na mali. Ukiona hakujali na anakuumiza huyo si chaguo lako muache aende.