Akilinjema
JF-Expert Member
- Aug 9, 2016
- 11,428
- 11,843
Ndiyo hivyo mwaya!
Ukiwakuta saluni wanaambizana kabisa kuwa singleman hafai maana akikuhonga hela ni kidogo halafu atakugandaaa weee muda mwingi atataka kuwa na wewe!
Lakini mume wa mtu wala hakugandi [emoji108]
Sababu ana mkewe na familia bado Majukumu ya kazi halafu wana honga hela nyingi sana!
Ndo maana Mtumishi wa Mungu flani alisema ktk kufanya concealing Baadhi ya akina mama wametendwa na waume zao na Kuchoka sana Kiasi cha kumuomba Mungu mapenzi yake ikibidi yatimizwe amtwae mume vile alivyo!
Sent using Jamii Forums mobile app