Nakukumbusha tu: Nyumba ndogo haziolewi

Nakukumbusha tu: Nyumba ndogo haziolewi

Mungu epushia tamaa za namna hiyo, ajabu ni kuwa huwezi kuwamaliza hao wanawake hata uwe malaya kiasi gani, leo umemlala huyu, kesho ukipita njiani unamuona mzuri zaidi ya yule, unajawa tamaa.

Tujitahidi kuepuka tamaa ya zinaa, inatuingiza kwenye matatizo makubwa na familia zetu, tunawaumiza sana wenza wetu.
 
Hakuna familia isiyo na mapungufu. Hatuna wazazi wasio na mapungufu, sisi pia si wakamilifu, hatuoi au kuolewa na mtu asiye na mapungufu, kadhalika watoto wetu nao si wakamilifu. Tunayo manung'uniko au malalamiko kila mmoja dhidi ya mwenzake. Tumevunjana moyo na kukatishana tamaa. Kwa hiyo, hakuna ndoa iliyokamilika wala familia iliyoboreka bila kuwa na mazoea au utamaduni wa kusameheana.*

*Msamaha ni nguzo au msingi wa utulivu wa akili na uhai wa roho zetu. Kama hakuna msamaha, familia inakuwa uwanja wa migogoro na mlipuko wa ugomvi. Panapokosekana msamaha, familia inaugua. Msamaha unahuisha moyo, kwa kusafisha fikra na kuufanya moyo kuwa huru. Binadamu asiyesamehe hana amani moyoni na wala hana urafiki au muunganiko na Mungu.*

*Maumivu ni sumu inayodhuru na kuua. Hebu kiponye kidonda hicho cha moyo endapo kuna dalili za kujiumiza. Mtu asiyesamehe anajisababishia mwenyewe ugonjwa wa mwili, kiakili na kiroho. Ndiyo maana familia inapaswa kuwa sehemu ya uhai na si kifo; eneo la uponyaji na sio mahali pa magonjwa; jukwaa la msamaha na si la uovu. Msamaha huleta furaha pale uchungu ulipoleta maumivu; huleta uponyaji hata pale ambapo maumivu yalisababisha magonjwa.*

```Ujumbe huu mzuri umfikie kila mmoja wetu katika familia yake.

Jr[emoji769]

Jr[emoji769]
Aliyeanzisha utaratibu wa ndoa alikosea sana, natamani kumtukana huko aliko. Tungebaki kuwa Kama kuku tu aagh!
 
Swadakta mkuu, maneno ya hekima na busara haya
 
Zinaa ni kitendo cha kufanya mapenzi baina ya watu wawili ambao hawana ndoa.
Hii ina kuwa applied kwa michepuko na vijana ambao hawajaoa kama tu tupu zao zitaingiliana na hakuna ndoa.

Sent using Jamii Forums mobile app
Ndoa ya kweli ni ile ya kiroho, makubaliano ya kuishi wawili kwa mapenzi ya kweli na uaminifu,.... Hizi nyingine za vyeti na sherehe ni taratibu tu alizojiwekea binadamu kukidhi matakwa na mahitaji ya kisheria

Sija cartegorize ni aina gani ya ndoa hapo!!!jua hilo na kwa kuwa umeamua ku cartegorize ok naenda na hiyo ya kiroho .na ya kiroho inaambatana na imani na kama ulikuwa haujui basi jua kuwa UKRITO ni imani hivyo swali langu imani yako inakuruhusu kuzini?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nakuelewa sana jamani. Nimecheka sana ulivyosema mnaishi km majirani, [emoji1787][emoji1787] Bora hata wale wanaoishi Kama Kaka na dada.

manengelo njoo umsikie sweet16

😂😂😂😂 leo siwez changia..mara nyingi mada km hizi huwa nakosa staha..naenda deep sana..leo sichangii kitu..pole sana my friend@sweet
 
Back
Top Bottom