Nashengena
JF-Expert Member
- Apr 20, 2013
- 3,140
- 5,734
Pole sana, ila kwa nini ukae kwenye ndoa ya mateso?I even regret kwann nliamua kuolewa aisee na hata nishamwambia naichukia ndoa
Pole sana, ila kwa nini ukae kwenye ndoa ya mateso?I even regret kwann nliamua kuolewa aisee na hata nishamwambia naichukia ndoa
Tafadhali nijuze jinsi ya kutumia. SeriouslyTumia tiba mbadala ya chumvi
Jr[emoji769]
Na bora niwe nimekuelewa vibaya wallah maana Mshana si kwa kutiana kimuhe muhe namna hii
Sent using Jamii Forums mobile app
Inafanya kazi kweli au nayo inahitaji imani Kama maombi?
CD4 za Maisha zinaposhuka! - JamiiForumsInafanya kazi kweli au nayo inahitaji imani Kama maombi?
Unanichanganya sasa
Inafanya kazi lakini iboost na maombi pia Upungufu wa kinga za kiroho - JamiiForumsInafanya kazi kweli au nayo inahitaji imani Kama maombi?
ah ww unajiendekeza...mwenzako ndo km unavyoona hvi..Shetani wa ukweli kweli anafanya mambo yangu yakwame
Unanichosha
Teh haikuwa from nowhere lkn. Mimi sijakamilisha Yale mambo nikuambia, pia kuna kadeal fulani nakasubiria ni muhimu sanaah ww unajiendekeza...mwenzako ndo km unavyoona hvi..
Okay hapo sawaZingine ni elimu ya ziada zingatia ya kwanza
Jr[emoji769]
Teh haikuwa from nowhere lkn. Mimi sijakamilisha Yale mambo nikuambia, pia kuna kadeal fulani nakasubiria ni muhimu sana
Sio deal la pesaww anza na ulichonacho usisubiri kikubwa... mm huyu mzee baba mzaz nataka kumweka sawa anielewe... nichanganye miguu
sawa..kribu kitaani maisha mapyaSio deal la pesa
Huko kitaa sipaogopi [emoji1787]sawa..kribu kitaani maisha mapya
Huko kitaa sipaogopi [emoji1787]