Hayati Magufuli alitabiri rekodi ya Mzee Sumaye ya kuwa Waziri Mkuu kwa miaka 10 mfululizo haitavunjwa!

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
84,036
142,127
Wakati akiwaapisha Waziri mkuu mh Majaliwa, Waziri wa fedha Dr Mpango na Waziri wa Foreign Prof Kabudi aliyekuwa Rais wa JMT hayati Magufuli alitoa orodha ya Mawaziri Wakuu kuanzia Nyerere hadi Mzee Pinda kisha akasema rekodi ya Mzee Sumaye haitavunjwa

Ngoja tuone

Mungu wa mbinguni awabariki sana!
 
Kwa akili yako unadhani Majaliwa atafutwa au kujiuzulu?

Thubutu!
 
MWALIMU NYEREREANAMALIZA KWA USHAIRI KWENYE KITABU CHAKE.

UONGOZI WETU NA HATMA YA TANZANIA.

Ole wake Tanzania Tusipoisaidia
Niwezalo nimelifanya kushauri na kuonya nimeonya.

tahadhali nimetoa ushauri na kuonya nimeshatoka kitini zaidi nifanye nini.

Namlilia Jaalia atumulikie njia Tanzania ailinde WAOVU wasiishinde.

UONGOZI WETU NA HATMA YA TANZANIA.
MWALIMU JK NYERERE
 
Wakati akiwaapisha Waziri mkuu mh Majaliwa, Waziri wa fedha Dr Mpango na Waziri wa Foreign Prof Kabudi aliyekuwa Rais wa JMT hayati Magufuli alitoa orodha ya Mawaziri Wakuu kuanzia Nyerere hadi Mzee Pinda kisha akasema rekodi ya Mzee Sumaye haitavunjwa

Ngoja tuone

Mungu wa mbinguni awabariki sana!
Aondoke tu maana amemsababishia Rais Dkt Samia kuchukiwa kwa sababu ya wizi serikalini, yeye na yule wa hela wanamhujumu
 
Wakati akiwaapisha Waziri mkuu mh Majaliwa, Waziri wa fedha Dr Mpango na Waziri wa Foreign Prof Kabudi aliyekuwa Rais wa JMT hayati Magufuli alitoa orodha ya Mawaziri Wakuu kuanzia Nyerere hadi Mzee Pinda kisha akasema rekodi ya Mzee Sumaye haitavunjwa

Ngoja tuone

Mungu wa mbinguni awabariki sana!
Hapo unataka kusema nini? Kassim ni mtendaji bora wengi tuna mategemeo makubwa kwake. Usianze kumchulia bundi wewe🤔🙄
 
Wakati akiwaapisha Waziri mkuu mh Majaliwa, Waziri wa fedha Dr Mpango na Waziri wa Foreign Prof Kabudi aliyekuwa Rais wa JMT hayati Magufuli alitoa orodha ya Mawaziri Wakuu kuanzia Nyerere hadi Mzee Pinda kisha akasema rekodi ya Mzee Sumaye haitavunjwa

Ngoja tuone

Mungu wa mbinguni awabariki sana!
Mbona mnamzunguka sana ndugu katelefoni?
 
Back
Top Bottom