Najuta kuoa

Najuta kuoa

Duh! !! Yaani a hame mkoa/nchi. Kisa mwanamke mwambie aache umama
Nahisi wewe ni mdogo wangu na kama sio wewe basi itakuwa story zenu zinafanana yaani mkewe yuko hivyo hivyo mpaka jamaa anatamani kumwachia kila kitu ahame mkoa au nchi kabisa!
 
Ha ha haha. .sio wewe tu. .mimi mwenyewe nimecheka sana aise
ukiachana na yote hayo uliyoongea huko mwanzo mimi hapo mwishoni ndo pamenimaliza kabisa yaani hapo uliposema alikujibu kuwa huwa anashukuru kimoyomoyo ndo pamefunga kazi nimejikuta nacheka kwa nguvu peke yangu alfajiri yote hii aise hilo jibu la mkeo limeifanya siku yangu ianze vizuri
 
Kama hudanganyi pole sana

Sipendi kumshauri mtu kuchepuka ila hii ndio solution, kwa nn akutese? Kama hataki ndoa si aondoke?

Anakufungia njee kama nani? Acha utani, nyumba yako Mke anakufungia nje? Au wewe ndio umeolewa anakufanyia Visa uondoke??
 
JF kuna mambo.
Eti mke anakuletea matukio.
Ingekua mimi angekua ananiona nikija kubadili nguo asubuhi.
Kama ndani ya wiki hajabadilika. Nabadili mwingine.
Watu wanabadilisha timu kutoka upenzi na Simba kuja Yanga. Wewe mwanamke anakuringia????
Mwanamke???? Siamini
Sidhani kama kuna mtu anaweza toka simba kwenda yanga au yanga kwenda simba....badili hapo mkuu
 
Bila shaka hata ww kutakuwa kuna sehemu una shida jichunguze vizuri yy akilala na jinsi ww unalala na nini?yaweza kuwa ww ni miongoni mwa wale watu wanaopalamia mke utafikiri unabaka mwisho unamuacha mwenzako na majeraha ya kujiuguza kila jambo lina sababu za kutokea usihukumu tu
 
Nadhani ndo naelekea huko!!
Mtu wa SPECIAL ZONE HUYU ,wanajuana wao kwa wao
Kwa hiyo baada ya kufika nae makambako ndio ukajua ni wa kanda maalumu? Wewe utakuwa ni kavulana na sio mwanaume wewe.
 
ukiachana na yote hayo uliyoongea huko mwanzo mimi hapo mwishoni ndo pamenimaliza kabisa yaani hapo uliposema alikujibu kuwa huwa anashukuru kimoyomoyo ndo pamefunga kazi nimejikuta nacheka kwa nguvu peke yangu alfajiri yote hii aise hilo jibu la mkeo limeifanya siku yangu ianze vizuri
Yaani huyo mwanamke anamchora tu mshikaji anamuona punguani kabisa majibu gani hayo bado niwe naye aisee nahama mazima sitasikia cha nani wala sijui nani.
 
Anza kumpuunza na kumdharau ,anza kula kwa mama ntilie, ila yeye mpe cha kwake apike _usimuonyeshe unamhitaji , LA mwisho , kaolewa na wewe ili awe na MTU wakuendesha maisha, mengine ,ataendesha mwenyewe, ungekuwa dini yako kama yangu, ningetangaza posa sehem ingine
Tupo MAKAMBAKO KIKAZI KWA SASA
Analala na jinsi suruali
Ananifokea kama katoto
Nikimshika kiuno anajidai anaumwa
Nikimletea vitu vidogo dogo hashukuru
Akishtuka usiku akikuta shuka limenitoka wala hajali
Nikimkaripia anakuja juu
Maneno yamekuwa mengi Sana
Kanisababisha nakunywa pombe+ sigara
Ana ujasiri usio kuwa makini hata aweza kunifungia nje endapo nmechelewa usiku aidha kutafuta au kucheki mpira
Napoandika hii nimelala mzungu wa nne
Tuna mtoto wa kike wa kwanza,ndo anamjali tu.
Ni kanda maalum
Mtoto japo ni mdogo ila ndo ananipa moyo
Moyo wangu umejaa machozi hayatoki nje.

WAKUU WANGU
Nitumie mbinu gani kuishi na mtu kama huyu . Nikimuuliza mbona huna shukrn anasema anashukurugi kimoyo !!
 
Yaani uliyoandika yote mimi nafanyiwa the opposite
 
Ondoka, potea umwache peke yake kama mwaka 1 hivi atakutafuta mwenyewe kwa adabu kabisa
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom