Najiuliza saana!! why she Introduce me as brother to her?

Najiuliza saana!! why she Introduce me as brother to her?

Si lengo langu! mi sina undugu nae hata kidogo! na tuliwahi kuwa inrelationshp almost for a year...kwanini aseme kaka? hz si dharau tu?

May be u did nothing remarkable to her kipind mpo wote. So anakuona kama bro wake.
 
Wakuu,
jana nilikutana na ex-girl wangu! its was unexpected...alikuwa kwenye ishu zake na wenzake 3.
tulisalimiana fresh na aliwatambulisha friends
zake!
cha ajabu aliwaambia mi n kaka yake!
najiuliza sana ni kwann aseme vle? while i'm her 1st man?

sasa kijana hamjui hawa wanawake akili hamna wakishakubwaga.....wewe nawe ukikutana na ex wako tena introduce her as ex sexmate
 
May be u did nothing remarkable to her kipind mpo wote. So anakuona kama bro wake.

haaa! dont say that, nilifanya mengi sana..hapo alipofika nahusika sana!! maybe title yake inampa kiburi na dharau...
 
ah mada zingine bana!

Kwa ufupi wewe siyo level yake tena, kwanza anashangaa ilikuwaje akakubali uwe nae, ndio maana alivyojitambua akakumwaga.

So the best aliyoona ni kukuonea huruma kwa kukupa hadhi ya kaka, coz alitaka kukuita 'mwzi' at the first place but akakuonea huruma.

Pole ndugu yangu muda mwingine jitahidi umfikie level yake
 
sasa kijana hamjui hawa wanawake akili hamna wakishakubwaga.....wewe nawe ukikutana na ex wako tena introduce her as ex sexmate

ha ha ha! aisee...hiyo itakuwa mbaya kidogo..
 
lane, hapo alipofika bado hajanifikia hata kidogo!! ye mwenyewe anajua..kikubwa zaidi ni heshima! namheshimu na hata nilivyokuwa nae nilimsaidia sana ili awe na maisha mazuri! swala la kuwa juu hajanizidi..labda umaarufu tu!!
 
Last edited by a moderator:
Aisee umenishangaza sana!
Yani umesha sema ex wake alaf una hoji kuitwa kaka!
Inaelekea wewe bado unampenda na yeye ana kuchukulia kama kaka kwake!

Kumbe mnasikia raha kuitwa ex ehh daa!
Wakuu,
jana nilikutana na ex-girl wangu! its was unexpected...alikuwa kwenye ishu zake na wenzake 3.
tulisalimiana fresh na aliwatambulisha friends
zake!
cha ajabu aliwaambia mi n kaka yake!
najiuliza sana ni kwann aseme vle? while i'm her 1st man?
 
haaa! dont say that, nilifanya mengi sana..hapo alipofika nahusika sana!! maybe title yake inampa kiburi na dharau...

Pia inawezekana aliokuwa nao ni wanaomfahamu mtu wake wa sasa hivi na pia inawezekana alimwambia mshkaj wake kuwa hajawah kuwa na mtu {Bikra}.. Aliogopa kuharibu
 
Pia inawezekana aliokuwa nao ni wanaomfahamu mtu wake wa sasa hivi na pia inawezekana alimwambia mshkaj wake kuwa hajawah kuwa na mtu {Bikra}.. Aliogopa kuharibu

Hilo la bikra, haipo..niliitoa.. labda jingine.
 
angekutambulisha ''rafiki'' ungeweza kung'aka vile vile maana ni x-bf.. mie utambulisho wangu huyu ni fulani na yule ni fulani punto..!

Usiumize kichwa kwa mawazo tele, kama umekera mpigie simu muulize straight akupe jibu..labda utaridhika!!
 
Sioni shida ktk utambulisho huo,labda kama ulikuwa na plan B ya baby come back,vinginevyo amekusaidia kukuwashia green light kwa hao aliokuwa nao,kwa ufupi ni kwamba ex wako sio mbanaji,hakutaka kuwabania mashosti zake kujaribu bahati zao.
 
Ameona kwa sasa haufanani naye pengne angesem x wake kw marfkize wangemshangaa.then kwann inakuuma sana kutambulshw kama kaka au bado yupo kwa moyo?
 
Kwanza muonekano wako ulikuwa vipi, uoni labda aliogopa aibu. By the way unanafasi kubwa ya kumdadavua moja kati ya marafiki zake.
 
Back
Top Bottom