Najiuliza saana!! why she Introduce me as brother to her?

Najiuliza saana!! why she Introduce me as brother to her?

ulitaka adanganye wewe ndiye mume wake wa ndoa??? yupo sawa kabisa
 
Labdo ulikuwa 'hujatokelezea' siku hiyo...ungemuembarass kwa mashostize!

Mkuu Riwa, ya made me laugh my head off!!
Kati ya vitu muhimu kwa wanawake, hasa wanaojipenda ni "identity". No intelligent woman wants to identify herself with a failed man!! Wanaangalia sana hali ya mtu kabla hawajamtambulisha alikuwa nani siku zilizopita. Huenda jamaa "hakutokelezea" na labda dada ni A-lister!! Dada company yake ni wakurugenzi, wakuu wa vitengo nk na jamaa bahati mbaya ana muonekano kama kaenda kutafuta kazi hapo walipokutana. Au jamaa alionekana kama wakimzoea sana atakaa nao, demu akaamua kuchukua radical step kumpa stress haraka haraka ili jamaa atimue.

Hahahahh!!!! JF, I love ya will all my heart!!
 
Labdo ulikuwa 'hujatokelezea' siku hiyo...ungemuembarass kwa mashostize!

ha ha ha! kama ningekuwa ovyo..si angedefine tofauti? tena angeshusha zaidi! we unaweza kumwita hvyo x wako?
 
ha ha ha! kama ningekuwa ovyo..si angedefine tofauti? tena angeshusha zaidi! we unaweza kumwita hvyo x wako?

Unajua bora 'ndugu' kama hajatokelezea, its not her fault...lakini kwa bf au ex-bf hajatokelezea, its her fault!
 
Tena hapo alikukeshimu sana, mwingine angekupita kimya kimya ama angekusalimia then mkiachana anawaambia hao rafiki zako kuwa wewe ni dalali wa nyumba tena Yombo Buza
 
Au bado unataka kugonga????? kwa sasa we ni kaka tu mpaka pale utakaporudisha majeshi kama nafasi bado ipo.JUST ADMIT!!!!!!!
 
Unajua bora 'ndugu' kama hajatokelezea, its not her fault...lakini kwa bf au ex-bf hajatokelezea, its her fault!

hana lolote! Riwa...(kuworye wachaka waichi kushelya lyeka tupu!!). if ur not a chagga i'm sory... Riwa!
 
Last edited by a moderator:
Hapana!! but, i think alikosea kuniita kaka kwani angesema ni rafiki ingekuwaje? nilirefuse hata lunch aliyonialika..
Labda bado unamtaka wewe! sasa unadhani kukataa lunch ndio umemkomoa? Tena huyo bint ni mstaarabu sana nampa BIG UP.
 
Back
Top Bottom