Nyakwec's Bro
JF-Expert Member
- Apr 27, 2012
- 820
- 174
Kheee!..
Maaaajabu,Mourinho kufundisha Taifa starz?..
Dah,mkuu yaaani unamind kiasi hichi?...
Nina ex-wangu kadhaa yaani sasa hivi ni zaidi ya kaka na dada ni ndugu yaani ninashangaa hasa tatizo nn ww kuitwa
kaka au kungekuwa na tofauti gani kuitwa kaka na rafiki unavyotaka au mkuu kaka hana second chance km rafiki?..