Najiuliza saana!! why she Introduce me as brother to her?

Wakuu,
jana nilikutana na ex-girl wangu! its was unexpected...alikuwa kwenye ishu zake na wenzake 3.
tulisalimiana fresh na aliwatambulisha friends
zake!
cha ajabu aliwaambia mi n kaka yake!
najiuliza sana ni kwann aseme vle? while i'm her 1st man?

we ugoro 2
 
Kwani ungeandika title kwa kiswahili ungepungukiwa nini au ulidhani tusingejua umesoma?
Lugha za watu msiwe mnaziparamia.
 
Mkuu kwani lugha ni kipimo cha kuonyesha usomi? acha hizo....
 
Back
Top Bottom