Najiuliza saana!! why she Introduce me as brother to her?

Najiuliza saana!! why she Introduce me as brother to her?

Ameona kwa sasa haufanani naye pengne angesem x wake kw marfkize wangemshangaa.then kwann inakuuma sana kutambulshw kama kaka au bado yupo kwa moyo?

ha ha ha! hajafikia kuniweka chini yake japokuwa ye ni she...
 
haaa! dont say that, nilifanya mengi sana..hapo alipofika nahusika sana!! maybe title yake inampa kiburi na dharau...

kwa hiyo kama ulifanya mengi ulitaka akuintroduce vipi? Ulifanya mengi yes...inakuwa kama unamsuta au unamdai kwa kuwa ulifanya mengi? move on inaonekana kakuumiza sana kwa kukuita kaka.....pole mwaya
 
kama ulifanya mengi ulitaka akuintroduce vipi? Ulifanya mengi yes...inakuwa kama unamsuta au unamdai kwa kuwa ulifanya meng? move on inaonekana kakuumiza sana kwa kukuita kaka.....pole mwaya

nilichukia!
 
Wakuu,
jana nilikutana na ex-girl wangu! its was unexpected...alikuwa kwenye ishu zake na wenzake 3.
tulisalimiana fresh na aliwatambulisha friends
zake!
cha ajabu aliwaambia mi n kaka yake!
najiuliza sana ni kwann aseme vle? while i'm her 1st man?
Hamkawagi kuomba kukumbushia, kwahiyo hiyo ndo dawa, umkome....hivi sasa muone kama dada'ako!
 
ah kwani kuwa first ndio nini bana!
sasa ulitaka aseme jamani huyu ndo yuleee alinionyesha kazi nyingine pacha ya chururu!ah banaaaa!
NDO USHAKUWA STORY TENA!
baassss!
 
Wakuu,
jana nilikutana na ex-girl wangu! its was unexpected...alikuwa kwenye ishu zake na wenzake 3.
tulisalimiana fresh na aliwatambulisha friends
zake!
cha ajabu aliwaambia mi n kaka yake!
najiuliza sana ni kwann aseme vle? while i'm her 1st man?
u mean nothing to her
 
mbona sielewi kinachokuumiza kichwa?hata angekutambulisha km rafiki still usingeridhika,hebu jiulize baada ya kusema wewe ni kaka ake umepungukiwa nini?mbona unacomplicate mambo madogo? loh!
 
Wakuu,
jana nilikutana na ex-girl wangu! its was unexpected...alikuwa kwenye ishu zake na wenzake 3.
tulisalimiana fresh na aliwatambulisha friends
zake!
cha ajabu aliwaambia mi n kaka yake!
najiuliza sana ni kwann aseme vle? while i'm her 1st man?

Hukumpa mikito ya ukweli,nakushauri mtafute umpe mambo tena angalau uache mark kaka,weka heshima.
 
Si lengo langu! mi sina undugu nae hata kidogo! na tuliwahi kuwa inrelationshp almost for a year...kwanini aseme kaka? hz si dharau tu?

Mkuu sielew una-complain nin,so to u man kuitwa kaka ni dharau?mlishaachana,au ulitaka akuite my previous BF?I guess pia kafanya hivo ili asikubanie kwa hao warembo aliokuwa nao,may b kuna uliye-mlike naye akawa kavutiwa nawe...:huoni angekutambulisha like Former Boyfriend ungepata kazi ya kumiliki chombo kipya?
 
Wakuu,
jana nilikutana na ex-girl wangu! its was unexpected...alikuwa kwenye ishu zake na wenzake 3.
tulisalimiana fresh na aliwatambulisha friends
zake!
cha ajabu aliwaambia mi n kaka yake!
najiuliza sana ni kwann aseme vle? while i'm her 1st man?
hahahaha,wallah umenichekesha asante..
Sasa kwani ina tofauti gani kama kasema wewe ni kakake? hujui wale alokua nao anauhusiano nao gani na wanaheshimiana vipi,istoshe mambo ya zamani unataka aseme huyu alikua X wangu,wewe ni X na unabakia kua X..
 
Mkuu kiwatengu, umeshasema alikua na rafiki zake, huwezi jua hao rafiki zake wanaelewa nini kuhusu yeye na mahusiano yake ya sasa.

Huenda miongoni mwa hao aliokuwa nao kuna wifi yake, sasa mambo ya you know he was my ex... sijui nini visingekua na tija zaidi ya kuleta maswali mengi na matatizo yasiyo na lazima kwake.
Nadhani alikua kidiplomasia zaidi which is good anyway.
Hasa! Umegonga penye ukweli hapo nilipobold.Mkiachana, kila mmoja anashika hamsini zake.
 
Wakuu,
jana nilikutana na ex-girl wangu! its was unexpected...alikuwa kwenye ishu zake na wenzake 3.
tulisalimiana fresh na aliwatambulisha friends
zake!
cha ajabu aliwaambia mi n kaka yake!
najiuliza sana ni kwann aseme vle? while i'm her 1st man?

Labdo ulikuwa 'hujatokelezea' siku hiyo...ungemuembarass kwa mashostize!
 
Mi nikishakutoa akilini kama mpenzi, na nikaona siwezi kukufanya rafiki wa kawaida, hata nikikuona salamu sio lazima sanaaaa, na ikinilazimu itakuwa hivi....Habari yako kaka, mzimae, za masiku, ok poa. hata kukutambulisha sikutambulishi nikutambulishe ili iweje? Huna ishu tena na mimi wala hao nilionao.

sasa shukuru hata ulitambulishwa kaka.............
 
Ninaona moja kati ya haya:

a) Dada huyu yuko happy ktk mahusiano yake ya sasa na hataki mambo zake za zamani ziibuliwe hasa maswali ya rafiki zake. Yawezekana alishawahi kuahidi friends wake kuwa hatakuwa na uhusiano wowote na x's wake mambo yakiisha!
b) Huenda rafiki zake wanajua "first" man si wewe!! Hivo haifai kuonesha ni lini ulikuwa nae.
c) Huenda anasema yeye ni bikira na hizo mambo za wanaume hana.
d) Huenda yuko katika same sex relationship na mmoja ya rafiki zake ni partner. Hataki kuweka hiyo "triangle" hapo.

Wakati wewe unahofia kwamba kasema uongo (ambao nakiri haukuletei hasara/faida yoyote), kwake yeye ni "safety first" na hilo ni sahihi. Kwa hali yoyote, nadhani huyu dada yuko smart. Si sahihi kutambulishana na mambo ya x-...!!
 
  • Thanks
Reactions: LD
Hi, this is Cherry from SINOTRUK.

We SINOTRUK are the biggest and best heavy-duty truck manufacturer in China. * Brands: HOWO, HOWO A7, GOLDEN PRINCE * Trucks: Dump Truck, Tractor Truck, Cargo Truck, Cement Truck, Tank Truck, Garbage Truck, Semi-Trailer, All-Wheel Drive, Bus.

If you have interest for Chinese truck, pls contact me.

Email: cherrytruck( AT )gmail( DOT )com
 
Back
Top Bottom