Najiuliza kwanini wanaume mahandsome hawana hela?

Nimezunguka Tanzania bara/
Unguja na Pemba kote nimefika/
Nimewaona Warembo Wenye sifa/
Wenye kujipamba wakapambika/

Kwa hiyo dada nielewe hivyo sibabaishwi na sura/
Na penda tabia njema/

Tafiti Hupingwa na Tafiti.

Vipi Mrembo Joycee huu tuuite Utafiti ...???
 
Niko Hapa kwenye Baar moja, kuna hawa wapiga mziki wanapiga kwenye hiii baaar kuna Wimbo huo umepigwa Mzuri Sana wa sibabaishwi na suraaa napenda tabia njemaaaa, sasa Hapa kila meza ina mwanamke na mwanaume inaonesha hawa wenzangu ni wanawake wa pembeni maaarufu kidumu, sasa wanaume wooote ni wabaya kwa sura baraaa, Lakini wanamademu PC za Uhakika baada Ya huo Wimbo kupiga wametuliaaaa! Ili madume wao wapate hiyo message.

Lakini najiuliza kwanini wanaume mahandsome hawana hela? Maaana mmoja hapa nimeona kalipa bili laki na nusu ila Mimi nimetoka peke yangu.
Makulumbembe utayajua tu. Leo Uko huku? Twende kwenye siasa kule
 
Niko Hapa kwenye Baar moja, kuna hawa wapiga mziki wanapiga kwenye hiii baaar kuna Wimbo huo umepigwa Mzuri Sana wa sibabaishwi na suraaa napenda tabia njemaaaa, sasa Hapa kila meza ina mwanamke na mwanaume inaonesha hawa wenzangu ni wanawake wa pembeni maaarufu kidumu, sasa wanaume wooote ni wabaya kwa sura baraaa, Lakini wanamademu PC za Uhakika baada Ya huo Wimbo kupiga wametuliaaaa! Ili madume wao wapate hiyo message.

Lakini najiuliza kwanini wanaume mahandsome hawana hela? Maaana mmoja hapa nimeona kalipa bili laki na nusu ila Mimi nimetoka peke yangu.
Hata shuleni, mabinti wenye sura za baba zao uwa wanasoma kwa juhudi maana wanajua hawatopata masponsor. Same mtaani sisi wenye sura za kazi lazima tusake pesa otherwise mademu wazuri tutakuwa tunawaona insta tu.
Usiponiheshimu mimi utaheshimu pesa yangu, usiponipenda mimi utapenda pesa yangu. Over.
 
[emoji28][emoji28][emoji1787][emoji1787]
 
Back
Top Bottom