The way unavyojibu comments za wadau napata mashaka na lengo la hii mada, kuna comments hukupaswa kuzijibu kabisa lakini umezijibu, nikutakie kila LA kheriMiez saba imepita na sina mpango tena,najua litakuja lingine lenye tabia hizo hizo

Ajiandae huko pmSasa kwa kuandika tabia yako hiyo humu jamvini si utawapata wengi tu wa kukupiga mizinga,tulia,usiwe na papara za kutafuta mwenza,muombe Mungu akujalie upate mume mwema,amini tu inawezekana,hajawahi kushindwa...
Tatizo unalo mwenyewe kikawaida mume awe na miaka 27 sawa nawe au akuzidi 3 hilo ndio tatizo mwanaume akiwa na hiyo miaka hawezi chukuwa mke wamiaka 27 labda afuate kukupiga hela.kwamiaka yako unatakiwa upate mume kuanzia 35 ila kumbuka wanaume wa kuanzia 35 tayari wanafamilia kwahiyo kama unataka kweri mume mwenye akili timamu kwaumli wako jiandae kuwa mke 2 au mchepuko huwo ndio ukweli
Asante umeongea point ya msingi SanaHayo maisha unayoyaishi ndiyo yana attract wewe kupata wapenzi wa namna hiyo.
Ukiishi maisha ya level yako uta-attract watu wa level yako.
Kukusaidia tu, anza kuishi maisha ya level yako, kutana na watu wa level yako, jichanganye na watu wa level yako.
Ukiweza hayo, utatongozwa na watu wa level zako na hizi lalamika zitaisha.
Thank me later.
Lengo la kuandika ni kujua tatizo liko wapi na nilitatueje,hao wakunitongoza usihofu kwasasa sina haja ya hilo.nataka kujireform nijiumbe upya then baadae naweza date tena ila sio sasaSasa kwa kuandika tabia yako hiyo humu jamvini si utawapata wengi tu wa kukupiga mizinga,tulia,usiwe na papara za kutafuta mwenza,muombe Mungu akujalie upate mume mwema,amini tu inawezekana,hajawahi kushindwa...
Usiseme hivo mkuu juzi watu wametapeliwa humu sijui na mkuu nani wameishia kumlaumu mkuu mshana jr. Huyu kajitangaza ana hela atawadaka wengi sana huko pm subiri
Pole kukuumiza,hakuna nimjuaye wala anijuaye humu so sioni sababu ya kutomjibu mtu.The way unavyojibu comments za wadau napata mashaka na lengo la hii mada, kuna comments hukupaswa kuzijibu kabisa lakini umezijibu, nikutakie kila LA kheri
Unataka aombe halafu akazifanyie mazishi? Lazima akale bataInaumiza sana mwanaume kuomba hela halafu anaenda fanyia starehe
Jiulize kwann umeweza kudate na wanaume walewale wenye sifa zilezile over and over again.mimi ni mwanamke wa miaka 27,sijaolewa,Sina mtoto,Sina mpenzi,nimepanga naishi na mdogo want mmoja yuko kidato Cha nne Sasa.
Tatizo langu ni moja tangu nianze kujihusisha na mapenzi napata wanaume ama wapenzi wanaoniomba hela na kutaka mie ndiyo niwahudumie.nina kazi ndio ya kawaida tu ila sijui kumwomba mwanaume hela.
Ni mtoto wa pekee,nilolelewa na wajomba baada ya wazazi kuondoka duniani.nilipitia kipindi kigumu sana wakati nakua na kwenye elimu yangu,hiyo ikanojengea kujiamini na kujitafutia vyangu.sijui kujigamba,sichezei pesa kwa mambo yasiyo ya msingi ila nina roho ya huruma sana.naweza kuwa na milioni hata 5 kwenye akaunti na bado nikapanda daladala ama kula kwa mama ntilie mtaani au kazini.
Mpenzi wa Kwanza alikuwa ananipiga mizinga Sana baada ya kuja kwangu na kuona navyoishi,hatukudumu tukaachana sababu hiyo,kwani hakuwahi nipa hata senti yake ila yeye amenilia hela zangu nyingi.
Wa pili ilikuwa hivyohivyo Kila leo alikuwa anapanga mbinu za kunitoa hela,nikaona isiwe shida nikaachana naye.wa tatu alikuwa ananisema niache kuwapa watu hela ila akishika simu yangu anajifowafia hela toka line yangu ya mpesa,halafu ananikashifu kuwa najidai kuwa na hela wakati sijawahi mweleza hayo,ila alikuwa anachunguza akaunti zangu za mp pesa na benki akanifosi nikampa Hadi pasiwed akawa akihitaj hela anatoa bila kunitaarifu.nikaona isiwe tabu nikaachana naye.
Sahivi yapata mwaka niko singo na nimeamua kutokudate tena manake napata magarasa tu.naombeni ushauri nakosea wapi?kiukweli siwezi kuomba hela na nikiomba kama nina uhotaj nisipopewa basi najikalia kimya tu.
Kwanini wanaume waniombe hela?kasoro yangu ni Nini?na katika wote hao hakuna niliyemtongoza walinotongoza wenyewe.mie sipendi kuomba wala kuombwa hela.naumia sana Kama mwanamke.naona wananitongoza kwa lengo la kunichuna,lakin mbona mie navaa kawaida,nala kawaida,siyo mtu wa starehe,tatizo ni nini?
Nazungumzia wanaopenda kuomba omba tu na sio watoaji, Kama mwanaume ana kawaida ya kutoa siku akikwama kwa nn tusisaidiane lkn kuna wale anaomba tu mda wote hao ndo naowasemea
Asante umeongea point ya msingi Sana
Nitaanza badilika toka leo kwani uwezo wa kubadilika ninao sana tu.
Ngoja nkafute commentUnatuharibia waomba hela
Inaumaa sana,na ukimwambia huna anakununia,mie mapenzi basi kwakkel
Hahaha, sawa.
But I know what I have just written, wapo wengi wa kupokea tu.
Hii fursa hadimu sana kama tupo kwenye usahili wa TRA waombaji tuko wengiProfesa Kunde Ekeke naona unajiwahi kwenye fursa.
Ulichokisema nimekielewa vizuri tu na uko sawa lakin maana yangu ilikua hiyo nilosema hapo juu
Wanaume tunapatika JF weka vigezo tuchangamkie fursaNajua ni roho mufilisi kupitia wanaume ndiosababu nimeamua kutodate tena.
Duhh pole sana ,usiwe muwazi kiasi hicho ,tatizo la darisalaama wanaume wengi wanapenda kulelewa,mtu haoni aibu kabisa kuomba hela mwanamke,sijui wamelelewa vipi hawamimi ni mwanamke wa miaka 27,sijaolewa,Sina mtoto,Sina mpenzi,nimepanga naishi na mdogo want mmoja yuko kidato Cha nne Sasa.
Tatizo langu ni moja tangu nianze kujihusisha na mapenzi napata wanaume ama wapenzi wanaoniomba hela na kutaka mie ndiyo niwahudumie.nina kazi ndio ya kawaida tu ila sijui kumwomba mwanaume hela.
Ni mtoto wa pekee,nilolelewa na wajomba baada ya wazazi kuondoka duniani.nilipitia kipindi kigumu sana wakati nakua na kwenye elimu yangu,hiyo ikanojengea kujiamini na kujitafutia vyangu.sijui kujigamba,sichezei pesa kwa mambo yasiyo ya msingi ila nina roho ya huruma sana.naweza kuwa na milioni hata 5 kwenye akaunti na bado nikapanda daladala ama kula kwa mama ntilie mtaani au kazini.
Mpenzi wa Kwanza alikuwa ananipiga mizinga Sana baada ya kuja kwangu na kuona navyoishi,hatukudumu tukaachana sababu hiyo,kwani hakuwahi nipa hata senti yake ila yeye amenilia hela zangu nyingi.
Wa pili ilikuwa hivyohivyo Kila leo alikuwa anapanga mbinu za kunitoa hela,nikaona isiwe shida nikaachana naye.wa tatu alikuwa ananisema niache kuwapa watu hela ila akishika simu yangu anajifowafia hela toka line yangu ya mpesa,halafu ananikashifu kuwa najidai kuwa na hela wakati sijawahi mweleza hayo,ila alikuwa anachunguza akaunti zangu za mp pesa na benki akanifosi nikampa Hadi pasiwed akawa akihitaj hela anatoa bila kunitaarifu.nikaona isiwe tabu nikaachana naye.
Sahivi yapata mwaka niko singo na nimeamua kutokudate tena manake napata magarasa tu.naombeni ushauri nakosea wapi?kiukweli siwezi kuomba hela na nikiomba kama nina uhotaj nisipopewa basi najikalia kimya tu.
Kwanini wanaume waniombe hela?kasoro yangu ni Nini?na katika wote hao hakuna niliyemtongoza walinotongoza wenyewe.mie sipendi kuomba wala kuombwa hela.naumia sana Kama mwanamke.naona wananitongoza kwa lengo la kunichuna,lakin mbona mie navaa kawaida,nala kawaida,siyo mtu wa starehe,tatizo ni nini?
Yaani Mungu atusaidie,lile fundisho la edeni wanaume tumelisahau kabisa,hatuli kwa jasho tenaDuuuuh,HV dume linaloomba pesa mwanamke linajiskiaje yaan?? Daaaah....watoto wengine wa kiume sio riziki kabisa