Najihisi nina mkosi kwenye mapenzi

Najihisi nina mkosi kwenye mapenzi

Wewe mwenyew ulisema una huruma so, hatutegemei ulalamike ukitoa.labda ufute hiyo kauli.pia , sasa maisha unayapanga wew? Kila mtu ana malengo na shida zake.pia , wew umesema huombi hela, unajikalia kimya. Sasa wenzako wako kama wew? Unalazimisha wafanye kama wewe? Je kabla hamjaingia kwenye penzi umewapa masharti yako?
Kuna huyu mmoja nilimwambia babe sipendi tabia ya kuniomba hela kwani nami nimeajiriwa kama wewe,akakasirika akanambia nimemdharau,tena tuliongea tukiwa wenyewe sehemu tulivu kwa ipole na ustaarabu,sasa kosa langu li wapi?
 
Kazi kwako mkuu..., Vigezo na masharti vizingatiwe. Hakuna kwichi kwichi hadi ndoa[emoji3].
Aje tu mkuu sina shida.Tukamilishe taratibu Kwa wazazi etc.Me kwakweli nipo tayari nishinde nja but si kuomba hela ya KE.Tujuane,aone nipo vip nami pia nimwone how she looks like basi.
 
Inaumiza sana mwanaume kuomba hela halafu anaenda fanyia starehe
 
Nimeziona sema wanaume saivj nawaogopa
Hata kazini nawapitia mbali hukooo
Nimechoka fanywa daraja
Niamini tu,ufungue moyo na nafsi yako.Me sipo hivo nakuhakikishia 100%Labda kama sitafaa Kwa namna ya mwonekano Wangu.Ila ni handsome kidooogo
 
Hujafanya kosa lolote lile hivyo huna unapokosea. Endelea tu kujichanganya labda utapata mtu wa maana badala ya hayo magarasa. Na hiyo tabia yako ya kutoa password kwa BF usiirudie kabisa vinginevyo utakuja kulizwa kwa garasa kukwangua bank account yako yote na kukuachia ZERO. Usirudie kabisa hilo kosa.

mimi ni mwanamke wa miaka 27,sijaolewa,Sina mtoto,Sina mpenzi,nimepanga naishi na mdogo want mmoja yuko kidato Cha nne Sasa.

Tatizo langu ni moja tangu nianze kujihusisha na mapenzi napata wanaume ama wapenzi wanaoniomba hela na kutaka mie ndiyo niwahudumie.nina kazi ndio ya kawaida tu ila sijui kumwomba mwanaume hela.

Ni mtoto wa pekee,nilolelewa na wajomba baada ya wazazi kuondoka duniani.nilipitia kipindi kigumu sana wakati nakua na kwenye elimu yangu,hiyo ikanojengea kujiamini na kujitafutia vyangu.sijui kujigamba,sichezei pesa kwa mambo yasiyo ya msingi ila nina roho ya huruma sana.naweza kuwa na milioni hata 5 kwenye akaunti na bado nikapanda daladala ama kula kwa mama ntilie mtaani au kazini.

Mpenzi wa Kwanza alikuwa ananipiga mizinga Sana baada ya kuja kwangu na kuona navyoishi,hatukudumu tukaachana sababu hiyo,kwani hakuwahi nipa hata senti yake ila yeye amenilia hela zangu nyingi.

Wa pili ilikuwa hivyohivyo Kila leo alikuwa anapanga mbinu za kunitoa hela,nikaona isiwe shida nikaachana naye.wa tatu alikuwa ananisema niache kuwapa watu hela ila akishika simu yangu anajifowafia hela toka line yangu ya mpesa,halafu ananikashifu kuwa najidai kuwa na hela wakati sijawahi mweleza hayo,ila alikuwa anachunguza akaunti zangu za mp pesa na benki akanifosi nikampa Hadi pasiwed akawa akihitaj hela anatoa bila kunitaarifu.nikaona isiwe tabu nikaachana naye.

Sahivi yapata mwaka niko singo na nimeamua kutokudate tena manake napata magarasa tu.naombeni ushauri nakosea wapi?kiukweli siwezi kuomba hela na nikiomba kama nina uhotaj nisipopewa basi najikalia kimya tu.
Kwanini wanaume waniombe hela?kasoro yangu ni Nini?na katika wote hao hakuna niliyemtongoza walinotongoza wenyewe.mie sipendi kuomba wala kuombwa hela.naumia sana Kama mwanamke.naona wananitongoza kwa lengo la kunichuna,lakin mbona mie navaa kawaida,nala kawaida,siyo mtu wa starehe,tatizo ni nini?
 
Pole sana,hao ni wanaume wa Dar
Naomba uni PM,mm wa Kyela siwezi chukua hela yako mm ninataka mapenzi tu
Ni PM tuyajenge
 
Tatizo lako ni mama huruma na unasomeka haraka sana. Jifunze kuwa kauzu kidogo, siku hizi mapenzi ya kweli yamebaki kwa watu wachache kama mimi.
 
Una roho ya huruma na kamwe huwezi badilisha hiyo tabia.....kuwa na subira utapata unayemtaka

NB: ukipata mwanaume tena funguka kila kitu (Jf hakuna mwanaume huyo)
 
Back
Top Bottom