Najihisi nina mkosi kwenye mapenzi

Najihisi nina mkosi kwenye mapenzi

Ni wa mkoa kweli wote hao niliodate,walikuja dar kimaisha tu.Mmoja alikuwa mhaya,mwingine mfipa na wa mwisho mkurya alokuwa ananilazimisha hadi kujua pasuwed za mpesa na bank.
Kunde Ekeke. ... haya una cha kuongea! ? .. nyinyi watu wa mikoani mkija dar ndio mnaokuja kutuchafulia jiji letu na Tabia zenu chafu

Yaani watoto wa kiume mna omba omba pesa bila hata haya kama wanawake bwana --- kwanza u-naanza vipi kutokuwa hata na mshipa wa haya wa kumuomba pesa mwanamke? ?? ..... Mwanamke anapaswa kukupa pesa yake mwenyewe kwa matakwa yake na hapo ni baada ya kuona kuwa mwanaume aliye nae hana choyo huwa anatoa vyake kwa moyo mkunjufu. ...acheni Tabia mbaya aise
 
mimi ni mwanamke wa miaka 27,sijaolewa,Sina mtoto,Sina mpenzi,nimepanga naishi na mdogo want mmoja yuko kidato Cha nne Sasa.

Tatizo langu ni moja tangu nianze kujihusisha na mapenzi napata wanaume ama wapenzi wanaoniomba hela na kutaka mie ndiyo niwahudumie.nina kazi ndio ya kawaida tu ila sijui kumwomba mwanaume hela.

Ni mtoto wa pekee,nilolelewa na wajomba baada ya wazazi kuondoka duniani.nilipitia kipindi kigumu sana wakati nakua na kwenye elimu yangu,hiyo ikanojengea kujiamini na kujitafutia vyangu.sijui kujigamba,sichezei pesa kwa mambo yasiyo ya msingi ila nina roho ya huruma sana.naweza kuwa na milioni hata 5 kwenye akaunti na bado nikapanda daladala ama kula kwa mama ntilie mtaani au kazini.

Mpenzi wa Kwanza alikuwa ananipiga mizinga Sana baada ya kuja kwangu na kuona navyoishi,hatukudumu tukaachana sababu hiyo,kwani hakuwahi nipa hata senti yake ila yeye amenilia hela zangu nyingi.

Wa pili ilikuwa hivyohivyo Kila leo alikuwa anapanga mbinu za kunitoa hela,nikaona isiwe shida nikaachana naye.wa tatu alikuwa ananisema niache kuwapa watu hela ila akishika simu yangu anajifowafia hela toka line yangu ya mpesa,halafu ananikashifu kuwa najidai kuwa na hela wakati sijawahi mweleza hayo,ila alikuwa anachunguza akaunti zangu za mp pesa na benki akanifosi nikampa Hadi pasiwed akawa akihitaj hela anatoa bila kunitaarifu.nikaona isiwe tabu nikaachana naye.

Sahivi yapata mwaka niko singo na nimeamua kutokudate tena manake napata magarasa tu.naombeni ushauri nakosea wapi?kiukweli siwezi kuomba hela na nikiomba kama nina uhotaj nisipopewa basi najikalia kimya tu.
Kwanini wanaume waniombe hela?kasoro yangu ni Nini?na katika wote hao hakuna niliyemtongoza walinotongoza wenyewe.mie sipendi kuomba wala kuombwa hela.naumia sana Kama mwanamke.naona wananitongoza kwa lengo la kunichuna,lakin mbona mie navaa kawaida,nala kawaida,siyo mtu wa starehe,tatizo ni nini?

Jaribu usiwe dominant kwenye mahusinao yenu, wewe act kama wanawake wengine wengi walivyo, piga mizinga ya uongo uongo, usionyeshe kama unaweza kujimudu na mumsaidia mpenzi wako.
Sina maana wanawake wote wako hivyo, ila wengi wako hivyo. Na wewe jiweke hivyo upate bwana sahihi.
 
Ni wa mkoa kweli wote hao niliodate,walikuja dar kimaisha tu.Mmoja alikuwa mhaya,mwingine mfipa na wa mwisho mkurya alokuwa ananilazimisha hadi kujua pasuwed za mpesa na bank.
Daah, huyu Mkurya anatisha sana.
 
so sad!!umeongea kwa unyonge...pole, jaribu kuto muweka wazi kila mwanaume wako,wanaume wa Dar Mario sana.muombe mungu utapata alio sahii kwako.punguza huruma
 
mimi ni mwanamke wa miaka 27,sijaolewa,Sina mtoto,Sina mpenzi,nimepanga naishi na mdogo want mmoja yuko kidato Cha nne Sasa.

Tatizo langu ni moja tangu nianze kujihusisha na mapenzi napata wanaume ama wapenzi wanaoniomba hela na kutaka mie ndiyo niwahudumie.nina kazi ndio ya kawaida tu ila sijui kumwomba mwanaume hela.

Ni mtoto wa pekee,nilolelewa na wajomba baada ya wazazi kuondoka duniani.nilipitia kipindi kigumu sana wakati nakua na kwenye elimu yangu,hiyo ikanojengea kujiamini na kujitafutia vyangu.sijui kujigamba,sichezei pesa kwa mambo yasiyo ya msingi ila nina roho ya huruma sana.naweza kuwa na milioni hata 5 kwenye akaunti na bado nikapanda daladala ama kula kwa mama ntilie mtaani au kazini.

Mpenzi wa Kwanza alikuwa ananipiga mizinga Sana baada ya kuja kwangu na kuona navyoishi,hatukudumu tukaachana sababu hiyo,kwani hakuwahi nipa hata senti yake ila yeye amenilia hela zangu nyingi.

Wa pili ilikuwa hivyohivyo Kila leo alikuwa anapanga mbinu za kunitoa hela,nikaona isiwe shida nikaachana naye.wa tatu alikuwa ananisema niache kuwapa watu hela ila akishika simu yangu anajifowafia hela toka line yangu ya mpesa,halafu ananikashifu kuwa najidai kuwa na hela wakati sijawahi mweleza hayo,ila alikuwa anachunguza akaunti zangu za mp pesa na benki akanifosi nikampa Hadi pasiwed akawa akihitaj hela anatoa bila kunitaarifu.nikaona isiwe tabu nikaachana naye.

Sahivi yapata mwaka niko singo na nimeamua kutokudate tena manake napata magarasa tu.naombeni ushauri nakosea wapi?kiukweli siwezi kuomba hela na nikiomba kama nina uhotaj nisipopewa basi najikalia kimya tu.
Kwanini wanaume waniombe hela?kasoro yangu ni Nini?na katika wote hao hakuna niliyemtongoza walinotongoza wenyewe.mie sipendi kuomba wala kuombwa hela.naumia sana Kama mwanamke.naona wananitongoza kwa lengo la kunichuna,lakin mbona mie navaa kawaida,nala kawaida,siyo mtu wa starehe,tatizo ni nini?
Haya pole na karibu
 
Jaribu usiwe dominant kwenye mahusinao yenu, wewe act kama wanawake wengine wengi walivyo, piga mizinga ya uongo uongo, usionyeshe kama unaweza kujimudu na mumsaidia mpenzi wako.
Sina maana wanawake wote wako hivyo, ila wengi wako hivyo. Na wewe jiweke hivyo upate bwana sahihi.
Hata nikipiga sipewi
Siwezi igiza maisha,dawa ni kuachana na mapenzi jumla tu
 
Huyo James ametokea huko huko mkoani kwenu nakuja dar
Ye ana ishi dar karithi uchoko wa huko kafika mnamfyatua kisamvu katoka mkoani analima eka 100 kwa wiki sasa hivi ata tuta hawezi hilo jiji lenu mwanamme ana fanana na wanawake ndio maana uncle ana amia dom
 
Hata nikipiga sipewi
Siwezi igiza maisha,dawa ni kuachana na mapenzi jumla tu
naona moyo umekata tamaa kabisa,hayo nimapito tu ndugu....jaribu kuwa na subira huwezi jua mungu kakuandikia nini mbeleni
 
Hata nikipiga sipewi
Siwezi igiza maisha,dawa ni kuachana na mapenzi jumla tu

Basi inawezekana unapata wanaume wa aina fulani, you need a man to be a man in your life, sio mwanaume mradi tu. Na kwanini uache mapenzi jumla, wewe ni mwanamke utahitaji tu mwanaume, tatizo ukisema uache unaweza kujikuta umefanya mambo ya ajabu ukizidiwa na hisia za mwili...

Kuwa makini tu katika choice yako ya wanaume.
 
Sihitaj mwanaume wa kuniomba hela,mbona mie siwaombi?kwahiyo kuwa na huruma na kuchakarika kutafuta hela,ndio wanigeuze mradi?
Mwanaume hapaswi kuomba hela labda hakope na harudishe kwa wakati..Kwa kigezo hicho nimekidhi viwango utanifikilia
 
Sihitaj mwanaume wa kuniomba hela,mbona mie siwaombi?kwahiyo kuwa na huruma na kuchakarika kutafuta hela,ndio wanigeuze mradi?

Pia mwanaume kukuomba hela sio shida, ikiwa ni mara moja na kwa hitaji sahihi kama yeye hana na wewe unazo, tatizo ni pale inapokuwa tabia.
Pia wewe kama utakuwa ni bibi yangu mimi, na nakupa hela usikatae eti kwasababu unajua naweza kuja kukuomba baadae.
 
Ndugu yangu kila ajaye anakuwa na tabia hizo,huu ni mkosi na dawa ya kuuepuka ni kukaa nao mbali tu.
Nimekuuliza swali mpendwa wangu hujajibu why unatoa pesa jaribu kwa katili kwa hao MARIO
 
mimi ni mwanamke wa miaka 27,sijaolewa,Sina mtoto,Sina mpenzi,nimepanga naishi na mdogo want mmoja yuko kidato Cha nne Sasa.

Tatizo langu ni moja tangu nianze kujihusisha na mapenzi napata wanaume ama wapenzi wanaoniomba hela na kutaka mie ndiyo niwahudumie.nina kazi ndio ya kawaida tu ila sijui kumwomba mwanaume hela.

Ni mtoto wa pekee,nilolelewa na wajomba baada ya wazazi kuondoka duniani.nilipitia kipindi kigumu sana wakati nakua na kwenye elimu yangu,hiyo ikanojengea kujiamini na kujitafutia vyangu.sijui kujigamba,sichezei pesa kwa mambo yasiyo ya msingi ila nina roho ya huruma sana.naweza kuwa na milioni hata 5 kwenye akaunti na bado nikapanda daladala ama kula kwa mama ntilie mtaani au kazini.

Mpenzi wa Kwanza alikuwa ananipiga mizinga Sana baada ya kuja kwangu na kuona navyoishi,hatukudumu tukaachana sababu hiyo,kwani hakuwahi nipa hata senti yake ila yeye amenilia hela zangu nyingi.

Wa pili ilikuwa hivyohivyo Kila leo alikuwa anapanga mbinu za kunitoa hela,nikaona isiwe shida nikaachana naye.wa tatu alikuwa ananisema niache kuwapa watu hela ila akishika simu yangu anajifowafia hela toka line yangu ya mpesa,halafu ananikashifu kuwa najidai kuwa na hela wakati sijawahi mweleza hayo,ila alikuwa anachunguza akaunti zangu za mp pesa na benki akanifosi nikampa Hadi pasiwed akawa akihitaj hela anatoa bila kunitaarifu.nikaona isiwe tabu nikaachana naye.

Sahivi yapata mwaka niko singo na nimeamua kutokudate tena manake napata magarasa tu.naombeni ushauri nakosea wapi?kiukweli siwezi kuomba hela na nikiomba kama nina uhotaj nisipopewa basi najikalia kimya tu.
Kwanini wanaume waniombe hela?kasoro yangu ni Nini?na katika wote hao hakuna niliyemtongoza walinotongoza wenyewe.mie sipendi kuomba wala kuombwa hela.naumia sana Kama mwanamke.naona wananitongoza kwa lengo la kunichuna,lakin mbona mie navaa kawaida,nala kawaida,siyo mtu wa starehe,tatizo ni nini?
Usitoe hela
Usiongelee ishu za hela
PERIODTTT
 
Back
Top Bottom