Najihisi nina mkosi kwenye mapenzi

Najihisi nina mkosi kwenye mapenzi

Tena wasomi wazuri tu,sijawah date ambaye hana kazi
Kuna huyo alikuwa anafosi nimtumie hela kwenye mpesa akisingizia ana matatizo kumbe anaenda kustarehe,halafu tukikutana akawa ananitusi kuwa ninajidai nina hela,najipa majukumu yasiyo yangu wakati alikuwa ananifosi nimtumie hizo hela,sikuwah mpa hela yangu kwa hiari
Mmmh aisee kweli una tatizo! Yaani mtu skifosi kitu we unatoa!!?? Hata nyuma(tigo) wakiforce unatoa??
 
Daaah mimi kumbe nakosea nakumbuka tangu nimeanza mahusiano na mpenzi wangu miaka mingi sasa sijawahi kujua mshahara wake ilinichukua a year kujua kazini kwake tena alinipigia simu anaumwa nikaenda kumchukua...Yaani siku hiyo ilikuwa vituko maana tunaelekezena kwenye simu direction ya kufika ofisin kwake.

Daaah nilipo fika nikamwambia aisee kumbe unafanya kazi ofisi kubwa hivii..Ninacho kumbuka yeye ndio mnunuzi mkuu wa boxer,vest,T-shirt na mashati yangu but bills kubwa zote huwa mimi ndio nafinance japo kwa Mazingira ya Kazin Kwao nilivyo yaona na level yake nahisi kipato chake either kinalingana na changu au nimemzidi tofauti isiyozidi laki 2.

Siku moja aliniambia tuhame nikamwambia poa nikaenda kutafuta nyumba ambayo kodi kwa mwezi ilikuwa 200k but alipo iona akataa basi nikamwambia tafuta wewe akatafuta akaja na nyumba ya 300k kwa mwezi nikamwambia okay nenda kalipie nikamwambia huna ela akasema hana. Nika mwambia umefanya kazi miaka 3 naona tuu boxer na vest bills zote nalipa mimi kwenu wewe ndie last born Pesa yako unapeleka wapi???!!!. Ugomvi ulikuwa mkubwa sana aisee kwa majibu aliyonijibu.

Daaah na mimi nilimwambia alipie maana ya kuona amechagua nyumba ya 300k nilitegemea ataniambia labda nina kiasi kadhaa ongeza but hakutoa hata mia. Nikapata safar ya kikazi Mwanza nikasepa Duuuh jamaa akaenda kuishi kwao baada ya Kodi kuisha akabeba vitu akapeleka kwao na mimi nilivyo sikia hivyo nikarudi kimya kimya nikapanga zangu chumba cha 150k Sinza nikaanza maisha tukiwasiliana anajua nipo Mwanza..Akaja kupata tetesi kama nakaa Sinza baada ya miezi 3 Nashangaa mtu huyu hapa nikamwambia mama Huna akili hustaili kuwa mke wangu na sitaki kukuchezea ndio maana nimekuacha.

Daaah sasa bhana yaani nahisi sijui ni wewe Dada maana nasikia watu wanamlia Pesa zake maana yaani amekuwa yeye ndio mlipa kila kitu sasa kesi zake ni wanaume wanakuwa nae kimaslahi ya Pesa. Alikuja nimsamehe nikamwambia nilisha kusamehe tangu nimesafiri but nilivyo sikia umehama umeenda home unasubiri nirudi nilipe kodi ambayo nimekuwa nikilipa kwa zaidi ya miaka 2 wewe umeshindwa ndipo nilipo fanya maamuzi ya kukuacha.

Wanawake muwe na akili ya kujiongeza na muwe na uchungu wa pesa ya mwenza wako hata kama hutoi wewe...Baada ya kuachana nimekuja kuona anakaa nyumba ya 150k nikamuuliza mbona hujaenda kwa nyumba ya choice yako ile ya 300k akaanza kulia na kuomba msamaha...Watu hamna hata mtoto unataka nyumba ya 300k ya nini?
Haha duuh eti hastahili kuwa mke wako ila ingekuwa ndo mwanamke amemwambia hivyo mwanaume kuwa hastahili kuwa mume wake ungeona ambavyo watu wangemuattack huyo mwanamke ila naomba nikuulize swali mkuu kazi za nyumbani alikuwa anafanya nani?
 
Mimi ni mwanamke wa miaka 27,sijaolewa,Sina mtoto,Sina mpenzi,nimepanga naishi na mdogo wangu mmoja yuko kidato cha nne sasa.

Tatizo langu ni moja tangu nianze kujihusisha na mapenzi napata wanaume ama wapenzi wanaoniomba hela na kutaka mie ndiyo niwahudumie.Nina kazi ndio ya kawaida tu ila sijui kumwomba mwanaume hela.

Ni mtoto wa pekee,niliyelelewa na wajomba baada ya wazazi kuondoka duniani.Nilipitia kipindi kigumu sana wakati nakua na kwenye elimu yangu,hiyo ikanijengea kujiamini na kujitafutia vyangu.

Sijui kujigamba,sichezei pesa kwa mambo yasiyo ya msingi ila nina roho ya huruma sana. Naweza kuwa na milioni hata 5 kwenye akaunti na bado nikapanda daladala ama kula kwa mama ntilie mtaani au kazini.

Mpenzi wa Kwanza alikuwa ananipiga mizinga sana baada ya kuja kwangu na kuona navyoishi,hatukudumu tukaachana sababu hiyo,kwani hakuwahi nipa hata senti yake ila yeye amenilia hela zangu nyingi.

Wa pili ilikuwa hivyo hivyo kila leo alikuwa anapanga mbinu za kunitoa hela,nikaona isiwe shida nikaachana naye. Wa tatu alikuwa ananisema niache kuwapa watu hela ila akishika simu yangu anajifowafia hela toka line yangu ya mpesa,halafu ananikashifu kuwa najidai kuwa na hela wakati sijawahi mweleza hayo,ila alikuwa anachunguza akaunti zangu za m-pesa na benki akanifosi nikampa hadi pasiwedi akawa akihitaji hela anatoa bila kunitaarifu. Nikaona isiwe tabu nikaachana naye.

Sasa hivi yapata mwaka niko single na nimeamua kutokudate tena manake napata magarasa tu.

Naombeni ushauri nakosea wapi? Kiukweli siwezi kuomba hela na nikiomba kama nina uhitaji nisipopewa basi najikalia kimya tu.

Kwanini wanaume waniombe hela?kasoro yangu ni Nini?na katika wote hao hakuna niliyemtongoza walinotongoza wenyewe.

Mie sipendi kuomba wala kuombwa hela. Naumia sana kama mwanamke. Naona wananitongoza kwa lengo la kunichuna,lakini mbona mie navaa kawaida,nala kawaida,siyo mtu wa starehe. Tatizo ni nini?

Lay your status low hakuna mwanaume anaependa ke anaejikweza usione wanakuja kulalamika huku ila faraja zao ni ke anapomlilia shida (ila vizinga visizidi)
 
Daaah mimi kumbe nakosea nakumbuka tangu nimeanza mahusiano na mpenzi wangu miaka mingi sasa sijawahi kujua mshahara wake ilinichukua a year kujua kazini kwake tena alinipigia simu anaumwa nikaenda kumchukua...Yaani siku hiyo ilikuwa vituko maana tunaelekezena kwenye simu direction ya kufika ofisin kwake.

Daaah nilipo fika nikamwambia aisee kumbe unafanya kazi ofisi kubwa hivii..Ninacho kumbuka yeye ndio mnunuzi mkuu wa boxer,vest,T-shirt na mashati yangu but bills kubwa zote huwa mimi ndio nafinance japo kwa Mazingira ya Kazin Kwao nilivyo yaona na level yake nahisi kipato chake either kinalingana na changu au nimemzidi tofauti isiyozidi laki 2.

Siku moja aliniambia tuhame nikamwambia poa nikaenda kutafuta nyumba ambayo kodi kwa mwezi ilikuwa 200k but alipo iona akataa basi nikamwambia tafuta wewe akatafuta akaja na nyumba ya 300k kwa mwezi nikamwambia okay nenda kalipie nikamwambia huna ela akasema hana. Nika mwambia umefanya kazi miaka 3 naona tuu boxer na vest bills zote nalipa mimi kwenu wewe ndie last born Pesa yako unapeleka wapi???!!!. Ugomvi ulikuwa mkubwa sana aisee kwa majibu aliyonijibu.

Daaah na mimi nilimwambia alipie maana ya kuona amechagua nyumba ya 300k nilitegemea ataniambia labda nina kiasi kadhaa ongeza but hakutoa hata mia. Nikapata safar ya kikazi Mwanza nikasepa Duuuh jamaa akaenda kuishi kwao baada ya Kodi kuisha akabeba vitu akapeleka kwao na mimi nilivyo sikia hivyo nikarudi kimya kimya nikapanga zangu chumba cha 150k Sinza nikaanza maisha tukiwasiliana anajua nipo Mwanza..Akaja kupata tetesi kama nakaa Sinza baada ya miezi 3 Nashangaa mtu huyu hapa nikamwambia mama Huna akili hustaili kuwa mke wangu na sitaki kukuchezea ndio maana nimekuacha.

Daaah sasa bhana yaani nahisi sijui ni wewe Dada maana nasikia watu wanamlia Pesa zake maana yaani amekuwa yeye ndio mlipa kila kitu sasa kesi zake ni wanaume wanakuwa nae kimaslahi ya Pesa. Alikuja nimsamehe nikamwambia nilisha kusamehe tangu nimesafiri but nilivyo sikia umehama umeenda home unasubiri nirudi nilipe kodi ambayo nimekuwa nikilipa kwa zaidi ya miaka 2 wewe umeshindwa ndipo nilipo fanya maamuzi ya kukuacha.

Wanawake muwe na akili ya kujiongeza na muwe na uchungu wa pesa ya mwenza wako hata kama hutoi wewe...Baada ya kuachana nimekuja kuona anakaa nyumba ya 150k nikamuuliza mbona hujaenda kwa nyumba ya choice yako ile ya 300k akaanza kulia na kuomba msamaha...Watu hamna hata mtoto unataka nyumba ya 300k ya nini?
Mkuu pole sanaaaaaa
 
Mimi ni mwanamke wa miaka 27,sijaolewa,Sina mtoto,Sina mpenzi,nimepanga naishi na mdogo wangu mmoja yuko kidato cha nne sasa.

Tatizo langu ni moja tangu nianze kujihusisha na mapenzi napata wanaume ama wapenzi wanaoniomba hela na kutaka mie ndiyo niwahudumie.Nina kazi ndio ya kawaida tu ila sijui kumwomba mwanaume hela.

Ni mtoto wa pekee,niliyelelewa na wajomba baada ya wazazi kuondoka duniani.Nilipitia kipindi kigumu sana wakati nakua na kwenye elimu yangu,hiyo ikanijengea kujiamini na kujitafutia vyangu.

Sijui kujigamba,sichezei pesa kwa mambo yasiyo ya msingi ila nina roho ya huruma sana. Naweza kuwa na milioni hata 5 kwenye akaunti na bado nikapanda daladala ama kula kwa mama ntilie mtaani au kazini.

Mpenzi wa Kwanza alikuwa ananipiga mizinga sana baada ya kuja kwangu na kuona navyoishi,hatukudumu tukaachana sababu hiyo,kwani hakuwahi nipa hata senti yake ila yeye amenilia hela zangu nyingi.

Wa pili ilikuwa hivyo hivyo kila leo alikuwa anapanga mbinu za kunitoa hela,nikaona isiwe shida nikaachana naye. Wa tatu alikuwa ananisema niache kuwapa watu hela ila akishika simu yangu anajifowafia hela toka line yangu ya mpesa,halafu ananikashifu kuwa najidai kuwa na hela wakati sijawahi mweleza hayo,ila alikuwa anachunguza akaunti zangu za m-pesa na benki akanifosi nikampa hadi pasiwedi akawa akihitaji hela anatoa bila kunitaarifu. Nikaona isiwe tabu nikaachana naye.

Sasa hivi yapata mwaka niko single na nimeamua kutokudate tena manake napata magarasa tu.

Naombeni ushauri nakosea wapi? Kiukweli siwezi kuomba hela na nikiomba kama nina uhitaji nisipopewa basi najikalia kimya tu.

Kwanini wanaume waniombe hela?kasoro yangu ni Nini?na katika wote hao hakuna niliyemtongoza walinotongoza wenyewe.

Mie sipendi kuomba wala kuombwa hela. Naumia sana kama mwanamke. Naona wananitongoza kwa lengo la kunichuna,lakini mbona mie navaa kawaida,nala kawaida,siyo mtu wa starehe. Tatizo ni nini?
Hao mabwana zako inawezekana wana alikana na wanahusiana .
Lazima watakuwa wanashare details kwamba yule ana hela.

Jitahidi masuala yako ya fedha kuwa sili zaidi na ni vyema, pia kujaribu kuwa na tabia za kike kwani kutojaribu kumshirikisha mwenzi wako kwenye bills inamuonesha kiburi cha fedha
 
Wewe inawezekana sio mzima kichwani hazijatimia au hazipo sawa sawa.

Sasa wewe ndie umekuja hapa na uzi wako ukitaka wadau tukupe ushauri kwenye jambo ambalo limekushinda badala ya kupokea ushauri unaopewa unaanza kucomment shombo na takataka zinazotoka kwenye hilo likichwa lako ulilobebelea akili za kikahaba.

Ila ukome, mwanzo nilikuonea huruma na ndio maana nikatenga muda wangu kuandika ushauri ambao nina uhakika ungeufanyia kazi ungeona mabadiliko. Ila kutokana na ulichonijibu tayari nimekushusha thamani na nimejua wewe sio kama unavyojipresent hapa.

Wewe unaonyesha una damu ya nuksi na mikosi na hautakuja kutoka katika hilo shimo ukiendelea na hii tabia yako chafu mbweha mkubwa wewe......

Hao wanaume waliokuchezea ni mwanzo tu bado utaendelea kuchezewa kwasababu hauna akili. Watoto wa kike kama nyie ndio mlizaliwa kufanyiwa takataka zote za kingono na wanaume wasio na malengo na ninyi sababu kuu ni kukosa kwako akili na ujuaji uliopitiliza.

Siku nyingine kama unajua una pumba zako za kuongea kaaa kimya usituletee upuuzi wako hapa maana naona unaleta upuuzi watu tunachangia unatukata bwege mkubwa wewe.

Tena koma nakwambia ukome unachofanyiwa ukomeshwe mara dufu......

Halafu ukome kuita watu Mario mimi sio type yako hata kidogo na siwezi kukutana wala kuzoeana na kahaba ambae anapitiwa na wahuni hovyo hovyo......ningekutukana mitusi mizito ila sinaga hiyo haiba ya matusi na kuna watu nina heshimiana nao hapa siwezi so siwezi kufanya majibizano na mtu asiye na akili kama wewe..... Takataka kutoka jalalani......

Wacha wahuni wajisevie maana hauna thamani hata kidogo sababu ya akili chafu uliyonayo..... Jinga moja wewe. Umeniboa balaaa......

[emoji34][emoji34][emoji34][emoji34][emoji34][emoji34][emoji34][emoji34][emoji34][emoji34][emoji34][emoji34][emoji34][emoji34][emoji34][emoji34][emoji34]
Duuuh[emoji849][emoji849]

Asee si kwa chambo hili[emoji848]
 
Sina sura mbaya,figure ninayo nzuri tu,tako pia lipo
Isitoshe kwanini wanitongoze tena kwa kufosi,hata mtu ukimkataa analazimisha kunidate huoni ni roho ya kuja olewa na hohehahe tuishie sumbuana tu
Aiyaaaa
 
Pole saa dada yngu,ila usilazimishe Mambo,muda wenyewe utasema tu ipo siku moja utapata mume au mpenzi bora
 
Akikuomba mwombe..akikuacha mwache.That is a right way in love relationship.mxuuw
 
Back
Top Bottom