Najihisi nina mkosi kwenye mapenzi

Najihisi nina mkosi kwenye mapenzi

Kazi nafanya kweli ,so nianze kuwa mzembe ili kuepusha hilo manake yaonesha naweza kuja olewa na mwanaume asojishughulisha
Hilo sio la kuomba kabisa,mwanaume asiyefanya kazi,familia yako itakuwa na matatizo sana
 
mimi ni mwanamke wa miaka 27,sijaolewa,Sina mtoto,Sina mpenzi,nimepanga naishi na mdogo want mmoja yuko kidato Cha nne Sasa.

Tatizo langu ni moja tangu nianze kujihusisha na mapenzi napata wanaume ama wapenzi wanaoniomba hela na kutaka mie ndiyo niwahudumie.nina kazi ndio ya kawaida tu ila sijui kumwomba mwanaume hela.

Ni mtoto wa pekee,nilolelewa na wajomba baada ya wazazi kuondoka duniani.nilipitia kipindi kigumu sana wakati nakua na kwenye elimu yangu,hiyo ikanojengea kujiamini na kujitafutia vyangu.sijui kujigamba,sichezei pesa kwa mambo yasiyo ya msingi ila nina roho ya huruma sana.naweza kuwa na milioni hata 5 kwenye akaunti na bado nikapanda daladala ama kula kwa mama ntilie mtaani au kazini.

Mpenzi wa Kwanza alikuwa ananipiga mizinga Sana baada ya kuja kwangu na kuona navyoishi,hatukudumu tukaachana sababu hiyo,kwani hakuwahi nipa hata senti yake ila yeye amenilia hela zangu nyingi.

Wa pili ilikuwa hivyohivyo Kila leo alikuwa anapanga mbinu za kunitoa hela,nikaona isiwe shida nikaachana naye.wa tatu alikuwa ananisema niache kuwapa watu hela ila akishika simu yangu anajifowafia hela toka line yangu ya mpesa,halafu ananikashifu kuwa najidai kuwa na hela wakati sijawahi mweleza hayo,ila alikuwa anachunguza akaunti zangu za mp pesa na benki akanifosi nikampa Hadi pasiwed akawa akihitaj hela anatoa bila kunitaarifu.nikaona isiwe tabu nikaachana naye.

Sahivi yapata mwaka niko singo na nimeamua kutokudate tena manake napata magarasa tu.naombeni ushauri nakosea wapi?kiukweli siwezi kuomba hela na nikiomba kama nina uhotaj nisipopewa basi najikalia kimya tu.
Kwanini wanaume waniombe hela?kasoro yangu ni Nini?na katika wote hao hakuna niliyemtongoza walinotongoza wenyewe.mie sipendi kuomba wala kuombwa hela.naumia sana Kama mwanamke.naona wananitongoza kwa lengo la kunichuna,lakin mbona mie navaa kawaida,nala kawaida,siyo mtu wa starehe,tatizo ni nini?
wewe ni mgodi,ila hujitambui.
 
Kuna shida mahali!
Jiamini, mambo yako yabaki kuwa yako tuu!

Sio kila mwanaume anasema anakupenda anamaanisha! Mwanaume mwenye malengo na wewe mbona ni rahisi tuu kumtambua?!

Kusaidiana kwenye mapenzi kupo, hata mie humsaidia babe akikwama na mie nikikwama pia ananiwezesha na hii ni sababu wote tuna malengo sawa!
 
Najua ni roho mufilisi kupitia wanaume ndiosababu nimeamua kutodate tena.
Kutodate ni uongo utadate sana tu but nenda nao taratibu sio unapigwa mshedede siku mbili unatoa taarifa zako zoote mpaka passwords wanakukula kotekote dah..
 
Rafiki pole kwa yote unayo pitia. Kama huto jali njoo PM Tujadili.
 
Hii ni staili yako ya kuhitaji mwanaume
 
Kutodate ni uongo utadate sana tu but nenda nao taratibu sio unapigwa mshedede siku mbili unatoa taarifa zako zoote mpaka passwords wanakukula kotekote dah..
Mie ndio mhusika najijua,nishafanya maamuzi ya kutodate,ngono kwangu si ishu sana,naweza kaa bila mpenzi na maisha yakaenda,sitaki kupigwa mizinga tena,inshort nimechoka kugeuzwa baba zao
 
Kuna shida mahali!
Jiamini, mambo yako yabaki kuwa yako tuu!

Sio kila mwanaume anasema anakupenda anamaanisha! Mwanaume mwenye malengo na wewe mbona ni rahisi tuu kumtambua?!

Kusaidiana kwenye mapenzi kupo, hata mie humsaidia babe akikwama na mie nikikwama pia ananiwezesha na hii ni sababu wote tuna malengo sawa!
Mambo yangu mostly ni yangu,nahisi hili ni suala la kiroho zaidi,roho za kukutana na wanaume wategemezi limeniandama,so nalikemea rasmi.
 
Duhh pole sana ,usiwe muwazi kiasi hicho ,tatizo la darisalaama wanaume wengi wanapenda kulelewa,mtu haoni aibu kabisa kuomba hela mwanamke,sijui wamelelewa vipi hawa
Kuna mmoja nilimwambia sipendi tabia yake ya kuniombaomba hela kwani inanikwaza,akakasilika.Nikamtafakari ni mwanaume wa aina gani huyu, mwanaume kamili haombiombi hela mwanamke abadani.
 
Hata nishikiwe bunduki siwezi kumpa boyfriend password[emoji23], sometimes kwenye maisha inatakiwa uwe mkatili ili mambo yaende..!

Halafu jaribu kuifanya pesa yako kuwa busy, jishughulishe nje ya kazi kama ni ujenzi, au biashara kuna kitu utajifunza.
Nimeanza yafanyia kazi hayo,nawakwepa wanaume,nakwepa makundi ,nakwepa kampani za kutoka out na marafiki ,
Yaanii nataka nijitenge kabisaa kuepuka hilo
 
Jiulize kwann umeweza kudate na wanaume walewale wenye sifa zilezile over and over again.

U have a bad taste in men! hilo ndilo tatizo lako. Usipo jitathmini utaishia hivyohivyo.
Siwezi ishia huko ndio maana nimeacha date
Niko radhi nizeeke alone kuliko kuja kuwa na mwanaume tegemezi maishani mwangu.
 
Mie ndio mhusika najijua,nishafanya maamuzi ya kutodate,ngono kwangu si ishu sana,naweza kaa bila mpenzi na maisha yakaenda,sitaki kupigwa mizinga tena,inshort nimechoka kugeuzwa baba zao
Naomba nikuulize huwa wana kulazimisha kutoa pesa,jichunguze wapi unakosea ukiwa tayari kuingia kwenye mahusiano jaribu kuwa mkimya kwanza sio uwe mlopokaji wa maisha yako msome mtu kwanza.
 
Back
Top Bottom