Najihisi nina mkosi kwenye mapenzi

Najihisi nina mkosi kwenye mapenzi

Basi kuna udhaifu pa hala wanaoutumia kuwa tegemezi kwako financially, hawezekani wote hao wawe wanakupiga tu mizinga mpaka mwingine kuchukulia hela pasipo ridhaa yako isitoshe umesema na wao wanafanya kazi, una tatizo pahala sio bure dadaangu, kama hii story ni kweli basi jitafakari upya kabla ya relationship inayofuta
Najua ni roho mufilisi kupitia wanaume ndiosababu nimeamua kutodate tena.
 
Umenikumbusha, kuna kaka niliwah kuwa nae wakat nipo shule mwanaume anaomba hela kama hana akili nzuri vile nikaona isiwe tabu yaan mwanaume akiomba omba hela na upendo unaisha hapo hapo
 
Umenikumbusha, kuna kaka niliwah kuwa nae wakat nipo shule mwanaume anaomba hela kama hana akili nzuri vile nikaona isiwe tabu yaan mwanaume akiomba omba hela na upendo unaisha hapo hapo
Ndio wapo wanaune wa hivyo na anajiona yuko sahihi kabisa
 
Duh! Pole sana
Tena wasomi wazuri tu,sijawah date ambaye hana kazi
Kuna huyo alikuwa anafosi nimtumie hela kwenye mpesa akisingizia ana matatizo kumbe anaenda kustarehe,halafu tukikutana akawa ananitusi kuwa ninajidai nina hela,najipa majukumu yasiyo yangu wakati alikuwa ananifosi nimtumie hizo hela,sikuwah mpa hela yangu kwa hiari
 
Point ilikuwa kuonyesha naishi maisha ya kawaida sana,siyakujionyesha wala

Hayo maisha unayoyaishi ndiyo yana attract wewe kupata wapenzi wa namna hiyo.

Ukiishi maisha ya level yako uta-attract watu wa level yako.

Kukusaidia tu, anza kuishi maisha ya level yako, kutana na watu wa level yako, jichanganye na watu wa level yako.

Ukiweza hayo, utatongozwa na watu wa level zako na hizi lalamika zitaisha.

Thank me later.
 
Tatizo unalo mwenyewe kikawaida mume awe na miaka 27 sawa nawe au akuzidi 3 hilo ndio tatizo mwanaume akiwa na hiyo miaka hawezi chukuwa mke wamiaka 27 labda afuate kukupiga hela.kwamiaka yako unatakiwa upate mume kuanzia 35 ila kumbuka wanaume wa kuanzia 35 tayari wanafamilia kwahiyo kama unataka kweri mume mwenye akili timamu kwaumli wako jiandae kuwa mke 2 au mchepuko huwo ndio ukweli
 
Umenikumbusha, kuna kaka niliwah kuwa nae wakat nipo shule mwanaume anaomba hela kama hana akili nzuri vile nikaona isiwe tabu yaan mwanaume akiomba omba hela na upendo unaisha hapo hapo

Kinachonishangaza wakati mwingine ni pale ambapo mwanamke unaweza kuwa unampa hela vizuri tu.

Siku ukikwama ukamwambia akutoe hela tayari hiyo ni kesi.
 
Sina sura mbaya,figure ninayo nzuri tu,tako pia lipo
Isitoshe kwanini wanitongoze tena kwa kufosi,hata mtu ukimkataa analazimisha kunidate huoni ni roho ya kuja olewa na hohehahe tuishie sumbuana tu
Duuh bhasi Kosa lako ni Moja...

Kwanza unapoanza kudate na mwanaume Usioneshe kuwa wewe unauwezo wa kujiingizia kipato kila siku hasa Biashara so unajiweza kiufupi.

Pili ukidate na mwanaume usiwe kiherehere wa kulipia bill kabisa..!!

Tatu ogopa sana mwanaume akikwambia leo sina hela unamtumia au vocha akati hujala hata mia yake[emoji23][emoji23][emoji23]

Nne ogopa sana kunadi mali unazomiliki ukikutana na mwanaume yani sijui nina maduka mara mpesa sijui nyumba viwanja ooho inakula kwako..!!

Tano ogopa kuwa wakwanza kumuonesha mwanaume unampenda ukute tena unakutana na Vimario vihandsome..[emoji23][emoji23] Imekula kwako aisee
 
Tatizo unalo mwenyewe kikawaida mume awe na miaka 27 sawa nawe au akuzidi 3 hilo ndio tatizo mwanaume akiwa na hiyo miaka hawezi chukuwa mke wamiaka 27 labda afuate kukupiga hela.kwamiaka yako unatakiwa upate mume kuanzia 35 ila kumbuka wanaume wa kuanzia 35 tayari wanafamilia kwahiyo kama unataka kweri mume mwenye akili timamu kwaumli wako jiandae kuwa mke 2 au mchepuko huwo ndio ukweli
Acha uongo
 
Kama ni hivyo nahisi wewe ndio unajirahisisha kwao. Unakua open sana kwemye mambo yako. Nami nilishakutana na mwanamke kama wewe lakini kila tukipiga story anajikuta anaongea mambo yake ndipo nlipo anza kumjua ni mtu wa aina gan. Tuliachana kwa sababu alinificha kama ana mtoto tayari. Ila alikua na pesa sometimes tukitoka ye ndio anahudumia kila kitu and by the time I was 24, she was 25 y/o. Story ni ndefu na hakuwahi kuniambia kama ana hela ila vitendo vyake vilikua vinanionyesha. Mfano kwa muda tulokua pamoja hela nlompa haikuwahi kuzidi 60k ila yeye gheto alikua naleta vitu vingi sana sema mi nikawa najishtukia.

Wewe ndio unajionesha.
Tumelingana umri,mmoja alinizid miaka mitatu
Ni wafanyakazi kama mie
 
Sasa kwa kuandika tabia yako hiyo humu jamvini si utawapata wengi tu wa kukupiga mizinga,tulia,usiwe na papara za kutafuta mwenza,muombe Mungu akujalie upate mume mwema,amini tu inawezekana,hajawahi kushindwa...
 
Nazungumzia wanaopenda kuomba omba tu na sio watoaji, Kama mwanaume ana kawaida ya kutoa siku akikwama kwa nn tusisaidiane lkn kuna wale anaomba tu mda wote hao ndo naowasemea
Kinachonishangaza wakati mwingine ni pale ambapo mwanamke unaweza kuwa unampa hela vizuri tu.

Siku ukikwama ukamwambia akutoe hela tayari hiyo ni kesi.
 
Back
Top Bottom