finnest
JF-Expert Member
- Oct 16, 2015
- 834
- 1,240
Daaaaah pole mwaya, we Dada unaonekana ni mwema saana poleJamani nadhani hamjanielewa,wananifosi mie ndiyo nifanye hayo,sijawah jitolea fanya hivyo.Mfano Kuna siku tulikwenda kula sehemu baada ya kumaliza akanambia lete hela tulipe nikamjobu sina,akanambia hebu simu yako,akatazama salio mpesa akaona laki na ishirini,akamwambia mhudumu lete namba ya mpesa tukulipe,mhudumu akaleta namba,nikamwambia hii hela ina kazi,akasema we lipa bill ntakurudishia,na hakuwahi rudisha hata nilipomkumbusha.Roho iliniuma sana,nikakaa kimya tulipomaliza tukaondoka,nilipofika nyumbani nikafuta namba yake na ukawa mwisho wa hayo mahusiano.
Kwahiyo point sijipi majukumu,wananifosi niwape hela,nilipe bill nakadhalika.
Sent from my DRA-LX5 using JamiiForums mobile app
hivi inakuaje mwanaume akuambie ulipie bill ya Chakula mlichokula ....na anatoa wapi guts za kuingia katika mpesa yako nani anampa password ???
Dada be a volcano kidogo jifunze kukiwasha.... Mie kitendo cha kutaka eti mm ndo nilipie nngeshaondoka hilo eneo kama hana atajua mwenyew anatoa wapi ,kwanza ananipelekaje kula halafu hana hela khaaaaaa