- Thread starter
- #201
Hayo mapito niletewe mimi tu?mimi nimeishi kwa tabu sana,nimesoma kwa tabu,sijafika hapa kwa mtelezo,kwanini mimi?nilikosea wapi kupitishwa katika yote haya?nina maumivu makali sana moyoni Mungu ni shahidinaona moyo umekata tamaa kabisa,hayo nimapito tu ndugu....jaribu kuwa na subira huwezi jua mungu kakuandikia nini mbeleni
Nimejifunza kujipambania kutokana na maisha niliyoishi utotoni,kwahiyo ni kosa?