Najihisi nina mkosi kwenye mapenzi

Problem ni kutoa hio mindset kwanza kila mwanaume yupo kukuchuna tu

sio kweli,

ukiwa free in your mind utaanza kuona wanaume kama wanaume walivyo sio kwa label ya wachunaji...

kuwa careful though,lol

kuna wanaume kweli wachunaji...

Mkuu na wewe umeshawai kuchunwa??
 
Mama Ponera, Mimi nilishapoteza contact zake Ila natumai ukipita pale chuoni huwezi kosa mawasiliano yake
Ohooo nampata,wakati naingia chuo nadhani alikuwa anamalizia,ntampata.Thanks mdau mwana ARU mwenzangu.
 
Back
Top Bottom