- Thread starter
- #341
Kama mamakoHaka ka'kahaba hakana adabu hata kidogo
Kama mamakoHaka ka'kahaba hakana adabu hata kidogo
Teh teh teh li mama lako ambalo hata kusoma wala kuandika halijui limeishia kuzaa mapunguani mengiii kama wewe na pa kuyalaza hakuna poleeeeeeeeUsifananishe almasi na kipande cha chupa. Mama yangu ni mwanamke wa daraja la kwanza. Amelea na kutunza familia ya watoto na baba yetu kwa upendo na stadi za juu za kiafrika. Tunu na enzi ya mbingu yupo kwenye list yake.
Turudi kwako, takataka ambae hadi sasa binti mdogo unapitiwa na kuonjwa onjwa hovyo kama vile mbwa jike anavyopitwa na majibwa dume....
Nakuhakikishia kama ikatokea mwanaume akakuoa usije ukadhania ni kwasababu una stahili jua ni huruma ya MUNGU kwako takataka ambae kwa matendo yako ya kikahaba ya kupitiwa na wanaume kenda rudi na ukasingizia kuwa ni wanakutenda kumbe ndio michezo unapenda, ikitokea mwanaume akakuweka ndani kwa ndoa, jua ni huruma ya MUNGU, kwa maana stahiki yako wewe hata kulala na mnyama nguruwe au mbwa bado utamtia najisi huyo mnyama kwa maana uchafu wake haukufikii wewe hata kidogo.
Kama ulisikia mwanamke mpumbavu anae zungumziwa katika biblia taswira yake ndio ile unayoiona kwenye kioo chako pale ndani ukiwa unapakaa masizi na kuvaa nywele feki ukitaka wavutia wanaume waje kukuweka nuksi na laana za maisha.
Ewe punguwani naomba kuwasilisha....
Take care huko pm
[emoji42]
Mama yangu hajazaa amejifungua.......Teh teh teh li mama lako ambalo hata kusoma wala kuandika halijui limeishia kuzaa mapunguani mengiii kama wewe na pa kuyalaza hakuna poleeeeeeee
Sina muda wa kudate maskin tena mimi so stay with ushauri wako,jitu limekulia polini huko likichunga mbuzi limekuja mjini kwa hisan ya Kijiji haliwez nibabaisha kamwe
Yes am independent bakin na kina mwajuma ndala ndefu wanaoomba Hadi hela ya pedi,kwanza kuna mwanaume gani wa kuhudumia mwanamke yenyewe yamejichokea dhiki hadi kwenye kope zao mxiiiiiiuuuu
Boda boda teh teh teh......
Huyu bidada ana matatizo makubwa. Huyu ni gujike (sorry mkuu GuDume). Wakishaona ni garasa wanajipoza kwa kumpiga mizinga kisha wanasepa.[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Mwanamke anaedate mwanaume mwenye maneno hivi ana kazi sana
Njoo kwangu tujenge maishaMimi ni mwanamke wa miaka 27,sijaolewa,Sina mtoto,Sina mpenzi,nimepanga naishi na mdogo wangu mmoja yuko kidato cha nne sasa.
Tatizo langu ni moja tangu nianze kujihusisha na mapenzi napata wanaume ama wapenzi wanaoniomba hela na kutaka mie ndiyo niwahudumie.Nina kazi ndio ya kawaida tu ila sijui kumwomba mwanaume hela.
Ni mtoto wa pekee,niliyelelewa na wajomba baada ya wazazi kuondoka duniani.Nilipitia kipindi kigumu sana wakati nakua na kwenye elimu yangu,hiyo ikanijengea kujiamini na kujitafutia vyangu.
Sijui kujigamba,sichezei pesa kwa mambo yasiyo ya msingi ila nina roho ya huruma sana. Naweza kuwa na milioni hata 5 kwenye akaunti na bado nikapanda daladala ama kula kwa mama ntilie mtaani au kazini.
Mpenzi wa Kwanza alikuwa ananipiga mizinga sana baada ya kuja kwangu na kuona navyoishi,hatukudumu tukaachana sababu hiyo,kwani hakuwahi nipa hata senti yake ila yeye amenilia hela zangu nyingi.
Wa pili ilikuwa hivyo hivyo kila leo alikuwa anapanga mbinu za kunitoa hela,nikaona isiwe shida nikaachana naye. Wa tatu alikuwa ananisema niache kuwapa watu hela ila akishika simu yangu anajifowafia hela toka line yangu ya mpesa,halafu ananikashifu kuwa najidai kuwa na hela wakati sijawahi mweleza hayo,ila alikuwa anachunguza akaunti zangu za m-pesa na benki akanifosi nikampa hadi pasiwedi akawa akihitaji hela anatoa bila kunitaarifu. Nikaona isiwe tabu nikaachana naye.
Sasa hivi yapata mwaka niko single na nimeamua kutokudate tena manake napata magarasa tu.
Naombeni ushauri nakosea wapi? Kiukweli siwezi kuomba hela na nikiomba kama nina uhitaji nisipopewa basi najikalia kimya tu.
Kwanini wanaume waniombe hela?kasoro yangu ni Nini?na katika wote hao hakuna niliyemtongoza walinotongoza wenyewe.
Mie sipendi kuomba wala kuombwa hela. Naumia sana kama mwanamke. Naona wananitongoza kwa lengo la kunichuna,lakini mbona mie navaa kawaida,nala kawaida,siyo mtu wa starehe. Tatizo ni nini?
Nimegundua dada wewe ni punguwani wahedi. Mwanamke huna staha. Hata hao waliokupitia sijui walikujaje. We hustahili hata kutongozwa...achilia mbali kumegwa na kuachwa. Wameona garasa wakaamua wakupige mizinga wasepe. Pole.Kama mamako
Ukweli hali hiyo hutokea sana lakini waweza retain vizuri na ukampata mtu mwema kabisa.Mimi ni mwanamke wa miaka 27,sijaolewa,Sina mtoto,Sina mpenzi,nimepanga naishi na mdogo wangu mmoja yuko kidato cha nne sasa.
Tatizo langu ni moja tangu nianze kujihusisha na mapenzi napata wanaume ama wapenzi wanaoniomba hela na kutaka mie ndiyo niwahudumie.Nina kazi ndio ya kawaida tu ila sijui kumwomba mwanaume hela.
Ni mtoto wa pekee,niliyelelewa na wajomba baada ya wazazi kuondoka duniani.Nilipitia kipindi kigumu sana wakati nakua na kwenye elimu yangu,hiyo ikanijengea kujiamini na kujitafutia vyangu.
Sijui kujigamba,sichezei pesa kwa mambo yasiyo ya msingi ila nina roho ya huruma sana. Naweza kuwa na milioni hata 5 kwenye akaunti na bado nikapanda daladala ama kula kwa mama ntilie mtaani au kazini.
Mpenzi wa Kwanza alikuwa ananipiga mizinga sana baada ya kuja kwangu na kuona navyoishi,hatukudumu tukaachana sababu hiyo,kwani hakuwahi nipa hata senti yake ila yeye amenilia hela zangu nyingi.
Wa pili ilikuwa hivyo hivyo kila leo alikuwa anapanga mbinu za kunitoa hela,nikaona isiwe shida nikaachana naye. Wa tatu alikuwa ananisema niache kuwapa watu hela ila akishika simu yangu anajifowafia hela toka line yangu ya mpesa,halafu ananikashifu kuwa najidai kuwa na hela wakati sijawahi mweleza hayo,ila alikuwa anachunguza akaunti zangu za m-pesa na benki akanifosi nikampa hadi pasiwedi akawa akihitaji hela anatoa bila kunitaarifu. Nikaona isiwe tabu nikaachana naye.
Sasa hivi yapata mwaka niko single na nimeamua kutokudate tena manake napata magarasa tu.
Naombeni ushauri nakosea wapi? Kiukweli siwezi kuomba hela na nikiomba kama nina uhitaji nisipopewa basi najikalia kimya tu.
Kwanini wanaume waniombe hela?kasoro yangu ni Nini?na katika wote hao hakuna niliyemtongoza walinotongoza wenyewe.
Mie sipendi kuomba wala kuombwa hela. Naumia sana kama mwanamke. Naona wananitongoza kwa lengo la kunichuna,lakini mbona mie navaa kawaida,nala kawaida,siyo mtu wa starehe. Tatizo ni nini?
Pia njia za kunasa watu humu ni kupitia jukwaa hili.Huu mtego kuna mtu anatafutwa kuna maboya yatanasa huko pm.stuka kimbia!
mbezi kimaraNaishi mbezi ya kimara
Umebadili na hiyo password?Alinilazimisha sikumpa kwa kupenda, anyway nishamwacha zamani