Myahudi Jr II
JF-Expert Member
- Jan 7, 2016
- 7,005
- 9,264
Take care huko pm
[emoji42]
Hivi mtu akileta hivi tayari kuna mijanaume inamtaka???
Inastaajabisha sana kama mambo ndio hayo
Take care huko pm
[emoji42]
Ohooo hapo utakuta pm ina msg 99..unacheza na mabahariaHivi mtu akileta hivi tayari kuna mijanaume inamtaka???
Inastaajabisha sana kama mambo ndio hayo
Tehteh....kwamba tusije tukamsumbua PM.Take care huko pm
[emoji42]
Tehteh... fiti bro.Mkuu kwani ukiwa na 5M kwenye account unatakiwa kupanda nn??..
Imefanyaje?Jamii Forums
Hapana awe mwangalifu tu wengine sio binadamuTehteh....kwamba tusije tukamsumbua PM.
Hivi wewe haujawahiwa eeeh?Hapana awe mwangalifu tu wengine sio binadamu
We si ulitema banaaHivi wewe haujawahiwa eeeh?
Dada samahani hivi chumba cha self yaani kimoja ambacho kina choo ndani ni shingapi kwa huko mbezi...??, nahitaji kuamia huko.Naishi mbezi ya kimara
Kuna mwanaume alikuambia tu itakuwa....Ulintemaa[emoji3]
Lol sijui labda wasiliana na madalaliDada samahani hivi chumba cha self yaani kimoja ambacho kina choo ndani ni shingapi kwa huko mbezi...??, nahitaji kuamia huko.
Sawa so ili niitoe nahitaj muda,Asante mamy kwa ushauriProblem ni kutoa hio mindset kwanza kila mwanaume yupo kukuchuna tu
sio kweli,
ukiwa free in your mind utaanza kuona wanaume kama wanaume walivyo sio kwa label ya wachunaji...
kuwa careful though,lol
kuna wanaume kweli wachunaji...
Hakuna hata mmoja mwenye family,isitoshe nimeanza nao about miaka mitatu nyumaAwamu hii yautawala wanaume wanaopenda kitonga niwanaume wenye familia kabisa, wanachokifanya wanakuja kwako ili uwasaidie kutunza familia zao. Wachunguze hao maex wako kama hawana wake nawatoto/mtoto
Mkuu ningeomba kama utakuwa unafahamiana na wamiliki,Lol sijui labda wasiliana na madalali
Nina mwaka wa pili sasa naishi kwangu
Karibu mbezi ingawa najiandaa kuondoka manake nimepata transfer naelekea Rocky city
pole sana....kizazi dume kinaangamia kabisa...ila jiamini usiingie kichwa kichwa.....jithaminishe wewe kama wewe....mchomekee dinner sehemu nzuri ya kawaida....mcheki yuko responsible.....usikibali kirahisi...kubali ktk uhalisia...kwamba "HE CAN HANDLE LITTLE THING"....then msogeze hatua B, C........utamjua vema.....mmeumbwa kwa ajili yetu.....tun mbinu lukuki....
Anaitwa nani niulizie wadau,manake nami nimepita ardhi UniversityKuna mama mmoja alishawahi kuwa dean of student pale ardhi university mtafute atakusaidia ushauri, huyu maza alishanisaidia sana kipindi nasumbuliwa na mambo flani,
NB: anatoa ushauri wa maneno sio pesa
Siwajui,ingia Instagram tafuta madalali wa nyumba na viwanja utawapata tu mdogo wanguMkuu ningeomba kama utakuwa unafahamiana na wamiliki,
Niunganishe nao mkuu...nakuja PM