Najihisi nina mkosi kwenye mapenzi

Najihisi nina mkosi kwenye mapenzi

Kwanza yaonekana kama unamajivuno fulani hivi, eti kwanin waniombe mbona mi siwaombi, hizo password si uliwapa mwenyewe ama, ktk mapenzi ya kweli hilo ni jambo la kawaida kusaidiana, ila kama ni fake love basi hapo kuna shida

Naona alikutana na wale wenye Dawa wakamnusisha ukajiachia na no. za password ukatoa.
We nae unampaje password zako za miamala mwanaume????

Shida ya kwanza unayo mwenyewe, wewe ni dhaifu..... Mwanaume akitaka Sanaa password mpe ya simu sio namba ya siri ya m pesa au bank

Eti mwanaume akatoe pesa kutoka kwenye akaunti yangu bila kunijuza heheheheheh nitamuweka alama

Huyu aseme vizuri alikutana na waleee jamaa wa ndumba anakunusisha unataja yote
 
Mara nyingi changamoto ambayo unaweza usiione kwa macho ila ukitumia busara unaweza ukaiona ni upande wa attitude yako kwa wanaume unapokutana nao.

Kuna tabia ya watoto wa kike now days kubahave too independent ikiwa ni maigizo au kujenga taswirsa kuwa hana shida na msaada wa mwanaume kifedha na kumbe lengo ni kutengeneza picha kuwa yeye si wanawake wachunaji.

Lakini pia ipo tabia ambayo haujaizungumzia wewe ila naigusia tu ili tujifunze, na tabia hiyo ni ya kuwa too much katika kumtaka mwanaume akuhidumie mahitaji yako hata pale ambapo inaonekana wazi unauwezo wa kujimudu ila utashangaa mwanamke anaomba. Imagine mwanamke anakwambie umtumie buku ya vocha, elfu mbili ya mishikaki,elfu tano ya saloon na ni mtu anafanya kazi na anakipato.

Hizi tabia mbili huwa zinafukuza wanaume wenye malengo haraka sana. Katika hiyo ya kwanza unamfanya mwanaume ajisikie ni dhaifu kwako maana unamuingilia hata katika majukumu yake na hata akikupa ndani ya nafsi yake hatojisikia ufahari kuwa amemuhudumia mwanamke wake hata kama hatakwambia ila jua huo ndio uhalisia.

Imagine unakaa na mwanamke unamkuta anahangaika kutafuta pesa ya tatizo ambalo lipo nje ya uwezo wake na hajakushirikisha japo kukwambia anahitaji sapport kama utaweza kumsaidia kufanya kitu fulani mwisho wa siku unakukuruka mwenyewe hiyo inamfanya kuhoji umuhimu wake katika maisha yako.

Na pia unapomuomba mahitaji kupitiliza inatakiwa ufahamu kuwa maisha ya sasa pesa ni ngumu sana kupatikana na sio busara wala hekima kumsumbua kijana wa watu ambae ameonyesha nia kuja kwako kutengeneza maisha na wewe, ila wewe upo busy kumjaribu kwa kumuomba pesa randomly kama mtoto mdogo asiyejua maisha ni kitu gani.

Fanya jambo moja, tambua kuwa maisha ya sasa mwanaume mwenye muelekeo na maisha anatafuta mwanamke rafiki na life partner na sio kiwavi jeshi au sugar mummy. Si kazi yako kumuhudumia mwanaume na kumtunza 100% katika maisha yenu yote mtayoishi pamoja. Pia si ustaarabu na sio adabu kumtegemea mwanaume kwa kila kitu kiasi kwamba anaanzz kukuona una damu ya kimasikini na asili ya kifukara.

Anza na kucheki tabia yako upo upande gani. Ukikutana na mwanaume katika mahusiano jitahidi sana kuplay part yako kama mwanamke partner na rafiki kwa kutoa msaada pale kwenye kuhitajika ila muhimu zaidi ni kumuwajibisha kama ataonyesha uzembe kutokuwa na ushirikiano katika uhusiano wenu. Usiwe na kiherehere cha kufanya maamuzi bila kumshirikisha, mfano umeona kiwanja somewhere unaanza kufanya mipango ya kukinunua kabla haujaketi nae chini kumpa taarifa. Hii itampa fikra kuwa una ubinafsi na unapenda kufanya mambo independently bila yeye kuhusishwa. Kumshirikisha kupo kwa namna nyingi waweza mwambia kwa sura ya kumshirikisha mnunue pamoja au kumjulisha kuwa kuna kitu unafanya.

Kuwa rafiki yake itakusaidia kujua uwezo wake kifedha lakini pia utafahamu namna ya kushirikiana nae kufanya maamuzi.

Kuwa makini na tabia yako kwanza maana hiyo ndio sauti inayowaita watu wa aina unayokutana nao na si kwamba una mikosi au labda wao ni wakorofi. Kuwa makini na namna una behave.....
 
Kwendraaaaaa team mariosss sihitaj ushauri wa wanaume pumbu kama wewe upupu huo kawaeleze mademu au mkeo shubamittttt
 
Aisee pole sana karibu kwangu, karibu sana.... Kwa hekima na taadhima nasema karibu sana
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] We mwanamke unahitaji ushauri kweli umu ndani ndo jibu gani hilo la kumjibu mwenzako hivo [emoji23][emoji23][emoji23]
Kwendraaaaaa team mariosss sihitaj ushauri wa wanaume pumbu kama wewe upupu huo kawaeleze mademu au mkeo shubamittttt
 
Kwendraaaaaa team mariosss sihitaj ushauri wa wanaume pumbu kama wewe upupu huo kawaeleze mademu au mkeo shubamittttt
Wewe inawezekana sio mzima kichwani hazijatimia au hazipo sawa sawa.

Sasa wewe ndie umekuja hapa na uzi wako ukitaka wadau tukupe ushauri kwenye jambo ambalo limekushinda badala ya kupokea ushauri unaopewa unaanza kucomment shombo na takataka zinazotoka kwenye hilo likichwa lako ulilobebelea akili za kikahaba.

Ila ukome, mwanzo nilikuonea huruma na ndio maana nikatenga muda wangu kuandika ushauri ambao nina uhakika ungeufanyia kazi ungeona mabadiliko. Ila kutokana na ulichonijibu tayari nimekushusha thamani na nimejua wewe sio kama unavyojipresent hapa.

Wewe unaonyesha una damu ya nuksi na mikosi na hautakuja kutoka katika hilo shimo ukiendelea na hii tabia yako chafu mbweha mkubwa wewe......

Hao wanaume waliokuchezea ni mwanzo tu bado utaendelea kuchezewa kwasababu hauna akili. Watoto wa kike kama nyie ndio mlizaliwa kufanyiwa takataka zote za kingono na wanaume wasio na malengo na ninyi sababu kuu ni kukosa kwako akili na ujuaji uliopitiliza.

Siku nyingine kama unajua una pumba zako za kuongea kaaa kimya usituletee upuuzi wako hapa maana naona unaleta upuuzi watu tunachangia unatukata bwege mkubwa wewe.

Tena koma nakwambia ukome unachofanyiwa ukomeshwe mara dufu......

Halafu ukome kuita watu Mario mimi sio type yako hata kidogo na siwezi kukutana wala kuzoeana na kahaba ambae anapitiwa na wahuni hovyo hovyo......ningekutukana mitusi mizito ila sinaga hiyo haiba ya matusi na kuna watu nina heshimiana nao hapa siwezi so siwezi kufanya majibizano na mtu asiye na akili kama wewe..... Takataka kutoka jalalani......

Wacha wahuni wajisevie maana hauna thamani hata kidogo sababu ya akili chafu uliyonayo..... Jinga moja wewe. Umeniboa balaaa......

[emoji34][emoji34][emoji34][emoji34][emoji34][emoji34][emoji34][emoji34][emoji34][emoji34][emoji34][emoji34][emoji34][emoji34][emoji34][emoji34][emoji34]
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] We mwanamke unahitaji ushauri kweli umu ndani ndo jibu gani hilo la kumjibu mwenzako hivo [emoji23][emoji23][emoji23]
Chizi kweli hilo bwege, linakuja hapa kama jibwa koko linalialia tunachangia maoni anakuja kujibu takataka kanichefua hapa hadi basi takataka huyu.....
 
Nimeshangaa mkuu ushauri wote huo unao mpa lakini mwishoe unaambulia matusi. Msamehe tu mkuu lamda ni stress tu zinamsumbua si unajua tena.
 
Mimi ni mwanamke wa miaka 27,sijaolewa,Sina mtoto,Sina mpenzi,nimepanga naishi na mdogo wangu mmoja yuko kidato cha nne sasa.

Tatizo langu ni moja tangu nianze kujihusisha na mapenzi napata wanaume ama wapenzi wanaoniomba hela na kutaka mie ndiyo niwahudumie.Nina kazi ndio ya kawaida tu ila sijui kumwomba mwanaume hela.

Ni mtoto wa pekee,niliyelelewa na wajomba baada ya wazazi kuondoka duniani.Nilipitia kipindi kigumu sana wakati nakua na kwenye elimu yangu,hiyo ikanijengea kujiamini na kujitafutia vyangu.

Sijui kujigamba,sichezei pesa kwa mambo yasiyo ya msingi ila nina roho ya huruma sana. Naweza kuwa na milioni hata 5 kwenye akaunti na bado nikapanda daladala ama kula kwa mama ntilie mtaani au kazini.

Mpenzi wa Kwanza alikuwa ananipiga mizinga sana baada ya kuja kwangu na kuona navyoishi,hatukudumu tukaachana sababu hiyo,kwani hakuwahi nipa hata senti yake ila yeye amenilia hela zangu nyingi.

Wa pili ilikuwa hivyo hivyo kila leo alikuwa anapanga mbinu za kunitoa hela,nikaona isiwe shida nikaachana naye. Wa tatu alikuwa ananisema niache kuwapa watu hela ila akishika simu yangu anajifowafia hela toka line yangu ya mpesa,halafu ananikashifu kuwa najidai kuwa na hela wakati sijawahi mweleza hayo,ila alikuwa anachunguza akaunti zangu za m-pesa na benki akanifosi nikampa hadi pasiwedi akawa akihitaji hela anatoa bila kunitaarifu. Nikaona isiwe tabu nikaachana naye.

Sasa hivi yapata mwaka niko single na nimeamua kutokudate tena manake napata magarasa tu.

Naombeni ushauri nakosea wapi? Kiukweli siwezi kuomba hela na nikiomba kama nina uhitaji nisipopewa basi najikalia kimya tu.

Kwanini wanaume waniombe hela?kasoro yangu ni Nini?na katika wote hao hakuna niliyemtongoza walinotongoza wenyewe.

Mie sipendi kuomba wala kuombwa hela. Naumia sana kama mwanamke. Naona wananitongoza kwa lengo la kunichuna,lakini mbona mie navaa kawaida,nala kawaida,siyo mtu wa starehe. Tatizo ni nini?
dah, umeniongelea mimi kabisa we dada
ila usikate tamaa, ipende kazi yako, fanya maendeleo yako, tafuta kiwanja jenga, kama unaweza kufungua biashara fungua. usiache kumuomba Mungu na kufanya ibada. it will come to an end.
 
Mshukuru Mungu kwa hilo maana Amekuepusha na matapeli na watu wasio faa maishani kwako kaaa utulie mume wako yupo anakuja kukuoa ndio maana hao taka taka wengine wamepisha njia usijione unamapungufu kaa tulizana nenda kwenye nyumba za ibada utapata mtu wa kufanana na wew au wa kukufaa .
 
Unafanya makosa sana wewe dada.
Ngoja ninywe kahawa kwanza alafu nitakwambia unapokosea.
Mimi ni mwanamke wa miaka 27,sijaolewa,Sina mtoto,Sina mpenzi,nimepanga naishi na mdogo wangu mmoja yuko kidato cha nne sasa.

Tatizo langu ni moja tangu nianze kujihusisha na mapenzi napata wanaume ama wapenzi wanaoniomba hela na kutaka mie ndiyo niwahudumie.Nina kazi ndio ya kawaida tu ila sijui kumwomba mwanaume hela.

Ni mtoto wa pekee,niliyelelewa na wajomba baada ya wazazi kuondoka duniani.Nilipitia kipindi kigumu sana wakati nakua na kwenye elimu yangu,hiyo ikanijengea kujiamini na kujitafutia vyangu.

Sijui kujigamba,sichezei pesa kwa mambo yasiyo ya msingi ila nina roho ya huruma sana. Naweza kuwa na milioni hata 5 kwenye akaunti na bado nikapanda daladala ama kula kwa mama ntilie mtaani au kazini.

Mpenzi wa Kwanza alikuwa ananipiga mizinga sana baada ya kuja kwangu na kuona navyoishi,hatukudumu tukaachana sababu hiyo,kwani hakuwahi nipa hata senti yake ila yeye amenilia hela zangu nyingi.

Wa pili ilikuwa hivyo hivyo kila leo alikuwa anapanga mbinu za kunitoa hela,nikaona isiwe shida nikaachana naye. Wa tatu alikuwa ananisema niache kuwapa watu hela ila akishika simu yangu anajifowafia hela toka line yangu ya mpesa,halafu ananikashifu kuwa najidai kuwa na hela wakati sijawahi mweleza hayo,ila alikuwa anachunguza akaunti zangu za m-pesa na benki akanifosi nikampa hadi pasiwedi akawa akihitaji hela anatoa bila kunitaarifu. Nikaona isiwe tabu nikaachana naye.

Sasa hivi yapata mwaka niko single na nimeamua kutokudate tena manake napata magarasa tu.

Naombeni ushauri nakosea wapi? Kiukweli siwezi kuomba hela na nikiomba kama nina uhitaji nisipopewa basi najikalia kimya tu.

Kwanini wanaume waniombe hela?kasoro yangu ni Nini?na katika wote hao hakuna niliyemtongoza walinotongoza wenyewe.

Mie sipendi kuomba wala kuombwa hela. Naumia sana kama mwanamke. Naona wananitongoza kwa lengo la kunichuna,lakini mbona mie navaa kawaida,nala kawaida,siyo mtu wa starehe. Tatizo ni nini?
 
Nimeshangaa mkuu ushauri wote huo unao mpa lakini mwishoe unaambulia matusi. Msamehe tu mkuu lamda ni stress tu zinamsumbua si unajua tena.
Akili mbovu sio stress wala nini, we si unaona hata katika story yake anaonekana hana hekima ya maisha ndio maana wanaume wanakanyaga wanapita hivi wanamuacha solemba......

Sasa hao wanaume anawaponde utashangaa wanakuja kuoa na kufanya maisha vizuri na wanawake wengine yeye atabakia kubaki kipozeo cha stress tu boya huyu
 
Wanakuchuna bila huruma
 
mkuu pole kwa jibu hilo, hakuna mahali ulipokosea kwenye ushauri wako ila jibu alilokupa hukustahili kwakweli. Pole.
 
Sisemi,nashangaa wanajuaje mambo yangu
Mimi msiri sana hata kazini sina mashoga na kulialia shida siwezi hata kama sina kitu

Hapo ndo unapofeli
Hawa wanaume unatakiwa ulie shidaa kama anajimudu atabaki kama ni Marioo atachanja Mbuga..
Wee endelea kujifanya Independent woman watakukwangua mpaka Nyusi hawa wanaume wa Dar
 
mkuu pole kwa jibu hilo, hakuna mahali ulipokosea kwenye ushauri wako ila jibu alilokupa hukustahili kwakweli. Pole.
Asante nimeumia sana......

Unajitoa muda wako na akili yako, bando lakini mtu anakutukana matusi ya nguoni kama kichaa utadhani ulichoongea ni kibaya au ulimtusi au ulimlenga vibaya....
 
Njoo na wewe nikulee maskin mkubwa wewe unabwekabweka kama jike la dog liliokwenye heat shumakangeeee wewe
 
Hapo ndo unapofeli
Hawa wanaume unatakiwa ulie shidaa kama anajimudu atabaki kama ni Marioo atachanja Mbuga..
Wee endelea kujifanya Independent woman watakukwangua mpaka Nyusi hawa wanaume wa Dar
Sina muda wa kudate maskin tena mimi so stay with ushauri wako,jitu limekulia polini huko likichunga mbuzi limekuja mjini kwa hisan ya Kijiji haliwez nibabaisha kamwe
Yes am independent bakin na kina mwajuma ndala ndefu wanaoomba Hadi hela ya pedi,kwanza kuna mwanaume gani wa kuhudumia mwanamke yenyewe yamejichokea dhiki hadi kwenye kope zao mxiiiiiiuuuu
 
Back
Top Bottom