Kusema kweli inaniuma sana kwasababu he is so educated and matured hata siamini kama anaweza kufanya such a childish thing!Sielewi ananufaika na nn mimi nikiteseka kusema kweli ningemuelewa angesema hataki kuwa na mimi kuliko anavyofanya!Its not fair wallahi!Nakaa najiuliza why?sipati jibu nimemuomba hata msamaha japo sijui kosa langu!
Ina maana sie wote hujatuona au???Naijua sura yake kumblock sio tatizo ila tatizo moyo wangu umeanguka kwake!
Khah! Una spidi ya ferari, hataa kabla sijamaliza kukuita ushatia timu?
Nimekata tamaa!sidhani kama atakuja kunitafuta!
Humu Jukwaani yupo active?
hhhhhhhhaaaa!!! mkwe halafu mwanao nshamchoka maana simuelewi elewi. hebu nitaftie id nyingine niipende.
Hivi huwezi tuma pm kwa id zote kwa mpigo. Penda bwana ufanye moyo kuwa strong lol. Ila ukiniumizia mwanangu tena ujue uhusiano wetu utakuwa kama wa sheikh ponda na serikali ya jamhuri
Safi kabisa. Huo ni uamuzi mzuri wa kukata tamaa. Sasa achana nae, jichanganye. Kama hauna kifua muweke kwenye ignore list ili usione hata kivuli chake akajifilie mbali huko. Unaweza pm moderator ama invisible wakuongoze na ignore list.
Hongera umekua sasa!
aisee ukiendelea hivyo wanaume watakutenda sana hadi umlaumu Mungu kukuumba mwanamke, uwe unaingia nusu kwanza then nusu nyingine utaimalizia vikao vya harusi vikianza