cheriefrance
Senior Member
- Jun 5, 2013
- 134
- 40
- Thread starter
- #41
Tatizo sio vigezo ndugu yangu nishakuwa na wa darasa la 7 pia na akaniumiza zaidi ya hivi!najiona si mtu mwenye bahati tu!Dada pole mwaya weng tunaumia na mapenzi nakila mtu anaumia kivyake.jaribu kumpotezea kaona hauna thaman kwake ndio maana kakufanyia Hivyo unaumije dada pole sana mapenz yanaumaje haswa ukipenda.anza Mchakato wakutafuta mwinine mungu akujalie lakin mpunguzeni vigezo sio lazima amefika chuo Kikuu tupo sisi tulioishia la 7 na tuna mapenzi ya dhati.kila la heri ndugu.