Najihisi aibu, nimejieleza sana

Najihisi aibu, nimejieleza sana

Hapa umeongea ukweli ,

nilishawahi kujali nkaambiwa najali ila nko too available... nkampotezea akawa analalamika nimebadilika nikapigq chini chap
[emoji23]Dah! viumbe sijui wanataka nini.
 
kama kaomba hela kidogo. Iongeze iwe nyingi mwambie baada ya mwezi mmoja. mpatie, ona ni nini amefanyia. sio wote wanaoomba hela ni ma slay queen. wengine kupewa pesa ndio tafsiri yao ya upendo. tena binti wa miaka hiyo ni rahisi kuanza msuka vizuri awa jinsi unavyotaka
Hakutaja kiwango,alisema tu pesa ya matumizi
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Duuu pole sana, ila usijisikie vibaya kuwa huna maana hata yeye hana ndio maana amekuomba wewe[emoji848][emoji848]
Kwanini nijieleze vile?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom