wa kupuliza
JF-Expert Member
- Jun 15, 2012
- 15,210
- 37,869
Sifa kubwakubwa ya Singasinga hua Ni kufuga mavuzi,hawanyoagi kamwe ndio maana ukikutana nao road unakuta usawa wa kibumbu kumejaa hatari.Lile ni vuzi lililofugwa.
Hii kitu Kuna Chalii Singasinga tulikua nae kijiweni akawa anaeleza khs tamaduni zao.
Hii kitu Kuna Chalii Singasinga tulikua nae kijiweni akawa anaeleza khs tamaduni zao.