Najihisi aibu, nimejieleza sana

Najihisi aibu, nimejieleza sana

Habari wakuu,

Kuna dada nlimtokea akawa amesaini, sasa muda sio mrefu kaomba pesa kwa ajili ya matumizi

Yani nimeandika limeseji lirefu kujieleza kwamba ntamjali siku za mbele baada ya kumaliza issue zangu flani zinazonikabili kwa sasa.

Hajajibu kitu na yuko sahihi.

Najihisi aibu nimejieleza sana, sitaki hata kuonana nae tena[emoji22]

Tutafute hela.
Ukitongoza tu unageuzwa ATM, wanawake wote wanauza hakuna mwenye nafuu..... ukiwa mjinga unakufa maskini
 
Pole sana, upo sahihi kabisa, fanya mambo yako kama akikuelewa atakujibu na atakuwa positive kwako, nyoosha njia yako kwanza...kwa sa hivi wekeza kwenye mafuta [emoji23] kama huna hela ya kuhonga
 
Babe anaomba hela, wewe unampa maneno[emoji23][emoji23] ukiachwa usije kulialia. Ila muulize kabla ya kuonana na wewe hela ya matumizi alikua anapewa na nani? Wewe ni baba ake? Aache kuendekeza njaa njaa
Yuko sawa,maana mimi ndo nlimtongoza so siwezi mlaumu kwa kuamua kupima kina.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom