Jorge WIP
JF-Expert Member
- Jul 12, 2018
- 3,563
- 5,370
Inaonekana bado namba E, ungekuwa namba B ungetoa ushuhuda huko
Mimi hata kuolewa napenda rude men
Mimi hata kuolewa napenda rude men
Achana nae...Siku izi hii ndio sababu kubwa wengi hawaolewi.
Lakini mzee baba tafta hela ..hela inastawisha mapenzi kwa sehem kubwa.
B ndio umri umesogea?Inaonekana bado namba E, ungekuwa namba B ungetoa ushuhuda huko
Yeah umri umesogeaB ndio umri umesogea?
Wadada sisi bwana hatuelewekagi muda mwingine.Yeah umri umesogea
Wanachama wetu wana uchumi mzuri tu ni vile tumeamua kujitegemea [emoji23][emoji23]Chaputa imeongeza mwanachama leo
[emoji23][emoji23] Utafanya mwamba akimuona abadili njiaSasa hivi yupo anawaonesha mashost zake hilo gazeti lako basi wanacheka hatari[emoji3][emoji3]
Kuna demu nimempata mtaani kwetu aisee ata sijala mbususu ila kila siku ana shida tu , mara na shida na 5000 , mara kodi ya nyumba landlord amenipa masaa kuama😀😀hadi nimechoka, demu mwenyewe hana ata job sijui atakuwa mfanyabiashara ata simwelewi , sema mpaka nimle kwanza ndo ntampa kodi maana yasijekunikuta niachwe na sijala mbususu na pesa zimeliwaUmefanya part yako kama anajali atakujibu. Akipotezea usiumie ni mfanyabiashara huyo
Hapa umeongea ukweli ,Wadada sisi bwana hatuelewekagi muda mwingine.
Kuna muda unatakiwa kuwa adimu thamani yako ipande, sio kila muda kuwapigia pigia mademu simu wanakudhalau mwisho wa sikuHapa umeongea ukweli ,
nilishawahi kujali nkaambiwa najali ila nko too available... nkampotezea akawa analalamika nimebadilika nikapigq chini chap
Usitoe pesa mingi kama haujapiga show epuka matapeliKuna demu nimempata mtaani kwetu aisee ata sijala mbususu ila kila siku ana shida tu , mara na shida na 5000 , mara kodi ya nyumba landlord amenipa masaa kuama😀😀hadi nimechoka, demu mwenyewe hana ata job sijui atakuwa mfanyabiashara ata simwelewi , sema mpaka nimle kwanza ndo ntampa kodi maana yasijekunikuta niachwe na sijala mbususu na pesa zimeliwa
Muendage na sisi hivyo hivyo tu, mabalaa ni mengi.Hapa umeongea ukweli ,
nilishawahi kujali nkaambiwa najali ila nko too available... nkampotezea akawa analalamika nimebadilika nikapigq chini chap
😀😀😀poa poa namlia timing pesa yangu ataipata tukiwa lodgeUsitoe pesa mingi kama haujapiga show epuka matapeli
aise hatari sanaM
Kuu siku hizi ukipewa namba utailipia.
Gas itaisha ghafla
Nywele zitaharibika
Kodi itaisha
Mama mkwe ataumwa
Atashikwa njaa hapo hapo
Na mengi mengine[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
😂😂😂😂Duuu pole sana, ila usijisikie vibaya kuwa huna maana hata yeye hana ndio maana amekuomba wewe🤔🤔Habari wakuu,
Kuna dada nilimtokea akawa amesaini, sasa muda sio mrefu kaomba pesa kwa ajili ya matumizi
Yani nimeandika limeseji lirefu kujieleza kwamba nitamjali siku za mbele baada ya kumaliza issue zangu fulani zinazonikabili kwa sasa.
Hajajibu kitu na yuko sahihi.
Najihisi aibu nimejieleza sana, sitaki hata kuonana nae tena[emoji22]
Tutafute hela.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Oya tuoneshe iyo meseji tucheke wote [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] usiwe emotionalBrother Mshana Jr jamaa ni innocent inaonekana maana hajaelewa hata hiyo joke[emoji28]
...nice guys tunatesekaga ndio maana nimefanya mpango wa kuhama uko