Najihisi aibu, nimejieleza sana

Najihisi aibu, nimejieleza sana

Singasinga

JF-Expert Member
Joined
Aug 27, 2011
Posts
2,741
Reaction score
3,316
Habari wakuu,

Kuna dada nilimtokea akawa amesaini, sasa muda sio mrefu kaomba pesa kwa ajili ya matumizi

Yani nimeandika limeseji lirefu kujieleza kwamba nitamjali siku za mbele baada ya kumaliza issue zangu fulani zinazonikabili kwa sasa.

Hajajibu kitu na yuko sahihi.

Najihisi aibu nimejieleza sana, sitaki hata kuonana nae tena[emoji22]

Tutafute hela.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom