Melki Wamatukio
JF-Expert Member
- May 3, 2022
- 6,362
- 11,589
Mkuu, kuna huyu rafiki yangu hapa eti anauliza kuwa hao mashangazi wanapatikanaje? Au wanapatikana wapi?Embu tafuta mashangazi ukajifariji wengi wao ni open source,ma slay queen ni moto hawashikiki.
Amaa kweli, huyu ni kijana wa ovyo