Ewe
Singasinga ,hilo gazeti lilikuwa hivi?
__________________________
My binti Mainda my dota, my carpet, my shumie. Kwa sasa sina hela yoyote eti, nilikuwa na elfu tatu ndani sema siioni, itakuwa huyu jirani aliingia ndani kwangu na kuichukua.
Lakini baby, kwetu sisi ni maskini wa kutupwa. Sema mimi nina haso sana kuhakikisha napata pesa kwa kufanya kazi ngumu na za kuumiza kichwa na akili, ili siku moja nikifanikiwa nije nikuoe, nikutolee na mahari japo ya laki tatu, sieti Mainda.
Mi nakupenda sana, sema ndo hivyo pesa inakuwa ngumu kupatikana, yaani tokea mama aingie madarakani amebana kotekote, hata kodi na tozo zimepanda sana kama unabisha ikifika saa mbili fungulia ITV utamkuta Mwigulu Nchemba.
Mimi sio kwamba napenda kukuona hauna maisha, natamani nikuhudumie hadi mwisho wa maisha yangu yote. Kuna issue ya kuponda kokoto naiskilizia, ikitiki tu, pesa ya wiki nzima nitakupatia wewe. Sema nini, njoo hapa gheto mara moja kuna 500 uchukue. Sawa baby, Mi Amor, Tehamo. Laazizi, katika maisha yangu wewe ndo nikupendae zaidi hata ya mama yangu. Niko tayari kuuza figo au hata vidole ili nikuoe wewe tu, one day Yes.
Lala unono
______________________________
Aiseee [emoji23][emoji23]