Nairobi..... Jiji la wanawake wenye sura chachu

Nairobi..... Jiji la wanawake wenye sura chachu

Yaani huu mji ukiona mwanamke mzuri jua fika kuwa huyo ni foreigner.

MUNGU huwa ni mwema sana; hizo sura chachu zina roho tamu na muziki wa haja!Kitabu usikitathmini kwa jarada lake; KISOME....
 
Nenda adis ababa ukitaka watoto warembo wenye mvuto,Dar cha mtoto
 
Pole Bujibuji.
Likizo panda basi vuka mpaka karibu A town.
 
umesahau kampala pia. dah jamaa wanatisha kwa sura mbaya, shapeless etc
 
Roho tamu? Nairobi?
Ama umewafananisha? Mgeni akifika anakula sukuma hadi akome.
MUNGU huwa ni mwema sana; hizo sura chachu zina roho tamu na muziki wa haja!Kitabu usikitathmini kwa jarada lake; KISOME....
 
Unashinda ushagoo unakuja kulala city centre kwa huruma ya ndugu geti kali bado unawaponda mabibi wa nai uliwaonea wapi?ngoja nije nikuombee ruhusa uje uone trotroz uje ufute kauli yako
 
Du umenikumbusha lidos club pale karibu nastend ya ma3 katkat ya jiji,wanawake hawavai nguo ila sura ndo hivyo tena.
 
Hehehe wewe umeenda Mama Ngina!!

Kuna ki joint kimoja kipo sio mbali sana kutoka Stanley Hotel sijui ndio Kimathi street ile, pale kuna totoz balaaa.... au ndio hao foreigners maana sura za ki Habesh/Somali kibao teh teh teh
 
Yaani huu mji ukiona mwanamke mzuri jua fika kuwa huyo ni foreigner.

Shame on you!
Ndio maana TZ tuko nyuma kimaendeleo. We are so fake and artificial.
Wewe ni mmoja wa wanaume mliompigia kura mkw*re sababu ya sura.
Kenya hawauzi sura kwa taarifa yako
 
Very well thank you. Kazi tu za mkoloni... soon najiajiri inshallah.

Pole sana mamake..
Nakuombea kila jema kwenye "Future plan yako"..
Kila kitu kinawezekena chini ya jua. 🙂
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom