Nahitaji vijana 50 kubandika bango mjini DSM.

Nahitaji vijana 50 kubandika bango mjini DSM.

Asee wakuu kwema?

Kijana abandoned bango 100, kila bango 1 shilingi za kitanzania 800. Bandika bango 100 uchukue 80000 mzee mambo yasiwe mengi..

Kazi inataka watu wa dar wenye ari na nguvu na uhitaji wa kazi.

Tunapendelea kufanya kazi na wa kiume zaidi. Kazi itaanza jumatatu na mwisho wa kuomba ni jumamosi ya tarehe 2 jioni.

Grup la wasap lipo. Nicheki 0628731833

Hakikisha una simu ya smartphone.

Kalaga baho.
Mkuu umeshakamilisha idadi? Nimechelewa kuona tangazo. Ninao vijana wawili wenye uhitaji na nguvu pia
 
Mkuu umeshakamilisha idadi? Nimechelewa kuona tangazo. Ninao vijana wawili wenye uhitaji na nguvu pia
Walete huku Nambunju Lindi waje kuanza kukata njecha kwa ajili ya kilimo cha ufuta msimu ujao huu ndio muda saa hii wa vijana kujipanga kiuchumi.Kilimo ni Utajiri.
#Tujiajiri.
 
Back
Top Bottom