financial services
JF-Expert Member
- May 17, 2017
- 18,199
- 43,594
Anajiskia vizuri kabisa, eti somo lake kupita ni kama ilivyongumu kwa ngamia kupenya kwenye tundu la sindano,maticha hawa😀😀Halafu ticha anajimwambafai karudisha kijiji 😀
Anajiskia vizuri kabisa, eti somo lake kupita ni kama ilivyongumu kwa ngamia kupenya kwenye tundu la sindano,maticha hawa😀😀Halafu ticha anajimwambafai karudisha kijiji 😀
Kuna jamaa mmoja alikua mpenda shule haswaaa, sasa mwaka wa pili prof mmoja akamnasa, jamaa kaja mjini kutokea mkoani huko. Ikawa akikutana na masela anawadanganya kaja mjini kufuatilia issue zake 😀, watu wanaingia kupiga pepa mara paap mwamba huyu hapa!! Huwa zina ka aibu fulani hiviAnajiskia vizuri kabisa, eti somo lake kupita ni kama ilivyongumu kwa ngamia kupenya kwenye tundu la sindano,maticha hawa😀😀
Hahaa, hiyo ni noma hizo aibu sasa, mi nakumbuka matokeo yametoka kucheki duh somo ambalo sikulitegemea na niliona pepa rahisi kwenye UE kumbe nilikua naenda chaka, nikamjulisha rafiki angu kipanga wa discussion kwamba mwenzie nna Supp, nikaona amekua mpolee, yarabi kumbe yeye ndiye noma zaidi anazo 3,maisha ya chuo shikamoo😀😀Kuna jamaa mmoja alikua mpenda shule haswaaa, sasa mwaka wa pili prof mmoja akamnasa, jamaa kaja mjini kutokea mkoani huko. Ikawa akikutana na masela anawadanganya kaja mjini kufuatilia issue zake 😀, watu wanaingia kupiga pepa mara paap mwamba huyu hapa!! Huwa zina ka aibu fulani hivi
Habari zenu wakuu.
Kwanza natoa pongezi kwa uwepo wa jukwaa hili kwani limekuwa msaada mkubwa kwa watu wengi especially kimawazo.
Nahitaji Sana kutiwa moyo kipindi hiki kigumu kwani matokeo yametoka na nimejikuta na supprementary kitu ambacho sijawahi kuexpriensi kabla. Matokeo ni Kama yanavyoonekana hapo chini.
View attachment 1413257
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahaha, ukute ulitongozwa ukachomoa!!Hahaa, hiyo ni noma hizo aibu sasa, mi nakumbuka matokeo yametoka kucheki duh somo ambalo sikulitegemea na niliona pepa rahisi kwenye UE kumbe nilikua naenda chaka, nikamjulisha rafiki angu kipanga wa discussion kwamba mwenzie nna Supp, nikaona amekua mpolee, yarabi kumbe yeye ndiye noma zaidi anazo 3,maisha ya chuo shikamoo😀😀
Hee, hapana bana 😀Hahaha, ukute ulitongozwa ukachomoa!!
Dah blaza unaua kabisa tulikuwa tuna mwalimu wa anaesthesia pale amana kila akiuuliza tuko kimya akawa anatuambia tutakuta september conference ukisikia tu hilo neno moyo unafanya paa ila sup zisikie kwa mwenzako usiombee zikukuteKaa tulia usubiri September conference, na mwaka huu corona huenda ikawasogezea mbele kikao chenu.
😀😀😀 Labda ulisoma seminary universityHee, hapana bana 😀
Aargh mkuu tulianza vizuri huku mwishoni umeanza kuzingua ujue au hilo li Smirnoff limeanza kukulewesha?😀😀😀😀😀 Labda ulisoma seminary university
Hahaha nikupe shot moja? Inatibu korona hiiAargh mkuu tulianza vizuri huku mwishoni umeanza kuzingua ujue au hilo li Smirnoff limeanza kukulewesha?😀😀
Hapana, ahsantee mkuuHahaha nikupe shot moja? Inatibu korona hii
Anyway usijali mi mwenyewe nakunywa juice ya ukwaju, hiyo ni avatar tu 😀😀.Hapana, ahsantee mkuu
Kweli uliscore higher mkuu?, naskia hizo spirits zinapoteza kumbukumbu kabisa, ilikuwaje wewe, au hukubwia sana?Anyway usijali mi mwenyewe nakunywa juice ya ukwaju, hiyo ni avatar tu 😀😀.
Nakumbuka nliwahi kufanya pepa nikiwa na spirit kichwani cha ajabu nikascore higher kinoma alinizidi mmoja tu 😀.
Hapahapa napo umesup tena maana ni supplimentary na siyo supprementaryHabari zenu wakuu.
Kwanza natoa pongezi kwa uwepo wa jukwaa hili kwani limekuwa msaada mkubwa kwa watu wengi especially kimawazo.
Nahitaji Sana kutiwa moyo kipindi hiki kigumu kwani matokeo yametoka na nimejikuta na supprementary kitu ambacho sijawahi kuexpriensi kabla. Matokeo ni Kama yanavyoonekana hapo chini.
View attachment 1413257
Sent using Jamii Forums mobile app
Hapahapa napo umesup tena maana ni supplimentary na siyo supprementary
sawa aawa kupata suplementary. maana kama upo chuo na hujui kuandika neno suplementary sijui ulikuwa unajibu nini kwenye hizo paperHabari zenu wakuu.