Nahitaji ushauri wenu wakuu nimepata supprementary

Nahitaji ushauri wenu wakuu nimepata supprementary

Kijana wacha dhihaka, wengine SUPP tushazoea mwaka wa kwanza 1st semester nilitia SUPP tatu, ya pili SUPP 1 nikachomoa zote, mpaka hivi naenda kumaliza na GPA sijawahi fika 2.9, ila nadunda maana napata stahiki yangu.

Mgalatia, back bencher.
ukimaliza chuo na GPA ndogo kuna njia zipi za kukuza GPA mana nasikia sehemu nyingi za kazi wanahitaji GPA kuanzia 3.5 sasa ukipata chini ya 3 utafanyaje?
 
Back
Top Bottom