Nahitaji ushauri wenu wakuu nimepata supprementary

Habari zenu wakuu.

Kwanza natoa pongezi kwa uwepo wa jukwaa hili kwani limekuwa msaada mkubwa kwa watu wengi especially kimawazo.

Nahitaji Sana kutiwa moyo kipindi hiki kigumu kwani matokeo yametoka na nimejikuta na supprementary kitu ambacho sijawahi kuexpriensi kabla. Matokeo ni Kama yanavyoonekana hapo chini.
View attachment 1413257

Sent using Jamii Forums mobile app
Ushauri wangu acha chuo tu nenda katafute me uishi nae

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Habari zenu wakuu.

Kwanza natoa pongezi kwa uwepo wa jukwaa hili kwani limekuwa msaada mkubwa kwa watu wengi especially kimawazo.

Nahitaji Sana kutiwa moyo kipindi hiki kigumu kwani matokeo yametoka na nimejikuta na supprementary kitu ambacho sijawahi kuexpriensi kabla. Matokeo ni Kama yanavyoonekana hapo chini.
View attachment 1413257

Sent using Jamii Forums mobile app
Keep calm and sapua
 
Msomi wa Chuo kikuu hata kuandika "supplementary" huwezi? Hizi shule kweli kuna uwezekano watu wengi wanasomea ujinga.
 
Sup moja inakutesa hivo mkuu. Enjoy likizo mkuu September conference sio ngumu ukijiandaa
 
Back
Top Bottom