Nahitaji ushauri wenu wakuu nimepata supprementary

Nahitaji ushauri wenu wakuu nimepata supprementary

Watu walikuwa na supp 4 na hawakuwaga na wasiwasi, wewe hiyo moja ndio unapata moto hivyo?
 
kalisheshe,
Kwanza kabisa ujue wewe ni mpunbavu yaani zaidi ya mjinga halafu unatumia simu ya kipumbavu ambayo haiwezi kukuelekeza. Suprrementarry ndio kitu gani? Uko chuo hata spelling ya SUPPLEMENTARY HUJUI?
 
Supp moja tu, una panic hivyo mkuu[emoji16]

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Habari zenu wakuu.

Kwanza natoa pongezi kwa uwepo wa jukwaa hili kwani limekuwa msaada mkubwa kwa watu wengi especially kimawazo.

Nahitaji Sana kutiwa moyo kipindi hiki kigumu kwani matokeo yametoka na nimejikuta na supprementary kitu ambacho sijawahi kuexpriensi kabla. Matokeo ni Kama yanavyoonekana hapo chini.View attachment 1413257

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa supprementary ondoa hofu, manake hakunaga kitu kwa hilo jina!! vinginevyo jiandae kupata hako ka-C kako.
 
Jibu ulilonalo ndilo jibu sahihi. Litekeleze kwa making. Usiigizie majibu kuepa carry over.
 
Enzi zetu tukiwa wanafunzi tuliprint kabisa na ma tshirt SUPP SIO KIFO, kakomaee dogo
 
Kwaiyo unataka ushauri gani.

Mwaka wa tatu unashindwa kujishauri Mambo madogo Kama hayo.
Unahuzunisha na iyo Udsm
Sidhani kama hayo ni matokeo ya udsm. Udsm hawatumii status bali remarks. Huyo atakuwa chuo fulani kama Udsm.
 
Kijana wacha dhihaka, wengine SUPP tushazoea mwaka wa kwanza 1st semester nilitia SUPP tatu, ya pili SUPP 1 nikachomoa zote, mpaka hivi naenda kumaliza na GPA sijawahi fika 2.9, ila nadunda maana napata stahiki yangu.

Mgalatia, back bencher.
 
Elimu ya chuo imekuwa nyepesi sanaa yani Kijana kasup kamoja unashindwa hata kulaa[emoji23][emoji23][emoji23] mkuu kufeli ni sehemu ya elimu so usikate tamaa hilo somo itakuwa ulizembea mahali maana masomo mengine umepiga vizuri sanaaa..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom