kalisheshe
JF-Expert Member
- Mar 19, 2020
- 2,460
- 5,046
Habari zenu wakuu.
Kwanza natoa pongezi kwa uwepo wa jukwaa hili kwani limekuwa msaada mkubwa kwa watu wengi especially kimawazo.
Nahitaji Sana kutiwa moyo kipindi hiki kigumu kwani matokeo yametoka na nimejikuta na supprementary kitu ambacho sijawahi kuexpriensi kabla. Matokeo ni Kama yanavyoonekana hapo chini.
Sent using Jamii Forums mobile app