Nahitaji ushauri wenu wakuu nimepata supprementary

Nahitaji ushauri wenu wakuu nimepata supprementary

Hapa ndiyo shida ya wahitimu wetu, nimejaribu sana ku google maana ya " supprementary" sijapata jibu labda wenzangu mnisaidie

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Usijali kupata supp siyo kwamba wewe ni kilaza hivo, ni vile tu ulienda opposite kidogo na maswali,

usijali tuliza akili September conference utaenda kukichomoa hicho, ila ndyo kimeshakuharibia hapo hata upate "A" ya Supp, utawekewa "C"

Ila umejitahidi,nikikumbuka yale Makarai yangu yalivyotamalaki kwenye cheti😀,nakuona wewe ni shujaa keep it up.
 
Miaka hiyo napiga shule chuo fulani maarufu sana kuna mshikaji wangu alipata supp tatu na hakutetereka kabisa, alichokifanya alitafuta wana wawili kila mmoja akampa 100k na kitambulisho ili wakamsaidie kuchomoa huku yeye akifanyia kazi kozi moja iliyobaki.
Mwisho wa siku aligraduate vizuri kabisa akiwa na afya tele bila ya jeraha lolote mwilini.
 
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣! Huyu sidhani kama ni mwanachuo..supp unaogopa hivyo jamani??
 
Supp inakuja kwenye kozi yeyote tu kijana mbna mi io mathematical method nilifaulu vzr nkaja kushikwa na koz nyingne ya kiboya tu komaaa tu ukachomoe hakuna jins

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Chuo gani hicho unapata 'A' kizembe zembe....
isije ikawa vyuo vya kitaani huko....
vya ujasiliamali.....
 
Habari zenu wakuu.

Kwanza natoa pongezi kwa uwepo wa jukwaa hili kwani limekuwa msaada mkubwa kwa watu wengi especially kimawazo.

Nahitaji Sana kutiwa moyo kipindi hiki kigumu kwani matokeo yametoka na nimejikuta na supprementary kitu ambacho sijawahi kuexpriensi kabla. Matokeo ni Kama yanavyoonekana hapo chini.View attachment 1413257

Sent using Jamii Forums mobile app
Kuna mpuuzi mmoja alileta mada yake hapa Ali carry over masomo matatu yani alikuwa anachezea mstari wa ku disco na makarai kibao.......

wewe kesi yako ndogo sana
 
Usijali kupata supp siyo kwamba wewe ni kilaza hivo, ni vile tu ulienda opposite kidogo na maswali,

usijali tuliza akili September conference utaenda kukichomoa hicho, ila ndyo kimeshakuharibia hapo hata upate "A" ya Supp, utawekewa "C"

Ila umejitahidi,nikikumbuka yale Makarai yangu yalivyotamalaki kwenye cheti[emoji3],nakuona wewe ni shujaa keep it up.
Umenitia moyo asante Sana.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom