Nahitaji ushauri wenu wakuu nimepata supprementary

Nahitaji ushauri wenu wakuu nimepata supprementary

haha matokeo sio yako, kipicha gani hakina quality hivyo, af mnaoshangaa credit 12, udsm masomo mengi credits 12, machache kama DS na field work ndio credits za 8... haha dogo mi nlipiga sup kila semester toka naanza hadi namaliza na nishacarry mara mbili

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Watu kwenye akili nyinyi darasani ndio wanaongoza kwa ujinga duniani, hivi chuo kikuu utaanzaje kupata A,B+ hizo zote? Ina maana huna kazi nyingine za kufanya nje ya darasa?

Unashindwaje kubalance c za kutosha na tu B tuwili. Ukamaliza chuo bila kukanyaga chumba cha sup? Maana hizo A unazopambana Nazo huku mitaani hazina Application.
 
bila shaka unasoma 1st Year UDSM...

Mdogo angu, kuwa na sup sio kilema au ukilaza, hizo ni changamoto tu katika masomo

yawezekana hilo somo ulilichukulia katika uzito mwepesi, (hukutia misuli ya kutosha) kwa kudhani labda ni jepesi... kama ni DS ucwaze sup, we wazia tu carry mwakani

uzuri wa sup inakukumbusha kuwa chuo hujaja kutafuta mademu na kutapanya bumu ila umekuja kusoma

cha msingi ww usifute wala kutupa MADESA ya hilo somo, maana kuna aibu kubwa huwa inatokea pale unapoulizia desa flan afu mtu akakuambia hana na ashasahau hata yanahusu nini

ila uzuri hautakuwa peke ako, mpo wengi sana.... shukuru we angalau.. kuna mdau hapa wa course saba.. sita ana A zote na sup moja...

chuo inabidi ukubali we ni kilaza wa kila somo, ukijifanya mjuaji km huna kitu, litakukua tu
DS ina credit 8,, itakua ni somo lingine
Ila dogo kua mwaka wa kwanza nakubaliana na wewe [emoji817]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Watu kwenye akili nyinyi darasani ndio wanaongoza kwa ujinga duniani, hivi chuo kikuu utaanzaje kupata A,B+ hizo zote? Ina maana huna kazi nyingine za kufanya nje ya darasa?

Unashindwaje kubalance c za kutosha na tu B tuwili. Ukamaliza chuo bila kukanyaga chumba cha sup? Maana hizo A unazopambana Nazo huku mitaani hazina Application.
Mkuu ninasoma kawaida sana huku nikiendelea na mishe zangu za ufugaji hiyo ngoma Ni mathematical methods of physics kwa waliosoma physics wanaufahamu Moto wake . Sijawahi kusup ndomana nmepeta wenge and I'm not a first year student

Sent using Jamii Forums mobile app
 
We dogo watu wamepata sap 3 na GPA inasoma 1.9 na bado hawajapanic.
Sasa wewe ki sap kimoja halafu unaanza kulialia na kuomba upewe moyo??
Yaani upewe moyo na sap 1?? Seriously?? Upewe moyo??
 
Watu kwenye akili nyinyi darasani ndio wanaongoza kwa ujinga duniani, hivi chuo kikuu utaanzaje kupata A,B+ hizo zote? Ina maana huna kazi nyingine za kufanya nje ya darasa?

Unashindwaje kubalance c za kutosha na tu B tuwili. Ukamaliza chuo bila kukanyaga chumba cha sup? Maana hizo A unazopambana Nazo huku mitaani hazina Application.
bora umeongea manake ata me nilikua napitia comment nione kama kuna aliyetoa mchango mzur kama huu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ukitaka kujua umuhimu wa SUP, CARRY, na ukitaka kujua umuhimu wa CARRY, DISCO

Nimemaliza kukushauri
Habari zenu wakuu.

Kwanza natoa pongezi kwa uwepo wa jukwaa hili kwani limekuwa msaada mkubwa kwa watu wengi especially kimawazo.

Nahitaji Sana kutiwa moyo kipindi hiki kigumu kwani matokeo yametoka na nimejikuta na supprementary kitu ambacho sijawahi kuexpriensi kabla. Matokeo ni Kama yanavyoonekana hapo chini.View attachment 1413257

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom