Nahitaji ushauri, mke wangu hana uzazi

Nahitaji ushauri, mke wangu hana uzazi

Kiongozi,
»Mmehangaika wapi, hospitali au kwa babu?
»Ni matatizo gani uliyoambiwa kuhusu yeye ukapuuza, wao walijua kuwa huyo mkeo ni mgumba?
»Wewe umeangalia afya yako na kujiridhisha kuwa upo sawa na kwamba unaweza kusababisha mimba?


Anyway, umeenda mbali sana kusema anakuzeekea, kwani wewe huzeeki? Unamfedhehesha mke wako wakati unajua hilo jambo linamuumiza, it's not right.

Ushauri; Nendeni hospitali yenye department nzuri ya gynecology na andrology, wawafanyie vipimo kuona tatizo liko wapi. Pesa itahusika kwa sana.
Nimependa msg yako.ubarikiwe

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Umepita hospital?
Kama bado naona tatizo liko kwako.
Umeshashindwa kumpa suport mkeo anaishi kwa stress unadhani hata mwili utakaa sawa kupokea mimba?
Kama hamjafanya vipimo kafanye.
Ukishapima uje hapa nitampatia mkeo dawa free of charge kama tatizo lake linatibika.

love thé love or hâte thé love.....
Nimekupenda bure

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mungu aniepushe na mwanaume mwenye hasiye na akili kama wewe aisee kwa lugha hyo Mungu akurehemu kwanza ndio mengine hayo akupe.una roho mbaya sana wewe jamaa..mkeo nampa pole we hujui kina Rebeka kina Sarah huko kanisani sijui unaenda Fanya nn..

We acha tu.Kanisa siku hizi ni kama kumbi za starehe.Walio wengi huenda kuonyesha mavazi yao,kutafuta vishtobe,na kujenga majina wakidai wakristo.Bahati nzuli amesema hana hata wa kumsingizia,je,kama yeye ndo hazai? Af mbona wakati wanatongoza hicho kigezo hawasemi?
 
waislamu wameruhusu polygamy kwa maana ndefu isiyo na shaka kua upande mmoja ukiwa loose unakamatia kwengine sababu uzazi ni juu ya muumba sio binadamu.
Owa mwengine upate mtoto na kama kweli tatizo ni la mkeo.
Mungu akupe wepesi inshallah

Sent using Jamii Forums mobile app
 
hilo ndo niloambiwa kabla sijamwoa

Basi mi naona kama uliambiwa,ukalipuuzia,maana yake ni kwamba ulimridhia jinsi alivyo na ulikuwa tayari kuishi nae kwa hali yoyote ile.
Na je,aliekwambia ana uhakika gani na anachokiongea? Kamwe duniani humu hutampata mwanamke asiye na vituko,hivyo kama lilitokea na leo anakuheshimu,mheshimu kwa hilo pengine alikuwa na sababu zake,maana hata wewe ukimwambia niliwapitia kina Rebecca na Monica heshima ingeshuka.Msemo wa watu kama umeamua,chepuka,ukiona hujampa mtu mimba we kausha na ujidhalau sasa.Maana kuna uwezekano mkubwa wa hata wewe kutotunga mimba
 
first nenden wote hospital ijulikane nan ana tatzo
second kama una some doubts juu yake ww ni mwanaume tafuta namna ya kumbana akwambie ukweli siku hz madada wamezid kutoa mimba mno mpaka inakera unaeza kukuta alitoa na kizaz(kama hili ni ndo source ya tatzo usimsamehe piga chini haraka )
3.kama hamna chochote basi endeleen pamoja hamjui mungu kawaanadlieni nn kuna wamama wanazaa mpaka wakiwa na miaka 70

Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu usiconclude kabisa kwamba hana uzazi tena umesema we mkristi kumbuka sala alizaa akiwa mzee, acha unyanyapaa endelea kuchekecha papuchi pengine oneday itajibu,

Binafsi siwez kuacha mke kwa sababu za ulemavu wowote ule, kama unahitaj mtoto tafuta mcheputa tundika mimba kimya kmya uyo mkeo endelea kumpa heshima yake

Sent using Jamii Forums mobile app
Safi nimekupenda bureeeeeeeeeeeee[emoji8] [emoji8] [emoji8] [emoji8] [emoji8] [emoji8] [emoji8] [emoji8] unaonyesha unajua thamani ya mwanamke ila umebugi kusema atundike mahali

Sent using Jamii Forums mobile app
 
[emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] shoga mie ningekaa nawewe loool

Sent using Jamii Forums mobile app


hahahaha tena mie siku hzi nahs nazeeka ilikua nikikaa na frnds zangu jaman uwiii km vichaa vile !huwa namiss sana those moments !mie kila sehem nikienda huwa lazima nipate rafiki !hehehe naongeaga tu jaman !lol !ngj nikufollow tuwe tunapeana mahope lol!
 
Yaani, binafsi ni mwanaume, ila kwa kweli jamaa huyo ametumia maneno machafu sana kwa mkewe.
Nilitamani, kuwa karibu naye nimpe vibao vya uso , na kanisani nimuondoe hata hiyo kazi ya ualimu ningemfuta kabisa.

Eti, oooh. Mimi Mwalimu, mara mkirsto , eti huduma kansani , naenda Kanisani, yaani ameniudhi sana.

Nina wasiwasi na kanisa lake na huo ualimu wake sijui anawafundisha watoto kitu gani kwa kweli!!
Nimekupenda bure pitia kwa Mangi kunywa soda ntalipia kwa Bluetooth

Sent using Jamii Forums mobile app
 
mliouliza kuhusu majibu ya hospitali ni kuwa tuliambiwa ana uvimbe kwenye mfuko wa uzazi. Tulipouliza matibabu yake wakasema mpaka operesheni ili kuutoa huo uvimbe. Ambayo gharama yake ilikuwa nje ya uwezo wa kazi zetu za serikali, Pia kwa kusoma saikolojia ya aliyenipa haya majibu kuna kitu alinificha. Alinipa moyo na kuniambia kama nina haraka nifanye hiyo op, lkn pia atapona taratibu naweza subiri.
Pia uvimbe usipotolewa hujakuwa kansa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nipo na mwanamke ambaye muda mwingi tupo wote japo sijamuoa rasmi zaidi ya mwaka sasa lakini mimba hainasi. Swali langu bado halijajibiwa,Je mwanaume ukiwa na matatizo ya uzazi yanaweza kutibiwa au ni bora kutojisumbua kwenda hospitalini?

Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] kumbe unae aya [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
hahahaha tena mie siku hzi nahs nazeeka ilikua nikikaa na frnds zangu jaman uwiii km vichaa vile !huwa namiss sana those moments !mie kila sehem nikienda huwa lazima nipate rafiki !hehehe naongeaga tu jaman !lol !ngj nikufollow tuwe tunapeana mahope lol!
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] njoo bibie

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna kipande hapa naona nyote mnaojadili mnakiruka.........huyu bwana mbali na kusema kuwa huyu mwanamke wake ni wa ndoa.......kuna swala alisema kuwa alishasikia minong'ono au kuambiwa story za kumuhusu huyu mkewe ambazo hakuziweka bayana ......

Na hapo ndipo nahisi kunaweza saidia kubalance hizi arguments........hebu wewe muhusika weka bayana ingawa mwanzo ulisema hauwezi sema.......funguka na kuwa muwazi kwamba ni mambo gani ambayo hao majirani walikuwa wakikueleza na kukuonya kuhusu huyo mkeo na wewe haukuwasikiliza hadi leo unaonekana kujutia kutokufuata ushauri wao......maana tusije puuza sehemu ndogo hii kumbe hapa ndipo utata umelalia.......tusije muona huyu mwanamke ni victim kumbe yeye ndiye jambazi hapa kuliko jamaa......

Hebu funguka na uwe muwazi na kama hauwezi tuambia basi usingeleta hii story yako ambayo ni wazi haipo balanced imeelezewa nusu.......

Bring the story out tuambie alifanya nini, alikuwa muhuni.....alikuwa anatoa ujauzito sana........alikuwa anatumia dawa za kulevya, ni mshirikina, nini walikwambia hao majirani kuwa muwazi!

SONY Xperia Z5 Premium
 
Back
Top Bottom