Nahitaji ushauri, mke wangu hana uzazi

Nahitaji ushauri, mke wangu hana uzazi

hahahaaa, sidhani kama kuzaa mtoto na kulelewa na mama tofauti ni sahihi. ambao tutakuwa na uchungu na huyu mtoto ni mimi na wewe, yeye atalazimisha tu kwa sababu ya tatizo lake. Nawaza kwa herufi kubwa NIZAE TU NA MKE MWINGINE NAYE AWE MAMA WATOTO WANGU.
mkuu me nilidhani unaogopa kumpoteza mkeo kama unaogopa option yangu ni nzuri... ila kama huogopi hiyo yako ni nzuri zaidi
 
mwanzoni tulikuwa tunashirikishana sana, sasa kipindi hiki sina hamu ya kuongelea mambo hayo. Isitoshe nimeajiriwa kijijini, yeye ni mzawa wa huku. Kilichonifanya nifikirie ni wivu ni kwamba wakati wa kuanza mahusiano nilipata wapinzani wengi mkuu
Hao unaowaita wapinzani ndo walimjua mkeo kabla hujaenda huko maana yeye alikuwa huko kabla(kama nimeelewa vzr).
Muulize vzr kama alifanya michezo michafu huko ndo imefanya ugumba,kama alilijua tatzo lake hajakufanyia fair kukuficha maana unahitaji mtoto.
Mtu akiwa mgumba by no fault ndo huwa tunavumiliana,mtu kafanya mambi ujanani yameharibu kizazi kwa nn uubebe mzgo.?

Philips X2560
 
Ni sahihi sana, hata h/master ni rafiki yangu sana. Alinishauri kuwa mtu kala starehe kajiharibu, lakini sasa hivi mzigo umeniangukia mimi nisiye na hatia. Alinishauri nioe mtu mwingine, ishu ni kanisani na heshima ya mtaani
 
Fanya maisha yako uwe na furaha usiogope watu...

Philips X2560
 
Habari zenu watu wa Mungu,
Mimi ni kijana nina umri wa miaka 30, naishi mkoa wa arusha wilaya (mabano). Ni mwalimu wa sekondary, nilioa miaka kadhaa iliyopita na bahati mbaya mpaka sasa mke wangu hajafanikiwa kupata mtoto. Nimetafuta namna nyingi za matibabu sijafanikiwa. Mbaya zaidi mke wangu nionavyo mimi kuna kitu anakijua ndani ya hili tatizo. Kuna watu walishawahi kuniambia kabla kuwa hana uzazi na haitatokea azae, ila niliona ni wivu tu. Pia waliniambia kuwa amenidanganya vitu vingi ambavyo siwezi kuweka wazi. Kutokana na hali hii saivi mke wangu hana amani na hata sura yake imeanza kuchoka. Ninachojiuliza kwa nini nilime na nisipate mazao miaka mingi? Nahisi kukata tamaa, na huyu mwanamke anajulikana kama nini kijijini kwetu. Amenifanya nisipate mwanamke mwingine, kila nikijaribu nahisi atajua.
Naombeni ushauri, mimi mkristo mshika maadili na naheshimika kanisani. Huyu mwanamke ameanza kunizeekea na saivi sina hata mtoto wa kusingiziwa kutokana na uaminifu wangu. Naona wenzangu waliooa juzi tu wanapata watoto, mimi naumia tu. Nifanyeje nipate watoto na heshima yangu iendelee kuwepo?
Ulimuoa specificaly kwa ajili ya kuzaa?,hukusikia ule msemo wa kuoa sheria kuzaa majaliwa,unadhani anapenda kutozaa?,unasema anazeeka,ni sababu anastress na inaonyesha wewe ni sababu kubwa ya yeye kupauka.ungekuwa mwislamu ningekushauri uoe mke wa pili atakayekutotolea.ila kwa imani uliyonayo cha kukushauri sina
 
Kuzaa ni sehem ya ndoa. Huo ni msemo tu. Nadhani waislam wako sahihi kwa hili
 
Umepita hospital?
Kama bado naona tatizo liko kwako.
Umeshashindwa kumpa suport mkeo anaishi kwa stress unadhani hata mwili utakaa sawa kupokea mimba?
Kama hamjafanya vipimo kafanye.
Ukishapima uje hapa nitampatia mkeo dawa free of charge kama tatizo lake linatibika.

love thé love or hâte thé love.....
Huyu anaonyesha ameshakata tamaa sana.Na amrmeshajenga chuki

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom