Jamani...ebu kwanza tuachane na hayo ya mke wangu...nataka wewe mwenye kizazi uje unizalie ati!pole sana!mpeleke hosp km unasema kweli! kama unatania ni mbya sana hyo
Jamani...ebu kwanza tuachane na hayo ya mke wangu...nataka wewe mwenye kizazi uje unizalie ati!
Wanawake ni wengi mkuu tafuta demu mweleze wazi akuzalie mtoto tafuta ndugu yako mweleze una mtoto sehemu hakikisha huyo ndugu sio wa kutoa siri yako afu endelea kutengeneza maisha sasa kama uliyeoa hazai huwezi mtimua ghafla we tafuta mtoto nje.Habari zenu watu wa Mungu,
Mimi ni kijana nina umri wa miaka 30, naishi mkoa wa arusha wilaya (mabano). Ni mwalimu wa sekondary, nilioa miaka kadhaa iliyopita na bahati mbaya mpaka sasa mke wangu hajafanikiwa kupata mtoto. Nimetafuta namna nyingi za matibabu sijafanikiwa. Mbaya zaidi mke wangu nionavyo mimi kuna kitu anakijua ndani ya hili tatizo. Kuna watu walishawahi kuniambia kabla kuwa hana uzazi na haitatokea azae, ila niliona ni wivu tu. Pia waliniambia kuwa amenidanganya vitu vingi ambavyo siwezi kuweka wazi. Kutokana na hali hii saivi mke wangu hana amani na hata sura yake imeanza kuchoka. Ninachojiuliza kwa nini nilime na nisipate mazao miaka mingi? Nahisi kukata tamaa, na huyu mwanamke anajulikana kama nini kijijini kwetu. Amenifanya nisipate mwanamke mwingine, kila nikijaribu nahisi atajua.
Naombeni ushauri, mimi mkristo mshika maadili na naheshimika kanisani. Huyu mwanamke ameanza kunizeekea na saivi sina hata mtoto wa kusingiziwa kutokana na uaminifu wangu. Naona wenzangu waliooa juzi tu wanapata watoto, mimi naumia tu. Nifanyeje nipate watoto na heshima yangu iendelee kuwepo?
mkuu kama dini yako inaruhusu kuongeza mke, mshirikishe mkeo then uoe, ila kama sio,fuata ushauri ufuatao; "PAMBANA NA HALI YAKO"Habari zenu watu wa Mungu,
Mimi ni kijana nina umri wa miaka 30, naishi mkoa wa Arusha wilaya (mabano). Ni mwalimu wa sekondary, nilioa miaka kadhaa iliyopita na bahati mbaya mpaka sasa mke wangu hajafanikiwa kupata mtoto.
Nimetafuta namna nyingi za matibabu sijafanikiwa. Mbaya zaidi mke wangu nionavyo mimi kuna kitu anakijua ndani ya hili tatizo. Kuna watu walishawahi kuniambia kabla kuwa hana uzazi na haitatokea azae, ila niliona ni wivu tu.
Pia waliniambia kuwa amenidanganya vitu vingi ambavyo siwezi kuweka wazi. Kutokana na hali hii saivi mke wangu hana amani na hata sura yake imeanza kuchoka. Ninachojiuliza kwanini nilime na nisipate mazao miaka mingi?
Nahisi kukata tamaa, na huyu mwanamke anajulikana kama nini kijijini kwetu. Amenifanya nisipate mwanamke mwingine, kila nikijaribu nahisi atajua.
Naombeni ushauri, mimi mkristo mshika maadili na naheshimika kanisani. Huyu mwanamke ameanza kunizeekea na saivi sina hata mtoto wa kusingiziwa kutokana na uaminifu wangu. Naona wenzangu waliooa juzi tu wanapata watoto, mimi naumia tu.
Nifanyeje nipate watoto na heshima yangu iendelee kuwepo?
kweli kabisa, inawezekana tatizo likawa kwake kumbe anatoa povu tuuWewe mwenyew kwanza umepima na una uhakika kwamba mbegu zako zina uwezo wa kurutubisha yai??????
Sent from my H8501 using JamiiForums mobile app
Yaani hata mi kanikera,lugha gani hiyo?? Nendeni wote hospital mjue nani ana tatizo na kama linatibika muanze matibabu. Kama halitibiki adopt mtoto mdogo sana muishi nae kama wa kwakoKwa kweli umetumia lugha mbaya sana dhidi ya mkeo.
Natamani ngekuzaba vibao ndiyo maudhi uliyonisababishia yangenitoka.
Any way, mpende mkeo hata yeye atakuwa hafurahii hali hiyo na ndiyo maana unamuona ana huzuni.
Kwa kifupi, ukimuacha mkeo kwa sababu hiyo, usitarajie kuwa na mtu mwingine utakaye kuwa na raha. Unaweza ukapata watoto ila ukakosa amani.
Be careful.
....Hii ni sawa na kusema mkewe ampe ruhusa aoe mke mwingine.u mean ...........
apewe housegirl ikiwezekana?
Yaani hata mi kanikera,lugha gani hiyo?? Nendeni wote hospital mjue nani ana tatizo na kama linatibika muanze matibabu. Kama halitibiki adopt mtoto mdogo sana muishi nae kama wa kwako
....I hope ur dead serious.duh kaa na mkeo sasa mwambie akuambie ukweli kilichotokea halafu mfanye maamuzi pamoja kama uzae nje uchukue mtoto mleee au iweje? hata me mkinipa milioni kumi nawafanyia favor nakubebea damu yako nakupa mtoto wenu me naendelea na maisha yangu ..... ila kwa sharti la nikisikia mnamnyanyasa i will come back sababu kukupa kiumbe kwa milioni kumi ni ndogo sana hiyo ni matunzo mkuu na wala sijakuuzia
....Kwani beki 3 si mtu? Au ndo yale yale ya konda kumuambia Traffic nimebeba abiria 20 na mmasai mmoja!!yaan azae na beki 3!umenikwaza! we kama huna ushauri kaa kimya! utajskiaje ww huna uzaz mkeo akazaa na houseboy wako!....yap yap fisi mwekundu
kwanza kaka nikuambie hadi unaomba ushauri hauko serious na ndoa yako. Ndoa ni yako na maamuzi ni yako kwani ulimpenda mwenyewe hukuomba ushauri sasa unaomba ushauri sababu yamekufika. Pili kumbuka kuchukua ushauri mzuri na ushauri mbaya uuweke kando kwani huku kuna kila rika wengine hata hiyo ndoa hawajaiexperience hivyo tegemea ushauri mbaya. Mashauri ya ndoa ni vyema kushauriwa na wazee wenye hekima zao km wazazi, viongozi wa dini n.k.Habari zenu watu wa Mungu,
Mimi ni kijana nina umri wa miaka 30, naishi mkoa wa Arusha wilaya (mabano). Ni mwalimu wa sekondary, nilioa miaka kadhaa iliyopita na bahati mbaya mpaka sasa mke wangu hajafanikiwa kupata mtoto.
Nimetafuta namna nyingi za matibabu sijafanikiwa. Mbaya zaidi mke wangu nionavyo mimi kuna kitu anakijua ndani ya hili tatizo. Kuna watu walishawahi kuniambia kabla kuwa hana uzazi na haitatokea azae, ila niliona ni wivu tu.
Pia waliniambia kuwa amenidanganya vitu vingi ambavyo siwezi kuweka wazi. Kutokana na hali hii saivi mke wangu hana amani na hata sura yake imeanza kuchoka. Ninachojiuliza kwanini nilime na nisipate mazao miaka mingi?
Nahisi kukata tamaa, na huyu mwanamke anajulikana kama nini kijijini kwetu. Amenifanya nisipate mwanamke mwingine, kila nikijaribu nahisi atajua.
Naombeni ushauri, mimi mkristo mshika maadili na naheshimika kanisani. Huyu mwanamke ameanza kunizeekea na saivi sina hata mtoto wa kusingiziwa kutokana na uaminifu wangu. Naona wenzangu waliooa juzi tu wanapata watoto, mimi naumia tu.
Nifanyeje nipate watoto na heshima yangu iendelee kuwepo?
Nimekupenda saana unabusara naunafaa kushauri wanandoa...wanandoa wengi wanaoa ila hawajatuliza vichwa vyaoWatu wengi wanaamini kukosa watoto Ni kufeli maisha.Si kweli.
Mpende mkeo hata msipozaa mtasaidiana hata katika uzee wenu.Mbona Kuna wazee wengi omba omba mitaani waliozaa Hadi watoto 10.
Kuzaa sio guarantee ya kufanikiwa maisha,watoto sio benki yako Bali wewe ndiye benki ya watoto.
Ridhika na Hali.Je Kama wewe ndiye mwenye tatizo,akikudump utahisije?