Acha kudanganya watu wewe n mkristo!!! Hivi unajua gharama ya huo ukristo? Unajua kuwa usingeleta post hii hapa? Na ungekuwa ushamuomba Mungu akakupa jibu? Be a real Christian bana, na kama sio bas usijisemee HVO!!!Habari zenu watu wa Mungu,
Mimi ni kijana nina umri wa miaka 30, naishi mkoa wa Arusha wilaya (mabano). Ni mwalimu wa sekondary, nilioa miaka kadhaa iliyopita na bahati mbaya mpaka sasa mke wangu hajafanikiwa kupata mtoto.
Nimetafuta namna nyingi za matibabu sijafanikiwa. Mbaya zaidi mke wangu nionavyo mimi kuna kitu anakijua ndani ya hili tatizo. Kuna watu walishawahi kuniambia kabla kuwa hana uzazi na haitatokea azae, ila niliona ni wivu tu.
Pia waliniambia kuwa amenidanganya vitu vingi ambavyo siwezi kuweka wazi. Kutokana na hali hii saivi mke wangu hana amani na hata sura yake imeanza kuchoka. Ninachojiuliza kwanini nilime na nisipate mazao miaka mingi?
Nahisi kukata tamaa, na huyu mwanamke anajulikana kama nini kijijini kwetu. Amenifanya nisipate mwanamke mwingine, kila nikijaribu nahisi atajua.
Naombeni ushauri, mimi mkristo mshika maadili na naheshimika kanisani. Huyu mwanamke ameanza kunizeekea na saivi sina hata mtoto wa kusingiziwa kutokana na uaminifu wangu. Naona wenzangu waliooa juzi tu wanapata watoto, mimi naumia tu.
Nifanyeje nipate watoto na heshima yangu iendelee kuwepo?
Hivi hilo tatizo tiba yake ni ipi nataka nijitibu kabla ya kwenda hospitali au kama hakuna tiba nijue moja ili nisijisumbue kuoa.Inawezekana wewe ndio una tatizo la kushindwa kutengeneza sperm zenye afya
Sent using Jamii Forums mobile app
Umeshajijua kwamba una hilo tatizo?Hivi hilo tatizo tiba yake ni ipi nataka nijitibu kabla ya kwenda hospitali au kama hakuna tiba nijue moja ili nisijisumbue kuoa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sijapima mkuu ila ninahisi. Mi nataka nijue tu kama una tatizo hilo tiba yake ipo au ndo unahesabika mgumba wa kiume? Naomba kujua plz.Umeshajijua kwamba una hilo tatizo?
Ulifanya vipimo hospital au unahisia huwez kutia mimba?
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu unaishi na mwanamke?Sijapima mkuu ila ninahisi. Mi nataka nijue tu kama una tatizo hilo tiba yake ipo au ndo unahesabika mgumba wa kiume? Naomba kujua plz.
Sent using Jamii Forums mobile app
Inghhhh huna mke umzalishe! mimi neno mimba huwa ugonjwa mbaya sana kwangu! kwanz nimesisimka kuskia hilo neno!bado labor uwiiii
Ingieni Pm mkayajengeAlohhh!tuzae basi.....
Hongera Sana Mkwetulishayajenga mkuu !...huhu!
Nipo na mwanamke ambaye muda mwingi tupo wote japo sijamuoa rasmi zaidi ya mwaka sasa lakini mimba hainasi. Swali langu bado halijajibiwa,Je mwanaume ukiwa na matatizo ya uzazi yanaweza kutibiwa au ni bora kutojisumbua kwenda hospitalini?Mkuu unaishi na mwanamke?
Definition ya infertility (ugumba) ni pale ambapo mume na mke wanashindwa kupata mtoto katika muda usiopungua mwaka mmoja licha ya kuwa na regular unprotected sexual intercourse huku mmoja wenu akiwa hana shida yoyote kiafya inayohusisha kutoweza kupata mtoto.
Hiyo ndio tunaita infertility (ugumba) kwani kama huna good supply of pussy kwa mpenz wako, then mpo kwenye mahusiano kwa muda usiofika mwaka mmoja huna sababu za kuwa na was was
Lakini pia unatakiwa ujue sababu zinazoweza kuleta ugumba kwa mwanaume, sababu siyo moja wala mbili ni nyingi mno nikiandika hapa zote hapa tutakesha
Ila unaweza kuenda hospital ukatoe history vizur then wakufanyie vipimo, wanaweza kuchek level ya hormones zako (Follicle stimulating hormone & testosterone) pia sperm analysis kujua afya ya sperms zako unazotengeneza
Kuanzia hapo utaweza kupata msaada mzuri zaidi wa kitaalam
Usije ukadanganyika kwenda kwa waganga wa kienyeji utatapeliwa tu
Sent using Jamii Forums mobile app
NimekujibuNipo na mwanamke ambaye muda mwingi tupo wote japo sijamuoa rasmi zaidi ya mwaka sasa lakini mimba hainasi. Swali langu bado halijajibiwa,Je mwanaume ukiwa na matatizo ya uzazi yanaweza kutibiwa au ni bora kutojisumbua kwenda hospitalini?
Sent using Jamii Forums mobile app