Nahitaji ushauri, mke wangu hana uzazi

Nahitaji ushauri, mke wangu hana uzazi

Kuna kipande hapa naona nyote mnaojadili mnakiruka.........huyu bwana mbali na kusema kuwa huyu mwanamke wake ni wa ndoa.......kuna swala alisema kuwa alishasikia minong'ono au kuambiwa story za kumuhusu huyu mkewe ambazo hakuziweka bayana ......

Na hapo ndipo nahisi kunaweza saidia kubalance hizi arguments........hebu wewe muhusika weka bayana ingawa mwanzo ulisema hauwezi sema.......funguka na kuwa muwazi kwamba ni mambo gani ambayo hao majirani walikuwa wakikueleza na kukuonya kuhusu huyo mkeo na wewe haukuwasikiliza hadi leo unaonekana kujutia kutokufuata ushauri wao......maana tusije puuza sehemu ndogo hii kumbe hapa ndipo utata umelalia.......tusije muona huyu mwanamke ni victim kumbe yeye ndiye jambazi hapa kuliko jamaa......

Hebu funguka na uwe muwazi na kama hauwezi tuambia basi usingeleta hii story yako ambayo ni wazi haipo balanced imeelezewa nusu.......

Bring the story out tuambie alifanya nini, alikuwa muhuni.....alikuwa anatoa ujauzito sana........alikuwa anatumia dawa za kulevya, ni mshirikina, nini walikwambia hao majirani kuwa muwazi!

SONY Xperia Z5 Premium
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hapa unachanganya mada mkuu, unahitaji msaada lakini maelezo yako Kuna kitu unakijua Vizuri na hujakiweka bayana, ila kwa Mungu yote yanawezekana

Sent using Jamii Forums mobile app
Na ndio maana nikamuhoji hapo sio anatuambis story yake nusu nusu......hapa wachangiaji kumuwakia ni kutokana na jinsi ametoa taarifa nusu nusu............angekuwa ametoa full info sidhani kama watu wasingemuelewa si kila mwanamke ambaye hapati watoto hana hatia wengine ni mabazazi kweli kweli mtuulize sisi tunaowajua..........wamefanya vituko vya kila aina........kumeza pakiti nzima ya mavidonge ya uzazi wa mpango ili atoa ujauzito ulioingia sasababu anataka kuficha aibu ya kushika ujauzito wa mume wa mtu, kutoa ujauzito hovyo sababu za kisistadoo, mambo ni mengi kwakweli.

SONY Xperia Z5 Premium
 
Mimi sina tatizo ni mwanamke... nilipewa angalizo mapema nikadhani ni wivu. Sina mtoto wa nje ya ndoa kwa sababu ya uaminifu
Aisee unaanza kukera ujue sasa ............HILO ANGALIZO WALIKUPA LILIKUWA LINASEMAJE NA NI AKINA NANI HAO WALIOKUWA WANAKUPA HILO ANGALIZO ........?!

MBONA UNATULETEA HABARI NUSU NUSU UTADHANI INSHU YA USULUHISHI YA ACACIA AMBAYO HAIELEWEKI INASEMA NINI?!

SONY Xperia Z5 Premium
 
mliouliza kuhusu majibu ya hospitali ni kuwa tuliambiwa ana uvimbe kwenye mfuko wa uzazi. Tulipouliza matibabu yake wakasema mpaka operesheni ili kuutoa huo uvimbe. Ambayo gharama yake ilikuwa nje ya uwezo wa kazi zetu za serikali, Pia kwa kusoma saikolojia ya aliyenipa haya majibu kuna kitu alinificha. Alinipa moyo na kuniambia kama nina haraka nifanye hiyo op, lkn pia atapona taratibu naweza subiri.
Mmmmmmmhmn.........aiseee hapa kuna kitu wewe jamaa huyu mwanamke alikuwa na maisha ya aina gani kabla haujakutana naye?!

SONY Xperia Z5 Premium
 
Kuna mambo mengi yamejificha ktk suala hili.

Mtoa mada unajua kabisa tatizo liko wapi, umetuficha ili upate kujua kama kuna mtu atataja sababu hiyo au hizo.

Pili, nahisi wewe ni mwongo kwa sababu huwezi jua kwamba wewe uko vizuri kama hujatoka nje ya mkeo.

Nina mengi but nikushauri uvumilie hadi kifo kiwatenganishe maana uliambiwa hivyo siku ya ndoa na hiyo si sababu ya msingi kwa ninyi kuachana.
Kweli kabisa hii story haijabalance hata kidogo kwa sisi wataalamu wa psychology tunajua wazi huyu muhusika hajaamua kuwa muwazi hapa ametoa details chache sana

SONY Xperia Z5 Premium
 
Watu wengi wanaamini kukosa watoto Ni kufeli maisha.Si kweli.
Mpende mkeo hata msipozaa mtasaidiana hata katika uzee wenu.Mbona Kuna wazee wengi omba omba mitaani waliozaa Hadi watoto 10.
Kuzaa sio guarantee ya kufanikiwa maisha,watoto sio benki yako Bali wewe ndiye benki ya watoto.
Ridhika na Hali.Je Kama wewe ndiye mwenye tatizo,akikudump utahisije?
Hili kweli,kuna siku nipo saloon nkamuona mbibi haswa anafagia Barabara saa 8 jua kali akapita mtu anauza visheti akanunua akala pale pale nilimuonea huruma nkawa namuangalia nkawa ananiuliza huyu hana watoto wa kumuangalia maana kwa umri ule ile kazi hapana.

Nkawauliza pale saloon yule bibi mnamjua wakasema wanamjua anawatoto ila ndo ivyo na nguvu hana ila anajikaza Hiyo barabara sehemu ndogo anafagia kutwa nzima.

Kuwa mvumilivu muwe pamoja mtapata tu watoto wazuri maana kuna waliojaliwa ila watoto wamekua ni misalaba mizito kwao

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa kweli umetumia lugha mbaya sana dhidi ya mkeo.

Natamani ngekuzaba vibao ndiyo maudhi uliyonisababishia yangenitoka.

Any way, mpende mkeo hata yeye atakuwa hafurahii hali hiyo na ndiyo maana unamuona ana huzuni.

Kwa kifupi, ukimuacha mkeo kwa sababu hiyo, usitarajie kuwa na mtu mwingine utakaye kuwa na raha.
Unaweza ukapata watoto ila ukakosa amani.

Hii kauli nimeikubali
 
Weeee miaka 30 kaanza kuzeeeka ? Wacha uzushi lakin anayepanga kutoa Mtoto ni Mungu binadamu hapangi uzazi!! Omba Mungu utapata!!mtie moyo kumbuka kuzaa ni majariwa mlipendana wawili hivyo jipe moyo mpende mkeo mdhamini

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Boss hebu soma hapa kidogo - haya si maneno yangu.

Mwanzo 16:1-4

1 Sasa Sarai, mke wa Abramu, hakuwa amemzalia watoto wowote; lakini alikuwa na mjakazi Mmisri na jina lake lilikuwa Hagari.

2 Ndipo Sarai akamwambia Abramu: “Tafadhali sasa! Yehova amenifunga nisizae watoto.Tafadhali, lala na mjakazi wangu. Labda ninaweza kupata watoto kutokana naye.” Basi Abramu akaisikiliza sauti ya Sarai.

3 Ndipo Sarai, mke wa Abramu, akamchukua Hagari, mjakazi wake Mmisri, mwishoni mwa miaka kumi ya kukaa kwa Abramu katika nchi ya Kanaani, naye akampa mume wake Abramu kama mke wake.

4 Basi akalala na Hagari, naye akapata mimba.
Nadhani pale kanisani kwenye kiapo cha ndoa kuna kipengele kinatakiwa kiongezwe.. tukipata au tukikosa watoto[emoji36]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom